UTACHEKA ALI KAMWE AGEUKA KUWA MCHAMBUZI WA SIASA 🤣🤣 | AMCHAMBULIA AHMED ALLY UCHAGUZI WA CHADEMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 57

  • @AgathaJohn-r9u
    @AgathaJohn-r9u 3 години тому +2

    Nawapenda sana kaka zangu muko vizur sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 2 години тому +1

    🤣🤣🤣🤣Duh nimefurah sana mpila sio vita jmn🤣🤣🤣

  • @thinkbigstudio6769
    @thinkbigstudio6769 8 годин тому +5

    Daaaah nimefurahi sana hawa watu kuwa kutanisha mpira sio uadui huu ndo utani sasa 😅😅😅😅

  • @jumaayoub6960
    @jumaayoub6960 Годину тому

    Fridge lako haligandishi kak #Ahmed Ally 😮

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 2 години тому

    Nawakubali wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DavdNassary
    @DavdNassary Годину тому

    Mm napenda san wakiwa wote

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 8 годин тому +5

    😂😂😂😂 dah hawajamaa nawapenda kweli😅

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 57 хвилин тому

    😁😁😁😁😁

  • @RamadhanNassib
    @RamadhanNassib 9 годин тому +2

    Daah hawa jamaa bhana😂😂

  • @mtangag774
    @mtangag774 7 годин тому

    😂😂😂😂😂 huyu jamaaa dah

  • @saidbakari7998
    @saidbakari7998 6 годин тому

    😂😂Ahmed ally saaf bhana

  • @KILINDONIMEDIA
    @KILINDONIMEDIA 9 годин тому +1

    Ila jamaa komedy sana😂😂

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 6 годин тому +1

    Hao wafanye comedy itaenda mnoooo

  • @othmanjuma7712
    @othmanjuma7712 4 години тому +2

    hawa jamaa wapewe maua yao wanazid kutupa elimu kuhusu mpira co uadui

  • @AnethAmos-c5t
    @AnethAmos-c5t 2 години тому

    Maskin semaji langu Ali kamwe Jana fraha dah ila Azizi ki na walichotufanya😢😢

  • @AbdirahmanIgge
    @AbdirahmanIgge 8 годин тому +1

    Ali kamwe😂🎉

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 9 годин тому +4

    Ali kamwe ayuko sawa kbsa , bodyguard akae katikat hapo 😅😅😅😅

  • @jelemialukas9322
    @jelemialukas9322 3 години тому

    Nataman cku1 Ahmed na ally wakutane wakiwa fainal ya caf . 🇹🇿🇹🇿

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 4 години тому

    Naona ugonjwa wa Mc Alger unamsumbua sana Al kamwe, ugonjwa mpya mjini sijui atumie dawa gani

  • @AbdulazizPacha
    @AbdulazizPacha 8 годин тому +1

    Huo ndo utaniwetu vijana mpovizuri hayomengine ya kupigana ni uhuni wa wavutabangi wala siolazima watuwote tuwe wawatu wa mpira wengine mnaweza kuungana na mandonga namaisha yakaendelea

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 7 годин тому

    😂😂😂😂wajinga hawa Ila nawapenda.

  • @J.r7-b9w
    @J.r7-b9w 6 годин тому +2

    Nimefurahi ahmed ally kwa kutogandsha friji lako yani we pasua kuchwa semaji la kafu

  • @RamsoGoscop-e7t
    @RamsoGoscop-e7t 5 годин тому +1

    Alikamwe akikutana na ahmed Ali hanaga Raha kabisa

  • @IbraIbra-d1x
    @IbraIbra-d1x 2 години тому

    Kamwe mgonjwa siku hizi au teh, teh, teh, teh,,, ila mc Alger du,,,,,,,,,,😂😂😂😂😂😂😂

  • @UmmukulthumAbdalla
    @UmmukulthumAbdalla 6 годин тому

    makofi kwk Ahmed Ally semaji la CAF❤❤❤❤❤

  • @MwitaBoy-l5k
    @MwitaBoy-l5k 6 годин тому

    Hahaaa wana simba na wanayanga twende chadema

  • @SNOBPHOTOGRAPHER
    @SNOBPHOTOGRAPHER 6 годин тому

    Wote ni watoto ally akuna baya hapo

  • @reubenbegashe2372
    @reubenbegashe2372 7 годин тому +1

    Manteno mengi huyo mwingine kama interview ni yake

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 8 годин тому +2

    😂😂😂😂😂 nimefurahi sanaa maana kuna mtu kapoa leo hatar

  • @Office_baba_Oscar
    @Office_baba_Oscar 9 годин тому +1

    😂

  • @KulwaPhinias-w2m
    @KulwaPhinias-w2m 6 годин тому

    Mwacheni kamwe aende akapoze maumivu ya waarabu

  • @Mr.Tingatinga
    @Mr.Tingatinga 8 годин тому

    😂😂😂😂😂😂

  • @REMNANT_TVKENYAOFFICIAL
    @REMNANT_TVKENYAOFFICIAL 2 години тому

    ua-cam.com/video/-Kqtpnodc1E/v-deo.htmlsi=kdMz0PNMbyYDJwA9

  • @TeodoryCharles
    @TeodoryCharles 8 годин тому

    Alimakundi mdomo kwishaaaaaa

  • @floranzije9216
    @floranzije9216 9 годин тому +6

    Alikamwe kama hana furaha vile,huenda anaumwa

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 8 годин тому +3

      Furaha ataipata wapi jaman😂😂😂

    • @melissa_garden
      @melissa_garden 8 годин тому +3

      Furaha itokee wapi na kimdomo kimemponza😂😂😂

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 8 годин тому

      @@melissa_garden hapo sasa ahahahahaa

    • @abiaslimadyanse1842
      @abiaslimadyanse1842 7 годин тому +2

      Unafiki tu kuolewa Aah😊😅

    • @emmanuelmayunga1518
      @emmanuelmayunga1518 7 годин тому +1

      Ni kwel kabisa maana kuishia makundi na matarajio ya wananchi lazima tu uumwe😅

  • @Zuubaby-lp9uj
    @Zuubaby-lp9uj 4 години тому

    Ally kàmwe atuja mzoea akiwa ivyo ubaya ubwela 🦁 co poa

  • @Shukushukushuku
    @Shukushukushuku 7 годин тому

    Ali makundi

  • @asnathmlilapi7869
    @asnathmlilapi7869 8 годин тому +1

    😂

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 6 годин тому

    😂😂😂