RAIS SAMIA AWATAJA WAKUU WA MIKOA WABABE NA VIBURI WANASEMA WANANIWAKILISHA HATA MAH..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • RAIS SAMIA: AWAONYA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WABABE NA VIBURI WANASEMA WANANIWAKILISHA HATA MAH..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #RAISSAMIA #AWAONYAWAKUUWAMIKOA #WABABENAVIBURI #WANASEMAMAWANAMUWAKILISHARAIS #BREAKINGNEWS #rcmakondamonduli #rcmakonda #MAKONDALEO #MAKONDALIVE #tikitvkiakilizaidi

КОМЕНТАРІ • 74

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому +10

    Samia hii nchi inataka vichwa kama vya makonda

  • @eliamwankenja7087
    @eliamwankenja7087 3 місяці тому +7

    Naomba makonda Mungu amlinde

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx 3 місяці тому +5

    Kama utamtoa makonda na slaa umebugi kurautazikosa maana wengi wamekupongeza kwakuona vijana hao wanavyopambana kama umedanganywa nawababe wanchi hii kwakutetea uovu wao basi wamekuingiza chaka

  • @nicodemashaggite8429
    @nicodemashaggite8429 3 місяці тому +6

    Mama usipokuwa makini na hao watu wako ukatekeleza Kila wanachokuletea, utaumia na kuumiza raia wasio na sauti.
    Tuachie MAKONDA ATAKUSAIDIA SANA HATA KWENYE UCHAGUZI

  • @SaidHassen-gf5tx
    @SaidHassen-gf5tx 3 місяці тому +2

    Hii nchi ngumu kweli ukiianza kuyabana majizi na mafisadi watsfanya kila njia tu.huyu mama atapelekwa pelekwa tu .hvi huyu rais haon wananchi wanavoonewa na kudhulumiw na mijizi au raia wa chini hawana haki.makonda brother fanya kazi usimsikilize ata yy mama kama ataki wanyonge watetewe mwache akuondoe huo ukuu wa mkoa endelea na mishe zako.halaf ikifika 2025 gombea mahali popote haone utakavozoa kura

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 місяці тому +4

    Mama hiyo kamati sina imani nayo kama itakuwa imemgusa makonda 😊

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 3 місяці тому +3

    Nchi inataka watu kama Makonda ,aslaa na wengine wanaojua maumivu wanayopitia wanyonge kwa kudhulumiwa .

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 місяці тому +3

    Viongozi wa juu.wameanza kumletea majungu Makonda.

  • @HellenSulle-m7t
    @HellenSulle-m7t 3 місяці тому +1

    Hiyo kamati ndo wale wale ila Mungu kwanza Tanzania baadaye

  • @bahatitumaini347
    @bahatitumaini347 3 місяці тому +2

    Mkoa wa songwe tunamtamanianmakonda saana seeema vyoooote usimseme makonda na mpina kwa ubaya

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 3 місяці тому +4

    Izi koment zingekuwa zinatumwa IKULU

  • @Danfordfungo-m4y
    @Danfordfungo-m4y 3 місяці тому +2

    hiyo kamati niyamaninzi yanayotaka kutunyanyasa wanyonge acheni hao wakuu wa mkoa wafanye kazi kama makonda ukimuondoa tu makondda ukweli utaiharibu ccm rai yangu acha makonda afanye kazi kweli tunampenda sio mimi tu wengi wanampenda makonda

  • @wazirimfilinge2610
    @wazirimfilinge2610 3 місяці тому +1

    Mama etu Mnzuri Mungu akujaharie utendaji mwema wakazi ya kujenga Taifa letu.Mimi nakutakia heri kwa Mwunyazi Mungu.

  • @Danfordfungo-m4y
    @Danfordfungo-m4y 3 місяці тому +3

    mama ukweli tunaomba makonda umpe cheo cha juu ili awe na nguvu za kututetea wanyonge tunanyanyaswa wananchi wako wa hali ya chini makonda si mkuu wa mkoa wangu wairinga lamini nampenda sana nataman kama unge mleta iringa ukweli anatupa hata hamu ya kuipenda ccm ombi letu makonda muache afa nye ka,zi

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 3 місяці тому +3

    Mama nakuomba makonda awe wazili mkuu kwa saiv atakusaidia sana mpina awe wazili wa kilimo

