MWALIMU YANGA AMWAGA MACHOZI YANGA KUSHINDWA KUFUZU ROBO FAINALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 210

  • @silvamsophe4392
    @silvamsophe4392 7 годин тому +3

    Wewe ni history zimekujaa umekosa maneno jinga sana

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 18 годин тому +6

    asitutoe nje ya reli huyu naona historia zimekua nyingi au ndo kuchanganyikiwa😂😂😂

  • @DomnHppy
    @DomnHppy 5 годин тому +1

    ili FYUZI halina kabisa wakimbana maswali yanayo muhusu anakumbukaa MUNGU kweli mfa WATER

  • @HassanLicheula
    @HassanLicheula 20 годин тому +11

    Huyu mshamba mwalimu wakat simba anashushwa na hizo timu wao yanga walikua wapi

  • @MusaJuma-y6s
    @MusaJuma-y6s 11 годин тому +2

    Mashabiki yanga machizi wote

  • @AllyKipanga-sg4qb
    @AllyKipanga-sg4qb 8 годин тому +2

    Uyu jamaa afai kuojiwa ajui kitu anaposha 😅😅😂😂😂😂

  • @petroisamba8226
    @petroisamba8226 19 годин тому +5

    Yana huyu kama ni mwalimu bas lazma wanafunzi wafeli Hana kumbukumbu na hajui anaongea nini bogazi kabisa 😅

  • @AshuraChamwana
    @AshuraChamwana 6 годин тому +1

    Analia masikini

  • @StevenManguzu
    @StevenManguzu 10 годин тому +1

    Simba baba lao acha ushamba dogo Simba ndo wachonga njia hapa bongo, yanga Bado sn, na Bado mtaelewa tu.

  • @IbrahimuSaid-fz9yy
    @IbrahimuSaid-fz9yy 5 годин тому +1

    Amna la maana analoongea mara simba mara ahmed ally mara mungu mara marekan kuna moto 😂😂😂 amevurugwa 😂😂😂 mara dodoma yaan haelewek kavurugwaaa😂😂😂😂😂

  • @ahmadifundi
    @ahmadifundi 6 годин тому +1

    Leo mnajua kuwa kuna mungu na mlitaka malaika 😂😂😂

  • @Dls24-l6v
    @Dls24-l6v 9 годин тому +3

    Uyu amechanganyikiwa😂Simba imeingia robo finali mara mbili mfululzo 22/23 kundi moja na raja Ac,horoya,Simba na vipers& 2023/24 Simba yupo na wydad,Simba,Asec mimosas na jwaneng Galaxy 😅sasa kama wewe hujachanganyikiwa ni nini😮😂

  • @MwalimuAdamu
    @MwalimuAdamu 8 годин тому +1

    Tunataka shairi lako mwalimu au umechanganyikiwa

  • @epaphraslugendo8790
    @epaphraslugendo8790 8 годин тому +1

    😂😂😂 anashida ya akili huyu

  • @desderiusntondero9588
    @desderiusntondero9588 21 годину тому +4

    Nimewahi sana kwa ajili yako unakera

  • @EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA
    @EMANUELNYOLOBIMAKANYANGA 8 годин тому +1

    Mwalimu akili hana

  • @AssahKaluwa-sx9tq
    @AssahKaluwa-sx9tq 12 годин тому +1

    Upo vizuri kwakututunizia rekodi kwati huo Yanga ilikuwa wapi 😅😅😅😅😅😅

  • @SojaWaBrazil
    @SojaWaBrazil 15 годин тому +2

    Yanga team yetu mbovu wazee wengi

  • @MafundaSaid-r8p
    @MafundaSaid-r8p 7 годин тому +1

    Baba zungumzia uliyoulizwa 😂😂😂😂😂

  • @sakaraboy8951
    @sakaraboy8951 18 годин тому +2

    WAKATI WENZENU WANASAJIL WACHEZAJI... NYINYI MNAGOMBANIA MABAKULI YA SUPUUUU.. 😅😂😂😂😂😅😂

  • @faustinedeogratias4337
    @faustinedeogratias4337 19 годин тому +2

    Mashabiki wa yanga hawajibu maswali yanayohusu team yao, wao wanaelezea mambo ya simba sijui yanawahusu nin

