MOTO WA LOS ANGELES ULIVYOMLIZA MTANGAZAJI NA MUIGIZAJI MAARUFU, APOST VIDEO ZA KABLA NA BAADA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 142

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 5 годин тому +21

    Safi sanaaaa ALLAH watie adabu wanakuletea kibri tukiwambia ww ni mkali wa kuadhibu wanadharau sasa wameona pia ALLAH tunajua hiyo ni adhabu ndogo ,adhabu ya akhera ndiyo kali

  • @BisharaAlbimani
    @BisharaAlbimani 6 годин тому +32

    Inshaallah mpaka waliye machozi ya damu

    • @benjo_brighter
      @benjo_brighter 6 годин тому +5

      Unafaidika na nn kwenye matatizo ya wengine 🤔

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 5 годин тому +4

      ​@@benjo_brighteracha waone maajabu ya muumba wa mbigu na ardhi sababu wamezidi kibri hapa dunia

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 5 годин тому +5

      ​@@benjo_brighterkipindi cha gaza wakiuliwa ilikuwa munafurahi jee ilikuwa munafaidika na nini?

    • @balkissMuhammad-sk1ic
      @balkissMuhammad-sk1ic 5 годин тому +2

      Mashaallah🤲☝️

    • @balkissMuhammad-sk1ic
      @balkissMuhammad-sk1ic 5 годин тому

      ​@benjo_bright nawenyewe walifandikanini Gaza lanatullah shetwaniwewe zilenyumba walahunguza nakasasawakuwanahunguza sinyumba hujihelewi lofaweweer

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 Годину тому +3

    Mungu tunakuomba uisamehe LA na kuinusuru na moto unaoendelea.
    Pia tunakuomba utupe hekima yakujiombea na kuwaombea wote,
    kwani hatujui tunaenda wapi.
    Tunakuomba utusamehe Mungu wetu.
    Amen

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 6 годин тому +16

    Na bado machozi ya damu 😂😂😂😂

  • @HusnaMTITIKO-w3p
    @HusnaMTITIKO-w3p 3 години тому +2

    Allah amewakumbusha kuwa dunia siyo yao wala wasijifaharishe Allah awape kinacho wastahili,Husbunallah Wane'mali wakil 🤲

  • @MuharamiBakari
    @MuharamiBakari 5 годин тому +7

    Huu ndiyo Moto wa Dunia! hatuwezi kustahmili joto lake Wala kudhibit usilete madhara zaidi!! Jeee Moto wa Siku Ya QIYAMA itakuaje??? Sisi ni viumbe dhaifu sana hatu jiwezi Kwa lolote!! Nguvu ya pesa Ina onekana hapo?!!! Tuwache uje uri turudi Kwa Allah Kwani Moto upo

  • @iddihamisiharuna8261
    @iddihamisiharuna8261 3 години тому +4

    Mashoga wa marekani wataelewa tu, maana wanasambaza ushoga duniani kwa hali na mali, na walisapoti mauaji ya watoto, wazee na wanawake wa gaza

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 5 годин тому +5

    Bado hatujakubali tunataka miji yote iteketee😂😂

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 4 години тому +3

    WAPENDWA TUTUBU, YESU ANARUDI

  • @HamadiJuma-j6v
    @HamadiJuma-j6v 4 години тому +1

    Safi sana ,wanaona raha kuuwa waislam,watoto,wasohatia,wanawake waliojihifadhi ,Sasa wayaone tu wanaona hakuna alie juu isipokuwa wao. Waache waowane wanaume kwa wanaume wanawake kwa wanawake ,basi onjeni ladha ya Mmiliki wa Ulimwengu.

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому

      Kunakitu watu hamkijui raiya wa marekan hawana mamlaka yoyote serikali yao ndo yenye mamlaka navilevile marekan wapo waisram kibao 2 so usifikili raiya Wana maamuzi yoyote juu ya nani apewe siraha au nani asipewe

  • @GreysonMdee-x3n
    @GreysonMdee-x3n 3 години тому +1

    Jamani tuache kusema Yesu ni MUNGU, MWENYEZI MUNGU anapata hasira sana tutakwisha, YESU alikuwa myahudi kaishi Israel hapo bado watu wanasema ni MUNGU, Inalillah wainna ilayh rajuun, hawa nao msiba mwingine ushoga na uchafu wa Hollywood pamoja na mambo ya kusema Yesu ni Mungu ndo tunamalizika hvyo.