  • @Joseph-qp6qt
    @Joseph-qp6qt 3 місяці тому +2

    Mama ungejua wanyonge tunavyo nyanyaswa ungewaacha tu hawa wakuu wa mikoa waenderee kutusaidia

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 3 місяці тому

    One of the difficulty is about been protected km nchi ingelikuwa na katiba mpiyia yenye kulinda haki hata raisi anapata unafuu wa kutawala raisi kuwa na majukumu yote kuangalia viongozi wote nchi nzima sio kazi rahisi Sababu sio viongozi wate watakuwa waadilifu kwa sababu nguvu ya raisi Iko mbali mpaka ifike huko chini tayari kiongozi kaharibu vya kutisha ndio maana utawala bora ni sheria kwa wate masikini na tajiri bila hivyo ni utawala wa kihimla ktk nchi

  • @MnmTv255
    @MnmTv255 3 місяці тому +1

    Hongera kazi njema ila serikali kuna wizara wako kwa ajili ya. Maslahi yao

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 3 місяці тому +3

    Lengo ni kumwondoa Makonda

    • @mariakabonga2
      @mariakabonga2 3 місяці тому

      umeona na wewe yaani wanazunguka weee lakini lengo ni kumtoa makonda tatizo mama simlaumu hao anaowaamini hawaaminiki na anaaminishwa kuwa wale wanaofanya vzr kuondoa uozo na uonevu wanaonekana wabaya sisi ni wananchi tunampenda sana makonda kwa utendaji wake wa kazi

  • @HellenSulle-m7t
    @HellenSulle-m7t 3 місяці тому

    Ila kwa ujumla kama huyu mama anamwongelea Makonda na kama makonda atasikiliza hiyo kauli yake et kwa kumwogopa Arusha atakosa kura za wengi atapata kura za mafisadi tu

  • @SaleheMkomwa
    @SaleheMkomwa 3 місяці тому +6

    HAO WASHAURI WAKO WOOTE HAWAFAI MAMA MTAFUTE MPINA MAKONDA GWAJIMA MSUKUMA BASHIRU POLEPOLE NA MBUNGE WA KILOSA KATI URAIS MWEPESI KWAKO HAPO

    • @ezekielkiduge8730
      @ezekielkiduge8730 3 місяці тому

      Hao wote uliowataja ni vibaka wakubwa ni wale wasiojjulikana ni nani asiyewajuaaaa

    • @KenedyMwaipaja
      @KenedyMwaipaja 3 місяці тому

      uko vizur mpina, makonda,Gwajima, msukuma,polepole Bashir, na Abudi are very nice and good spaniuble

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 3 місяці тому +2

    Hii.nchi.eti unafanya kazi kwa kubembeleleza hatutafika.wananchi wataonewa sanaa.na nchi itaibiwa sanaa.Makonda ukifanya kazi kama Makonda wakubwa wanaleta majungu.na kukunyamazisha

  • @LameckLameck-v9r
    @LameckLameck-v9r 3 місяці тому +3

    Dhuruma kwa ccm ndy Dira ndy maana hawezi kukubali wazembe na walarushwa waadhibiwe au wasemwe kwani hwa ndy wanao mpatia kura za wizi

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 3 місяці тому

    Adui ni yule anaekujua, Wanachi ndio wanaoteseka

  • @januwako8030
    @januwako8030 3 місяці тому

    Kusuguana haswa haya ndio maendeleo.

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому +2

    Samia hii nchi inataka vichwa kama vya makonda biblia ilisema mwanamke nidhaifu

    • @azizihfarijala5307
      @azizihfarijala5307 3 місяці тому +2

      sasa hiyo biblia ni yetu na yesu kazaliwa na mwanamke na kawekws miezi tisa udhaifu gani alionao mwanamke anakulea na anakujua sehemu zako zote za siri na ndiye mwalimu wa kwanza kukujulisha dunia ikoje kwenda kukujulisha chooni kuongea kujua hiki nini na kile nini halafu bila aibu eti unasema mwanamke dhaifu siyo hivyo ila mwanamme ni kiongozi wa familia

  • @dominickrukokelwa1284
    @dominickrukokelwa1284 3 місяці тому +3

    Mtu yoyote mwenye akili akiuona uozo wanaouibua Slaa na Makonda kisha akasikiliza hii ripoti anashindwa kujua hawa wajumbe wa tume kama ni watu/raia.

