Ewe mtume wetu Muhammadi Qaswida ya Kiswahili kwa sauti ya kuvutia Mombasa Kwa Kulthum Khitamy
Вставка
- Опубліковано 5 гру 2024
- Ewe mtume Muhammad
(Ewe mtume muhammad salamu twakuletea
In shaa Allah mola wadudi neema takuengezea) *2 Akutukuze zaidi rehem kukushukia *2
Rabbi akupe wasila siku hiyo ya qiyama
(Twakutakiya mazuri ulipokukufikia
Rabbi akujaze kheri kutuonyesha njema njia)*2 Ndiwe tumwa wa fakhari hakuna wakukungia *2 Rabbi akupe wasila siku hiyo ya qiyama
Umetutendea wema kwa dini kutuletea
Na yote uloyasema ni kweli tumeridhia
Niwe mtume wa ruhuma kwa walimwengu jamia Rabbi akupe wasila siku hiyo ya qiyama
( Nasi milioni mara mtume twakuswalia,
Na sote tuko imara kukufuata nabia )*2
Wewe ndiwe tumi bora kushinda mitume pia *2 Rabbi akupe wasila siku hiyo ya qiyama