    • @DaudFataki
      @DaudFataki Годину тому

      Wanaabudu binaafam mwenzao ambae hana utukufu wa mungu

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 6 годин тому +11

    Mungu endelea kuwanyoosha😊

    • @kaponatz
      @kaponatz 4 години тому +2

      Bado na bongo Msijione nyie ni wasafi

  • @ramahkesh9360
    @ramahkesh9360 5 годин тому +5

    HAYO MAUMIVU WANAYOYAPATA NI ASILIMIA 5% TU YA MAUMIVU WANAYOYAPATA WATU WA GHAZA.

    • @DaudFataki
      @DaudFataki Годину тому

      Yah na bado mrusi angekua mshinzi kamawao angekiwasha hapa hpa

    • @GeraldElias-s7j
      @GeraldElias-s7j Годину тому

      ​@@DaudFatakikwani unazan ni marekan yote ndo imeungua marekan inamajimbo 50 na hapo sio jimbo Zima ni mji mmoja tu unazan mrus yeye hayapendi maisha yake? 😂😂😂😂

    • @DaudFataki
      @DaudFataki Годину тому

      @GeraldElias-s7j umetekenywa nanin

  • @saliminyusuph6122
    @saliminyusuph6122 5 годин тому +6

    Huu moto auwezi fikia ata jivu lililopoa la moto wa Jahanam.

    • @BobErick-er6qm
      @BobErick-er6qm 5 годин тому

      😂😂😂😂😂utanivunja mbavu 254

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 5 годин тому

      Kabsaa ndugu

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 4 години тому

      Uwa mnaendaje jehanam jamn namimi niende mnapitiaga wapi gongolamboto au balabala ya changombe😂😂 nyie jehamn mnayokichwani mnaeitengeneza et

  • @LucyNgowi-r2o
    @LucyNgowi-r2o 4 години тому +1

    Poleni pia mrudieni Mungu ndie muweza wa yote😢

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 6 годин тому +6

    Wanamtukana MUNGU na hawaogopi,,,uo moto wanaweza kuukimbimbia LKN sio wa jehannam hivyo wajifunze kwa ilo

  • @JOSEPHSANGA-i8l
    @JOSEPHSANGA-i8l 2 години тому +1

    NDUGU ZANGU TU TUBUNI SASA ZAMBI TULIZO FANYA HUKO NYUMA ZIWE ZIMETOSHA YESU YUPO KARIBU KURUDI SASA 😢😢😢😢

  • @ALIKHAMIS-un4fv
    @ALIKHAMIS-un4fv 4 години тому +1

    Allah ni mkali wa kuadhibu rudini kwa Allah wamarekani wacheni kufuru

  • @sarafinabutashilaga6990
    @sarafinabutashilaga6990 3 години тому +2

    Eeh Mungu tuhurumie sisi ni wakosaji wahurumie watu wa LA wanateseka😢

  • @isaya43.12
    @isaya43.12 2 години тому +1

    Mungu amewajulisha kuwa kunamambo hayawezekani bila yeye

  • @phiescophiladephy1036
    @phiescophiladephy1036 5 годин тому +4

    na bado mnatakiwa kulia kama watu gaz wanavyolia

  • @imanimwandosya370
    @imanimwandosya370 5 годин тому +1

    Punguzeni kumzihaki MUNGU vinginevyo American nzima itakuwa majivu, pole sana

  • @JulaybibiBabah
    @JulaybibiBabah 2 години тому +1

    Mimi Naona Raha Maana Wamerecani Wamezidi Sana Kufuru na Uonezi na Wizi na Kila Aina ya Madhambi Wao Wanahusika

    • @DaudFataki
      @DaudFataki Годину тому

      Yan hizi siku ninafuraha hatakama hilotaifa angekua nduguyangu au mwanangu kwa yan itekeketee tu maradh wametuletea elim mbovu wametuletea yesu mzungu wametuletea malizetu wanatubebea ushoga wametuletea demoklasia ambao niushenzimkubwa wamwtuletea kugombanishwa tunagombanishwa wa africa haosina hurumanao na duayangu kubwa kile kisiwa cha England kizamishewe kwa uwezo wamuumba itapendeza

  • @ALIHISAH-z2n
    @ALIHISAH-z2n 29 хвилин тому

    Wameiharibu dunia sana wmezulumu watu sana, wmemkufuru mungu sana, kisha wkabaki kucheka,

