Serikali yasema shule zitafunguliwa wiki ijayo

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 кві 2024
  • Huku mafuriko yakizidi kusababisha maafa na mahangaiko nchini, Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kwamba ufunguzi wa shule kwa muhula wa pili utaendelea kama ilivyoratibiwa licha ya jumla ya shule 64 kuathiriwa na mafuriko nchini. Aidha, naibu rais amesema kuwa serikali itatathmini hali na kutoa mwelekeo kuhusu athari za mafuriko kwa shughuli za masomo. Gachagua amesema kuwa serikali kuu iko tayari kushirikiana na zile za kaunti ili kutatua changamoto zinazotokana na mafuriko

КОМЕНТАРІ • 13

  • @abdulazizkilai7285
    @abdulazizkilai7285 11 днів тому +5

    Shule should remain closed mpaka hii mafuriko ikwishe ..wazazi wacheni watoto wakae kwa nyumba ..never lose your loved kids due to these hyenas in power..floods everywhere na wanasema watoi waende shule.. do they care actually wanataka tuu hio school fees hawajali maisha

  • @dorcasnjeri2858
    @dorcasnjeri2858 10 днів тому +2

    I thank God during general election i slept Hawa ni Nani mlichangua coz he doesn't have kids who are going to school

  • @Steposhina
    @Steposhina 12 днів тому +3

    My small one will chill at home

  • @sharonchirii7332
    @sharonchirii7332 9 днів тому

    Nkt! Juu wako wanasoma shule mzuri 🤧🤧

  • @SaraMoraa-ji9df
    @SaraMoraa-ji9df 3 дні тому

    Zifungwe till further notice watoto wasirisk maisha

  • @valerieshinia8526
    @valerieshinia8526 9 днів тому

    Extend for a day to repair schools is this man even sane egg goodness : 😢😢😢😢

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 11 днів тому +1

    domo kaya watoto wawe nzenu waende na mafuriko paka nyinyi

  • @MkJunior-ux8xf
    @MkJunior-ux8xf 12 днів тому +1

    Come on men🤦🤦

  • @samjuma4207
    @samjuma4207 10 днів тому

    Wewe naye uwa ngombe mzee

  • @shadrackkaremu782
    @shadrackkaremu782 10 днів тому

    0:27

  • @enockadieri
    @enockadieri 11 днів тому

    You people why ask Gachagua such a question and expect a normal answer,this guy has no children in school,he has grandchildren and they don't us school busses, Bure kabisa

  • @Zakaria-pn1uv
    @Zakaria-pn1uv 9 днів тому

    Mjinga huyo