  • @ernestkibano
    @ernestkibano 23 години тому +1

    Ni mpango wa mwarabu bhana😮❤😂🎉

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 6 годин тому

    2023 nusu fainali shirikisho kwa yanga

  • @privatusatilio9676
    @privatusatilio9676 22 години тому +1

    Kajamaa kamevimba usoo 😂😂😂😂

  • @SylivesterChimojino
    @SylivesterChimojino 18 годин тому +1

    We choko kweli mbn hujielewi unajibu upumbavu

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 23 години тому +2

    Uyu ndo anamdomo kuliko wote 😂😂 kimeumana kapoooa

  • @isakaramadhani1630
    @isakaramadhani1630 22 години тому +1

    Huyu fala hiyo haikua robo 😅

  • @kinghman8353
    @kinghman8353 22 години тому +2

    bado aujasemaaaaaaaà

  • @Khamisyussufkhamis
    @Khamisyussufkhamis 6 годин тому

    Hili kweli jinga

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 22 години тому +1

    ASANTE SANA KWA KUIFUATILIA SIMBA SC.. LAKINI KWA BAHATI MBAYA UBONGO WAKO UMEJAA KINYESI...

  • @SaidMkome-p6s
    @SaidMkome-p6s 12 годин тому

    Yanga ilikuwa wp

  • @cylaspaul1596
    @cylaspaul1596 22 години тому +1

    Daaah yani hadi unatia huruma coz maneno unayoongea na uso wako ni vitu viwili tofauti kabsaa😂😂

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 23 години тому +1

    Kamdomoooo 🐸👈🦩🦩🦩

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 2 години тому

    Keshapakwa futa nyuma...😁😁

  • @PeterMuhina
    @PeterMuhina 14 годин тому +1

    Chizi ilo

  • @yusuphKapesa-v9e
    @yusuphKapesa-v9e 3 години тому

    Unatak kuxemaje mbwaaaaaa wew

  • @BabuMwamba
    @BabuMwamba 22 години тому +1

    Kacheza Mpira Huyu Jamaa

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 10 годин тому

    Ameshachanganyikiwa huyu mbwa eti mwakani,ikimpendekeza Mungu.....😂😂😂😂😂

  • @geofreymlumbe7243
    @geofreymlumbe7243 12 годин тому

    Wewe zuzu tu hujui hesabu Rose anjoozi😅😅😅

  • @nassibchatta651
    @nassibchatta651 16 годин тому

    Saiz ndio anaijua Hilo 😂😂😂😂, Mbona ulisema Jumatatu utatoa neno ukamuaidi MANDALA

  • @HilárioAbdul11
    @HilárioAbdul11 23 години тому +1

    Zajili Luís miquissone 😂

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 10 годин тому

    Lione sura mbayaa maahavu kama anapuliza moto

  • @AgustinoMbilinyi-in4cg
    @AgustinoMbilinyi-in4cg 9 годин тому

    Wewe ni mshamba tu Leo ndounakumbuka kuwa nimipango ya mungu

  • @edwardgeorge7620
    @edwardgeorge7620 19 годин тому

    Namkumbusha 2022/2023 simba kacheza ligi ya mabingwa akatolewa na wydad robo fainali na 2023/2024 kacheza ligi ya mabingwa katolewa na Alhaly robo fainali iyo siyo back to back?

  • @AgostinoRaphail
    @AgostinoRaphail 10 годин тому

    Muongo huyu tp Mazembe vs Simba ilikuwa robo fainal kwenda nusu ,ndio droo Taifa nne moja kongo

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 10 годин тому

    Haya unamuongelea ahamed ally u naachakuongelea simba

  • @AdolfMhando-b9p
    @AdolfMhando-b9p 13 годин тому

    Kwa hyo leo tunaongelea simba

  • @EmmanuelJohn-x7h
    @EmmanuelJohn-x7h 22 години тому

    Mwalimu wa wapi wa hivi😂😂😂 akatangaze mnio tu. Chaooooooh😅😅😅😅😅

  • @JeremiahNassania
    @JeremiahNassania 7 годин тому

    Mwl. Yanga apelekwe mirembe ni kichaa huyo habebi makopo tu.

