I just don't understand why this guy doesn't get the breakthrough and airplay that he deserves. Kama ni ngoma anaziachilia,kama ni video ziko on point, kama ni mistari zimepangwa, kama ni vocals ako nazo, what else do Kenyans want form this guy to to give there support to him.
Rhumba safi kutoka kenya,i hope one day ufanye collabo na papa koffi olomide na Fally ipupa...uko na kipaji kweli,ningekuwa investor ningekusupport mbaya...😂😂
Que o altíssimo lhes abençoe sempre pois tu és um grande cantor parabéns sou do Brasil e acompanho o seu trabalho mim chamo Emanuel Teles sou de socorro Sergipe
He's frm our hood South B...what a voice bro very much talented 🇰🇪🇰🇪🔥🔥it's been along since we saw him but today I came across a bad news that he's about to die because of food poison 😢😢GOD will help you and will rise and drop hot hits like this one's again 🤲🙏🏼🙏🏼You won't die Brother we pray for you 🤲🙏🏼🇰🇪🇰🇪🇰🇪pure talent 🔥💯
Nimetoka TikTok 👍🏿
Very talented wapi likes za Alpha mwana❤❤❤
Kabisa
si atupigie to rhumba moja safi alafu apite ile corner akutane na koffi oloo mide. band.walahi
🎉😢nakupenda sana let God lift this guy naomba kuinuliwa kwake
R. I. P kiongozi
I just don't understand why this guy doesn't get the breakthrough and airplay that he deserves. Kama ni ngoma anaziachilia,kama ni video ziko on point, kama ni mistari zimepangwa, kama ni vocals ako nazo, what else do Kenyans want form this guy to to give there support to him.
God's time
In Kenya pple don't support real sheet. We support nonsense
There is more to what meets the eye when it comes to fame and influence, wengine wame sell souls
😢😢
God bless mwana mtule
Safi mkuu
Nimetoka TikTok 😅😅
Niko na kipaji yakufika UA-cam
@gloriapraise3313 🤣🤣
Tamu❤.
Walijua unapenda Kula wakafanya hile kitu.. pole bro, people wanting to kill my favourite artists is so bad
Kweli kaka kipaji kipo ❤Mungu atatukumbuka
Rhumba safi kutoka kenya,i hope one day ufanye collabo na papa koffi olomide na Fally ipupa...uko na kipaji kweli,ningekuwa investor ningekusupport mbaya...😂😂
Kali sana, bro una vipaji
Nimefika kutoka tik tok 😅❤ best artist in kenya
Same here❤😂😂😅
Nzuri sana hii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kiongozi 🎉🎉🎉🎉🎉
Hapa mambo ni matatu
(1)like
(2)share
(3)Ama tukupeleke mbinguni
Much love Bro kitu tumekikubali💜💜💜
One day It gonna pay
I like the music
Ni vizuri kuwa mu-open😢
Mfalme wa rhumbaa🎉🎉🎉bravoh able director Sk.Mandela
Alpha❤
Que o altíssimo lhes abençoe sempre pois tu és um grande cantor parabéns sou do Brasil e acompanho o seu trabalho mim chamo Emanuel Teles sou de socorro Sergipe
wow i love this song meehn
Rift valley tunakuskiza bro❤❤❤❤
Pure talent. May the Lord introduce you to Kenya and to the world.
Kazi safii
I don't think there is anyone in Kenya currently more talented than this guy
After seeing Ericko coming for you hospital I knew God will work out Na sai nmekuona ukitoka hosi bro God loves you we love you piah long live
Wapi za mtule jitu.
Moto fayaa...keep it up bro
❤❤❤❤❤ good one kaka alpha keep it ip
sijai elewa mbona hujai hit hii nchi msee na venye we ni mmoto nmeanza kuskiza toka enzi za kila siku
Our upcoming Fally Ipupa🥺♥️♥️
MWANA MTULEEEEEEEE, MBAYAAAAAAA MKUUU.....OBASH OBASH OBAAAAAAAAAASH!!!!!!!
