It's Very Sad and Unfortunate! Kutokana na Kauli za Mbowe apokuwa na Kikeke, ameonyesha Chuki kubwa na Hasira kwa Tundu Lissu. Ukweli Lissu hajadhalilisha Kiongozi yeyote, bali Lissu ni muumini mkubwa wa Ukweli, Uwazi, & Utawala wa Sheria na Haki pamoja na Kupambania Katiba Mpya, na Utawala Bora. Ndio anaitwa majina machafu, na kashgar za Uongo!
Hili jina la tundulisu liko mbele kama tai huyu mwamba anakubalika Kwa ukweli ,,uwazi kutetea wanyonge na kutoogopa kumunyoshea mkono mwenye makosa pawe ndani ya chama na inje ya chama ukitaka kuamini kama lisu watanzania wanaimani naye angalia tulivyo mchangia pesa ya gari japo haijatimia tutachangia tena
Kama CHADEMA ni mpango wa Mungu, basi na LISU ni mpango wa Mungu vilevile. Na ndiyo maana walimpiga Risasi na hakufa. Nawahakikishieni huyu atakuja kuwa Rais wa Tanzania. Mungu yupo na ni mwema sana.
Hapa sasa wajumbe ambao watapiga kura ndio waamuz waiue chadema au waijenge maana alieongoza miaka 21 wajiulize chama kilipofika kinasongambe au kimerudi nyuma
Kwa kuwa anayohaki ya kikatiba,asishinikizwe kutogombea,atimize haja yake,hatimaye box la kura ndilo muamuzi mkuu,atayemaliza mjadala,mtoto akililia wembe mpe.🤔
Lady of Knowledge @Shangazi Maria.
Ur the best no doubt about it Maria.❤
It's Very Sad and Unfortunate! Kutokana na Kauli za Mbowe apokuwa na Kikeke, ameonyesha Chuki kubwa na Hasira kwa Tundu Lissu. Ukweli Lissu hajadhalilisha Kiongozi yeyote, bali Lissu ni muumini mkubwa wa Ukweli, Uwazi, & Utawala wa Sheria na Haki pamoja na Kupambania Katiba Mpya, na Utawala Bora. Ndio anaitwa majina machafu, na kashgar za Uongo!
Hili jina la tundulisu liko mbele kama tai huyu mwamba anakubalika Kwa ukweli ,,uwazi kutetea wanyonge na kutoogopa kumunyoshea mkono mwenye makosa pawe ndani ya chama na inje ya chama ukitaka kuamini kama lisu watanzania wanaimani naye angalia tulivyo mchangia pesa ya gari japo haijatimia tutachangia tena
ACHIA NGAZI MHESHIMIWA SANA..FREE MAN AIKAELI MBOWE
PLEASE MBOWE FWATA NYAYO ZA HAYATI MWALIMU JULIUS NYERERE. NG'ATUKA TU KWA FAIDA YAKO NA CHAMA.
Kipao mbele chake ni kufia madarakani.
Kama CHADEMA ni mpango wa Mungu, basi na LISU ni mpango wa Mungu vilevile. Na ndiyo maana walimpiga Risasi na hakufa. Nawahakikishieni huyu atakuja kuwa Rais wa Tanzania. Mungu yupo na ni mwema sana.
Hapa sasa wajumbe ambao watapiga kura ndio waamuz waiue chadema au waijenge maana alieongoza miaka 21 wajiulize chama kilipofika kinasongambe au kimerudi nyuma
VERY DANGEROUS ""BY MARIA!!
😢😢TRUBLE