kuimudu sauti yako ni pamoja kujua kuimudu pumzi toka mwanzo wa mstari hadi mwisho hii itakujengea stamina ya Kumaliza wimbo wala hutateseka tena itazame hii video tena na tena Utaelewa ninachomaanisha#usisahau #Kusubscribe #kushea na#kutoa maoni #IMBA TOKA MOYONI
Mwalimu kwakweli naomba nikutafuteee.... kiukweli nakosa pumzii ya kuimba ila napenda kuimba praise and worship, barikiwq sanaaa...tena mnooo na Mungu akubariki🙏
Mwlm asante kwa kweli hapo kwa pumzi na mimi nimo ila somo hili tutafany zoez mi napenda kuimba Gospel songs napenda san kwa upande wa praise and worship
please fanya video moja ya jinsi unaweza kumsaidia mtu ambaye hawezi kuimba wimbo sambamba na beats. Yaani anapoimba anachelewa au anakimbia kuliko beats. Asante
Hi mr Kiki m from kenya.Ningependa sana kujua jinsi ya kuimba vizuri sana ila sina nafasi ya kutisha nijifunze hata kanisani.Sijui kams unaeza nisaidia pole pole hapa youtube?.Asante
Asante sana teacher wangu yaani nakufuatilia tangu mda mrefu nimekubali somo lako coz nazid kufanikiwa kupitia IMBA TOKA MOYONI pia nilikuwa na swali yan ni kwamba ni aina gani ya music nizid kufanyia mazoezi zaid ili sauti yangu iwe ok zaid
Mwalimu niko serious nataka kujua kuimba na ninakufuatilia sana, ombilangu kama kuna group lolote la wasap naomba niambie please nami uniungie naomba usipuuze please
Uko vizuriiiiiiiiiiiii sana, ngj namm nijitaidi kwenye mazoez ya sauti unayotufundisha, ubarikiwe sana.
Ahsante Sana Yan nilikua nashindwa kabisa kuimba sauti ya juu💞
kuimudu sauti yako ni pamoja kujua kuimudu pumzi toka mwanzo wa mstari hadi mwisho hii itakujengea stamina ya Kumaliza wimbo wala hutateseka tena itazame hii video tena na tena Utaelewa ninachomaanisha#usisahau #Kusubscribe #kushea na#kutoa maoni #IMBA TOKA MOYONI
Hongera teacher, tunataka utuletee na uimbaji wa sauti zote,1-4.Asante!!
Emmanho Dagodstar linakuja soon tu usijali
Najifunza kutoka kwako
Kaka napenda sanauimbaji lakini sauti yanguhuwa inkwama sana naomba unisaidie nifanyeje jaman namba unisaidie sana
Asante mwalimu kwa somo zuri, ubarikiwe sana, nimekuelewa.
Mwalimu kwakweli naomba nikutafuteee.... kiukweli nakosa pumzii ya kuimba ila napenda kuimba praise and worship, barikiwq sanaaa...tena mnooo na Mungu akubariki🙏
Karibu +255742438384
Thanks so much bro i learned something from this lesson
Nice Broo!!!!!!!!!!!!!!!
Karibu sana
Upo good Kaka
master kiki nakukubali sana bro
Mwalimu nashukuru kwa somo zuri
Mr kiki ur missed😍
+255712061252 nicheki Sasa ivi
Mwlm asante kwa kweli hapo kwa pumzi na mimi nimo ila somo hili tutafany zoez mi napenda kuimba Gospel songs napenda san kwa upande wa praise and worship
Sawa karibu ukiweza +255712061252 inahusika
Oky asante nashukuru hii inapatikan whtspp or
Ndio imo hi Sana hata Sasa nipo
Kazi nzuri sana kaka
Hongera kaka.Asante kwa somo zuri
Mr kiki mungu akubarik unapatikana wap?
Nipo Dar,,+255712061252
Vzr
Karibu sana
Mungu akubariki kiki.... Kazi yako njemaa
Ameen
Seen brother..... Understood
asante Kwa somo zuri
Ubarikiwe sanaa
Nakubali
nimepend sana ufundishaji wako
Woow Asante Sana karibu
zoez zuri sana
Amina
Napenda unachokifanya napenda niwemwanafunzi wako nitafute 0787476674 waxapu
Mwl nashindwa sana kufanya hy zoezi la pumzi
+255742438384
please fanya video moja ya jinsi unaweza kumsaidia mtu ambaye hawezi kuimba wimbo sambamba na beats. Yaani anapoimba anachelewa au anakimbia kuliko beats. Asante
Usjali utaiona Asante Sana endelea kujiunga
Hi mr Kiki m from kenya.Ningependa sana kujua jinsi ya kuimba vizuri sana ila sina nafasi ya kutisha nijifunze hata kanisani.Sijui kams unaeza nisaidia pole pole hapa youtube?.Asante
+255712061252
Napenda kuimba ila Sasa pumz ni shida
Sjaelland
Napenda kuimba kutoka tumbon nashindwa jmn
Nitafute kwa namba yangu UTAJUA MENGI
Saaafiiii
unaeleza vizuli inaeleweka hongela kaka
Waambie na wengine basi waje sawa ndugu,,ubarikiwe sana
Leo nimekuelewa zaidiiiîiiiii
Safiiii nipo kwa ajili yenu
Quality
Samahan mwalim ivi ili saut iwe na mtetetmo kwenye mikia na fanyaje
Sijui nafel wapi
Hello +255712061252
Mr kk ni2mie namba ako
+255712061252
We ni zaid ya mwalimu yaani huabatishi uko na uhakikia 100 %
Aminia mia mia ,karibu sana ndugu yangu
Asante sana teacher wangu yaani nakufuatilia tangu mda mrefu nimekubali somo lako coz nazid kufanikiwa kupitia IMBA TOKA MOYONI pia nilikuwa na swali yan ni kwamba ni aina gani ya music nizid kufanyia mazoezi zaid ili sauti yangu iwe ok zaid
Hadi nikusikie sauti unaimba je,tuma sauti ukiimba 0712061252
Asante
Kaka najifunza kutoka kwako
Karibu saàana
Hasa pumzi ya kuimba
+255712061252
Broo kuna darasa napenda kuimba
Chukua namba yangu hiyo
Tunashukulu sn
Mwalimu niko serious nataka kujua kuimba na ninakufuatilia sana, ombilangu kama kuna group lolote la wasap naomba niambie please nami uniungie naomba usipuuze please
Naomi Mmary +255712061252
Leo nasabskrab
Nahitaji kufundishwa kuimba
+255712061252
0674507952 nimekuerewa unaweza kunichk kwa hii number mwal
Mr.kiki
Niambie
Unapatikana wapi? 0745603870 naomba yako
+255712061252,,whasap
Ahsante Sana Yan nilikua nashindwa kabisa kuimba sauti ya juu💞