  • @OmaryKisai-e9r
    @OmaryKisai-e9r 11 годин тому

    Gusa achia rud jangwan mkifel mnajifichia kweny kichaka cha simba

  • @bilalkhamishaji523
    @bilalkhamishaji523 23 години тому

    Naona leo amekuwa mchungaji😂😂😂😂

  • @absm8084
    @absm8084 10 годин тому

    Unaongea ila moyo unakuuma😂😂😂😂😂😂

  • @salumajib7302
    @salumajib7302 2 години тому

    kimdomo tu😂

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 9 годин тому

    We ndio mshamba hujui harakati za kuingia robo kaa kimya

  • @ernestkamata2555
    @ernestkamata2555 23 години тому +1

    Mashindano haya siyo size yenu leo ndo unaongea habari za Mungu

  • @RODGERSGODFREY
    @RODGERSGODFREY 11 годин тому

    Mwalimu ongea mpila achana na takw,umu umesha shindwa kubali matokeo

  • @Seddsaid157
    @Seddsaid157 23 години тому +1

    Mpango wa mungu wapi na mliomba malaika

  • @RamadhanMohd-q8l
    @RamadhanMohd-q8l 7 годин тому

    tushakwenda rombo tukatolewa na ahli tusha kwenda robo tukatolewa na kaiza chief tusha kwend robo tukatolewa na waydad ww hujuw mpira

  • @jamaljumanne2000
    @jamaljumanne2000 23 години тому

    Yanga itakuua

  • @SaidMlekwa-p4g
    @SaidMlekwa-p4g 8 годин тому

    Akili zimerudi

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 4 години тому

    Yanga ilikuwawapi kipindi hikochote

  • @HenryCastuli-jz3cx
    @HenryCastuli-jz3cx 19 годин тому

    Unamkosea mungu kilicho sababisha yanga kutoingia robo ni cocha cy mungu

    • @WiliamuObadia
      @WiliamuObadia 19 годин тому

      We ongelelea timu yako leo umetolewa kwa makosa gani mungu hachezi wacheji wenu wamechoka kichaaa ww

  • @mwamakaassely2260
    @mwamakaassely2260 23 години тому

    Huyu jamaa ni msenge kabsaaa

  • @JordanAlbinu
    @JordanAlbinu 11 годин тому +1

    Uyu mwalimu wa nn kwani

  • @adamkasege28
    @adamkasege28 14 годин тому

    22/23 na 23/24 mara mbili mfululizo

  • @JumaSaideAbdala-b4k
    @JumaSaideAbdala-b4k 11 годин тому

    Huyu mwehu kweli.

  • @TausiJamali
    @TausiJamali 22 години тому

    Hebu muacheni anaweza kuvua nguo bure 😂😂😂

  • @EzekielEmmanuel-u1z
    @EzekielEmmanuel-u1z 22 години тому

    HAdi AIBU

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 22 години тому +1

    HUYU MWALIMU YANGA SI NDIO WALIOSEMA MUNGU ASHUSHE MALAIKA WACHEZE NA YANGA KWANI TIMU ZOTE ZA DUNIANI HAWAIWEZI YANGA?

  • @Madangaclassicwear
    @Madangaclassicwear 22 години тому

    Haka kabwege saana maana kanaropokaga sana 😂😂😂

  • @AlfredMpepo
    @AlfredMpepo 10 годин тому

    Chakula Cha watu hicho

  • @RahmaKhalfani-qp3vc
    @RahmaKhalfani-qp3vc 10 годин тому

    Leo ndio unajua kama kunamungu simlisema mnataka kucheza na malaika

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 23 години тому

    Gusa achia twende Jangwani # bahari haiweki uchafuuuuuuuuh#Torkos

  • @AsiamohamedMasauni
    @AsiamohamedMasauni 23 години тому

    kamdomoo kamdomooo vp leo calculator 😂😂😂😂😂

  • @ShijaMaige-z8d
    @ShijaMaige-z8d 18 годин тому

    Leo umemjua mungu eeh!!

