Dr msaada mie nimefanyiwa upasuaji lakini kidonda kinasumbua kupona nimeshonwa zaidi ya mala2 lakini unajikuta kinajitokeza kijishimo kinapelekea kutokwa na majimaji yanayo toka tumboni nilihitaji msaada
Dr mm nimefanyiwa op tok mwez wa 10 trehe 9 naumwa San mgong kiuno na ganz inaniwak Moto naskia vichomi pemben ya tumbo shida itakuwa nn dawayake nn y mgong na kiuno na ganzi nijibu
Habar docrat mimi nimefanyiwa op ina nakuwa napatwa navichomi naulizungumzia kuusu mpila wamkojo mimi nilikaanao siku 14 yakumina 15 ndonikaenda kutoa ina sasaivi ukeni kwang kunakuwa nahali yamaji maji vi inakuwaje iyo au unatoka ute mzito
Dokta habar yako,pole na kazi.naitaji kujua lini aoge mtu alojifungua kwa upasuaji
Dr mm nimefanyiwa preshen Sina ham yakula kabisaa
Dokt habari mm nimefanyiwa upasuaji ila mwili umekufa ganzi miguu inauma sana na mikono
Dam ya uzazi kwa mtu wa operation inakata baada ya mda gani? Na je nin dawa ya kukata ikiwa inaendelelea kutoka?
Mimi ninaomba kujua dawa zipi nzuri zakutumia mara tu ukitoka kufanyiwa upasuaji dr?
Dr msaada mie nimefanyiwa upasuaji lakini kidonda kinasumbua kupona nimeshonwa zaidi ya mala2 lakini unajikuta kinajitokeza kijishimo kinapelekea kutokwa na majimaji yanayo toka tumboni nilihitaji msaada
Tumia asali kuweka hpo kwenye kidonda tobo
@@christinamboya6743iyo asali unawekaje?
Matunda gan anatakiwa kutumia mzazi wa operation
Dr mm nimefanyiwa op tok mwez wa 10 trehe 9 naumwa San mgong kiuno na ganz inaniwak Moto naskia vichomi pemben ya tumbo shida itakuwa nn dawayake nn y mgong na kiuno na ganzi nijibu
Umpon
Ndgu yangu alikuwa na kg 100 alifanyiwa opereshen baada ya week ameanza kutoa usaha ,ni mwez na siku anatoa usaha mwingi maana yake Nini?
Je kupakwa asali kwa mtu aliyejifungua kwa upareshen Kuna madhara?
Hakuna Madhara.
❤❤ thanks je apakwe kutwa mara ngapi kwenye kidonda?....
Habar docrat mimi nimefanyiwa op ina nakuwa napatwa navichomi naulizungumzia kuusu mpila wamkojo mimi nilikaanao siku 14 yakumina 15 ndonikaenda kutoa ina sasaivi ukeni kwang kunakuwa nahali yamaji maji vi inakuwaje iyo au unatoka ute mzito
nipigie 0653693092
@@drnathanstephen.3882hellow dam ya uzazi hukata baada ya mda gani? Kwa aliefanyiwa upasuaji?
Kee it Up Doc.
Thanks..
Je mtu alofanyiwa uparesheni anatakiwa kulala vipi?chali?, Au ubavu
🙏
Dr wiki sita ni miezi mingapi? Me nimefanyiwa upasuaji na je hizo wiki 6 ikatokea nimepata mimba bahati mbaya itakuwaje?
Nimepata mimba baada ya miezi mitatu kujifungua kwa kupasuliwa
Mtu anaeza pata mimba baada ya miezi sita baada ya kufanyiwa upasuwaji ama tumbo litapasuka
Mda gani
Dct samaan naitaj kuuliz iv inaweza. Ukasafili safali ndefu na mtoto akiwa na wiki ngap
Kweli
MTU akijifunguwa kwa upaleshen ana zaa mala gap
5
@@jacqueisaac81554
Kumbe mimi niko na 3 nitaeendelezea🎉❤