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 3 місяці тому

      Watakuwa wana Yao wanaogopa kufikiwa.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 3 місяці тому

      ​@@maswamills3161 ndio shidaa ya Tanzania uozo ndio unapogezwa

  • @FrancoRorbert
    @FrancoRorbert 3 місяці тому

    Mama unatetea waizi mbona hueleweki

  • @milkajm4762
    @milkajm4762 3 місяці тому +1

    Very good initiative Hon President❤

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe 3 місяці тому

    Makonda anazingua sana

  • @emanuelbukhay8790
    @emanuelbukhay8790 3 місяці тому +2

    Makonda asiguswe mama

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 3 місяці тому

    KUNA MATATIZO MAKUBWA YA UONGOZI WA NCHI YETU.....HIVI SASA INAELEKEA KUNA SAFISHA SAFISHA TENA YA WATENDAJI WA IKULU....JE TUNA RAIS MAKINI? JE TUNA WASHAURI WA RAIS MAKINI?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому +6

    Upandacho mtu ndicho utavuna. Hao wateule wako wamejifunza mengi kutoka kwako. Sisi wenye mali za Tanganyika tukataausiuze na unaendelea kuuza na kibaya zaidi wewe na Mwinyi mauzia warabu. Usigawe bandari zetu wala hukujali utaendelea kuwapa hao warabu bandari zetu kama siujeuri nini? Kwahiyo hao wateule wako wanajifunza kutoka kwako.

    • @musamsangi1610
      @musamsangi1610 3 місяці тому +2

      Wapi pameuzwa usilete habari za vijiweni.Yani wabunge wote wasijue sehemu iliyouzwa wewe ndio ufahamu Kwa data Gani ulizonazo.

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 3 місяці тому +2

      Wewe na wenzio ndio wenye haki na Mali za Tanganyika hata wakati nchi hii inaitwa Tanganyika wewe hukuwepo na hakuna taifa Duniani linaitwaTanganyika Kama unaleta Ubaguzi wako iko siku nawe utakuja Baguliwa na utaambiwa Bandali ya Dar sio yenu haiko mkoani kwenu ya na Kila Mtu ajivunie adai na atetee vilivyo mkoani kwako ZAMBI ya Ubaguzi ndivyo ilivyo

    • @obednyagani506
      @obednyagani506 3 місяці тому

      Yaan hotuba ya rais comment 4 duh jirekebishe mama

    • @karoliwilliam8877
      @karoliwilliam8877 3 місяці тому

      Unajua maana ya kuza na kununua wewe hebu jitazame

    • @rashidsuleiman9253
      @rashidsuleiman9253 3 місяці тому

      unazungumza kitu usichokijua. basi kwa taarifa yako kama unasemea bandari ya Daresalaam hiyo ni mali ya Zanzibar tangu hiyo Tanganyika unayoisema haijatengenezwa na wazungu. Wenyewe watu wa pwani wenye bandari yao hawasemi kitu wajasema weye mtu kutoka huko maporini. Bandari inakuhusu nini wewe? wewe lako pori tu

  • @PeterJohn-sg4oe
    @PeterJohn-sg4oe 3 місяці тому

    Safi sana Mama, wakuu wa Mikoa na Wilaya wanajifanya wako juu ya sheria, tena wananyanyasa watumishi wa umma

  • @CharlesMisungwi-f8t
    @CharlesMisungwi-f8t 3 місяці тому

    Kinachokubalika kwa wananchi najamii yote ndiyo utawalabora zaidiyahapo kuna wanao nufaika na kazimbovu zinazolalamikiwa naupuuzwaji hadadhuluma zonazofanywa nawatendaji waserikali.

  • @Obasaniyo
    @Obasaniyo 3 місяці тому

    Mama una washauli wabovu mno usipokuwa makini basi utafeli

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 3 місяці тому

    Mama tunaomba umlete makonda manyara Dongobesh Kuna shida mno

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 3 місяці тому

    Asalamualaikum Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu jamani nakutegemea mno kadiri Mungu atavyokuwezesha tuweze kumalizia michakato yenu ambapo kwa ujumla wambie tunawasubiri kwa hamu mno tuweze kufunga Ndoa yetu tukufu yaTanzania Bara na Visiwani salama salimini Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu mtarajiwa jamani Madamu Rais mpenzi wangu jamani samahani kama nakosea mwenyewe unavyosemaga ukitaka tuelewane achana na kampan za watu kila Kona .