Bro uko na talent.,,. Uko m open ni investors na management ndo umekosa
Support ya mafans uko nayo😊😊
Kali hii🔥🔥🔥 tusapoti vipaji😂
This is comedy
Massive massive tune, thx to Tik Tok 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kumbe nina kipaji😂😂😂
He sings whole heartedly... Nakupenda bure ❤
Tuna siku utapenya my guy
Niko na ngoma za huyu msee Karibu kumi na zote ni tamu
He has voiced what he is struggling with. May you get the help that you need. Guardian Angel hold this brothers hand😢😢
Waoooooohhh, hapo sawaaa , kaka Alpha
Nice
Song
😢😢😮😮❤❤❤
investors na management tunawaomba support yenu
Hii rumba iko 🔥 🔥 🔥
Lakini hivi vipaji navyo weee, especially hicho cha kutooga
Unakipaji kikubwa sanaaa my brother
Asante Sana. Leo nimefurahi Sana juu yako kaka
Noma sana
SOJA O Tv. i❤❤❤
Nimekuamini uko na kipaji kushinda hata otile💪💪💪
Vocals 💯
Kicongo ya uongo 💯
Video 💯
Creating 💯
Big up my G
Kicongo ya uongo 😂😂 uyu msee kumchukua serious ni ngumu. Anakaa comedian hivi
😂😂😂
Amazing talent🎉
Kicongo za uongo iko on point, uzuri amesema ni 100%😂
Hidden message here,,, strong bro
You desearve a million views broo
Wow nice song 💕
Kazi poa bro,kenya pia tuko na fere cola na falypupa
Supporting the talent❤❤
Ungetunga love songs walai ingehit sana. Sauti💯 talanta 💯
Alpha go go go 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 unajua sana
Rispect bro
😂😂😂😂no comment but nimependa 😂😂😂this way noooo
Sichoki kukutazama na kukusikiliza kaka. Una kipaji sana. ❤
❤❤❤❤❤❤my G forever 🎉very much talented
Kaaaaaali☝️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimependa go song saaaaaana bro
jaguaar alisema ulinyura manze muongo huyo
Bro ningejua ningetuma ata k
Moto faya sana❤🎉❤
Inaweza bro keep it up❤❤❤❤❤
Raize B uko wapppi ☺️❤️❤️💯🔥🔥🔥🔥🔥
Sasa usikate tamaa na panga buda
Our own Rhumba artist ❤❤❤ anyone to send me this song please...I love the Rhumba beats
❤
Iyo sauti inatokea hapo kwa kuepa landlord naipenda🔥🔥🔥🔥
Naipenda! Ni vizuri kuwa mu open, tusupport vipaji
Replacement ya piston 👊👊, gospel ni tamu sana ikiwa na rhumba kidogo
He's frm our hood South B...what a voice bro very much talented 🇰🇪🇰🇪🔥🔥it's been along since we saw him but today I came across a bad news that he's about to die because of food poison 😢😢GOD will help you and will rise and drop hot hits like this one's again 🤲🙏🏼🙏🏼You won't die Brother we pray for you 🤲🙏🏼🇰🇪🇰🇪🇰🇪pure talent 🔥💯
He's from kayole
@@RKBro-jr1ts nikusaidie aje Sasa??
Kipaji ipo....ni vizuri kuwa open
Kusema ukweli kipaji unacho sauti unyama kip shinning
❤
Much love from WAKALI TYCOON 🌟 UA-cam channel
Zaidi bro uko saw ops uko sawa sasa piga kazi🤝
💙💙💙love the song broo...big up
❤❤❤❤ni vizuri kuwa m open
Our fally puppa
Kumbe ni mkenya,,aki huyu ameweza,he is our Le Padre,,,i like the voice aki,u can comfortably do collabo na ferre gola bro.wooow!
Investment na management Niko hapa
Kazi safi bro kuwa mu open
Rhumba ya kisomo. Ngoma legit... Jiiiituuu
Street King iz around
The beats and vocals are just perfect 👌
Kali sana bro💪💪💪
Rhumba safi bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Alpha kakangu kipaji kipo...
Uko na kipaji cha kujicheka mwenyewe😂😂
Nimeingoja sana mkuu
Papah alphaaa..🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪
Bro uko talented but underated kama mimi tu
This song should go viral Kenyan be serious This should be 1m by 2 weeks
😂😂😂 lakini Alpha
Ngapenda hii bro👏 great hit 🎯😊
mozambé mbële kíoko Kíthòko😂
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🔥