  • @kinghman8353
    @kinghman8353 22 години тому

    kanajitetea akana swaga

  • @anselmjohn7819
    @anselmjohn7819 22 години тому

    Yanga itakuua tulia

  • @mossewazawa2816
    @mossewazawa2816 23 години тому

    Huyu choko muongo Simba 20/21
    Alikuwa na J seur, kundi moja🤣🤣
    Akat tulikuwa na As vita

  • @magutukemwita9293
    @magutukemwita9293 20 годин тому

    Haelewi hata anachosema, kwamba simba hawawahi kwenda mara mbili mfululizo?
    Msimu hana na msimu juzi kaenda yeye.
    Simba mwaka juzi anatolewa na wydad mwaka jana anatolewa na alhy

  • @wilsonsigara2969
    @wilsonsigara2969 16 годин тому

    Wewe muwalimu choko nyau wewe 😂😅😅😂

  • @BenjaminiRevocatus-n6g
    @BenjaminiRevocatus-n6g 23 години тому

    MwAlimu huna hakil

  • @AbdallaAli-dn6xp
    @AbdallaAli-dn6xp 21 годину тому

    Mnamjua mungu leo

  • @abdallahrashid43
    @abdallahrashid43 7 годин тому

    Halafu mnamuita mwalimu huyu ni mpumbavu mmoja hana anachokielewa leo hii wakati wa mungu sio wakati wa malaika tena

  • @hamisdodi-cu7bu
    @hamisdodi-cu7bu 23 години тому

    Umesha.pona.tayari

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 11 годин тому

    Sisi mwaka robo vipi wenzetu kenge nyiee hamjielewi

  • @azizakiswili9063
    @azizakiswili9063 4 години тому

    Unaulizwa kutolewa unaleta story za Simba,huyu mwehu mnapenda kumpa muda wa kupoteza

  • @WiliamuObadia
    @WiliamuObadia 19 годин тому

    Ongelea soka sio simba simba imefuzu makundi

  • @nestoryluvahofi
    @nestoryluvahofi 12 годин тому

    We unaakili nenda shule zimefunguliwa

  • @franccoz94
    @franccoz94 22 години тому

    HUYU MWALIMU HAJUI HESABUU, WANAFUNZI WAKE WATAKUA MBUMBUMBU SANAA

  • @emmanuelmruve821
    @emmanuelmruve821 23 години тому

    Mungu kakumbukwa huku leo

  • @florencejames-jo1cz
    @florencejames-jo1cz 16 годин тому

    Huyu kama anafundisha darasani wanafunzi lazima watafeli wote

  • @KatambaSteven-s2x
    @KatambaSteven-s2x 21 годину тому

    HUNA AKILI MWALIMU FEKI

  • @xhampoza_25
    @xhampoza_25 10 годин тому

    Ndo mnapo feli hamjui kuongea ukweli kwenye timu yenu

  • @AlfredMpepo
    @AlfredMpepo 10 годин тому

    Ona domo lake kama kapu la samaki. Mishavu imemshuka kama shoga la kipemba

  • @SIMONZAVERY
    @SIMONZAVERY 12 годин тому

    We huna akili sasa kama unajua hayo yote kwann ujinasibu acha kamdomo

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 23 години тому

    Utopolo wanamtaja Mungu

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 2 години тому

    Meno kama mamba

  • @voisaclassic1866
    @voisaclassic1866 15 годин тому

    sio losi anjolosi ww acha uongo ni calfornia ndo moto umetokea😂😂😂😂😂😂

  • @hatibushekika
    @hatibushekika 23 години тому

    Gusa achia

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 18 годин тому

    Nan kamtaja msemaji apo uyooooooooooo😅