  • @BenithoMkissy
    @BenithoMkissy 3 місяці тому

    Ni kweli mama baadhi Yao baada ya kuteuliwa wanageuka miungu watu wanakiwa kutofautisha kati ya kiongozi na mtawalaa

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 місяці тому +1

    Hao wengine waguse makonda tuachie mama ,asingekuwa makonda mama ccm watu waliichoka sana ,

  • @MeddyZambetakis-iq6pg
    @MeddyZambetakis-iq6pg 3 місяці тому +1

    Haki jinai ndio nini?!😂

  • @januwako8030
    @januwako8030 3 місяці тому

    kutokiri kuwa afanyacho mh Makonda ni sawa na kumhujumu.

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 3 місяці тому

    Mi nafikiri wababe ni wale wezi wahujumu uchumi wasiojali wanaowadhulumu wananchi hawaogopi chochote wale wa CAG mungu atusaidie wa Tz walau alipochaguliwa makonda kuwa mwenezi kwa muda mfupi tulipumua kidogo dakika sifuli katolewa watu wa Arus muombeeni sana huyo mkuu mungu amtete

    • @CareenJulias-iu7tf
      @CareenJulias-iu7tf 3 місяці тому

      Mama YETU Rais Samia kuwa makini na washauri wako. Umebahatika Sana kupata baadhi ya viongozi wazuri. Kwa ushauri wangu kwako acha kabisa kuwagusa wakuu wa mikoa na wilaya, Mama nikwambie huko mikoani Kuna mambo ya ajabu Sana yanayofanywa na wasomi pamoja na matajiri kuwaonea maskini. YAANI UKIMWONGELEA VIBAYA MAKONDA YAANI UTAKUWA UNATONESHA KABISA KIDONDA CHA WATANZANIA TULIO WENGI. Huyo Makonda kwanZa ulifanya vibaya Sana kumtoa uenezi maana hapo alikuwa anashughulika na matatizo ya nchi nzima. Ulipaswa umweke awe Katibu Mkuu wa chama. Mungu AKUTIE Moyo Mkuu mama.

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 3 місяці тому

    Yule wa 4 katika kazi

  • @wemakyagunya1895
    @wemakyagunya1895 3 місяці тому

    Makonda ni Jeshi la mtu mmoja.Mh.Samia kuwa makini katika ushauri wowote unaopewa juu yake.
    Watu wengi wanaokuletea taaifa za Kumnanga Makonda ni wanafiki wasiopenda maendeleo ya Uongozi wako kuwa nao makini.
    Makonda anafaa kuwa Waziri Mkuu 2025

  • @SikukuSule
    @SikukuSule 3 місяці тому +2

    Mama mruhusu makonda atembelee jirani mkoa wa manyara tunashidaa kata ya basodeshi

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 3 місяці тому

      Makonda ndiyo kiongozi mbovu ila kwa Wajinga wanamwona ni mtendaji bora umasikini wa fikra

    • @YohanaMlyashimbi
      @YohanaMlyashimbi 3 місяці тому +2

      Makonda yupo vizuri tena sana,mti wenye matunda ndo hupigwa mawe,hata Rais samia ni kiongozi bora

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 3 місяці тому

    Kula Nchi

  • @jonasbenaster
    @jonasbenaster 3 місяці тому

    Awataje wakinanan alie wateuwa nani

  • @mwitajoseph5003
    @mwitajoseph5003 3 місяці тому

    Chapa kazi mum

  • @yordanyona1234
    @yordanyona1234 3 місяці тому

    Kuna viongozi ngazi tatu
    By position
    By relationship
    By productive...
    Mama ni by relationship
    Magufuri alikuwa by productive ..
    Tunapaswa kuwa nao sana hawa productive.....maana wao wana kuwa na upeo mkubwa sana kwa ajili ya vizazi vijavyo...
    By relationship muhimu lakini sio kwa Tz kwa sababu Taifa lina wezi wengi...
    But mama yuko VIZUR sana ila sio kwa sasa ..
    Anapaswa afumbe macho

  • @FranksonMkumbwa-mb3pp
    @FranksonMkumbwa-mb3pp 3 місяці тому

    Mkonda awe waziri mkuu, mama tunaomba❤❤

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 місяці тому

    Shamba la bwana kheri, mbuzi wa kheri