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 4 години тому

    Mwenywe zi mungu sio wa kuchezea akiambrisha jesh lake lazima upinde magoti

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 5 годин тому +2

    Jahan Nam imehamia kwao, kabla ya palestina 😂😂😂😂😂😂

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 5 годин тому +1

    Na bado kama wao ni making wa wa kukufuru hiyo ndio hukumu yao😮😮

  • @diehansi
    @diehansi 4 хвилини тому

    Majanga km hya yangetokea Dubai ungeona Milard mapema kashapost kwenye kurasa zake, ila hiii imetokea kwa anaowaabudu leo ndio kaona nijanga

  • @philemon-mz2fv
    @philemon-mz2fv 5 годин тому +2

    Usifurahie matatizo ya mwingine Kwako pia inaweza kutokea hata wewe usifikiri ni mwema kuliko mwenzako

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 5 годин тому +1

      Walikuwa wanafurahi watu wa gaza wanavo uliwa tena walishiriki kwa asili %100 kwenye vita ya gaza

    • @FrankworldwideTV
      @FrankworldwideTV 2 години тому

      Hata mwenge na posta litakuja janga la moto wait utaona MUNGU ni mkali mno

  • @jumarajabngereza6713
    @jumarajabngereza6713 5 хвилин тому

    Na hapo Bado

  • @lucasvenance5175
    @lucasvenance5175 12 хвилин тому

    Bwana asipoulinda mji, yeye aulindae akesha bure, tena Bwana asipoujenga mji, yeye aujengae afanya kazi bure

  • @FurahaPallangyo
    @FurahaPallangyo 2 години тому

    ushogaaaaaa ushoga,usagajiii alaf mnaona kawaida na wachungaji wanafungisha ,hiyo ndo Hazabu

  • @jumarajabngereza6713
    @jumarajabngereza6713 5 хвилин тому

    Ni hali yao mbn
    Hakuna kitu kinatokea bila sabab
    Hao ndo wanao muasi mungu Zaid

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 5 годин тому +1

    hii ni kiama bro daa watu wamepata hasara jmn

  • @NassorFumito
    @NassorFumito 52 хвилини тому

    Moto uendelee tu hadi wajua kua yupo muumba muweza wa kila kitu

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 58 хвилин тому

    Kuna watu wanasemaga moto wa kuzimu watauzima kwa mkonjo wao. Haya sasa shusheni zipu

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya 3 години тому

    Zamu yenu sasa mana mungu huwa hachezewi

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 3 години тому

    Tamasha la Golden Globe limemdhihaki mungu

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 3 години тому

    Some ni kwanza kabla hamjawa na maneno mengi na zihaka

  • @ImmanuelSima
    @ImmanuelSima 5 годин тому +1

    Mi kama bado siamin huo mto kama watu wanaedt pcha vile tafauta na uhalisia

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 3 години тому

    Utaita maji mma na wewe atakapokuja Yesu marekani hakuna wakristo Tu nawaisilamu Tele wamejaa

  • @JghghfgjjgfHvfghhhff
    @JghghfgjjgfHvfghhhff 2 години тому

    😅😂 1:51 😂

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga 4 години тому

    Mungu awasaidie najaribu kuwaza ingekuwaje kama ndo mali zangu zimeteketezwa namna hi 😢

  • @AdilyAgustine
    @AdilyAgustine 6 годин тому +1

    Mungu adhihakiwi😢

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 години тому

    Yaan kwer nch hii ina wapumbafu wng mamb y gaza yamekuj vp hpa

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 2 години тому

    Bado nakwenyemashimo yamoto yanawasubili mwenyeizimungu yupo walahakuna anaefanana nae

  • @JumaAbdalllah
    @JumaAbdalllah 2 години тому

    Na bado

  • @SahimSalim-l5f
    @SahimSalim-l5f Годину тому

    Wamezoeya kuwaua waisalm wasokuwa na hatima kule Palestina na nchi nyengin za Kiarabu, kudadeki ukiaskia zamu ya Nani hii, ni zamu ya manfongo maji wataita mma

  • @HajiraAbdulla-w9d
    @HajiraAbdulla-w9d 5 годин тому +1

    Nabado maji mtaita mma na mtamjuwa Allah ni nan

  • @JacklineGodfrey-y8y
    @JacklineGodfrey-y8y 47 хвилин тому

    Hii ni vita bila wanajeshi

  • @yapukahassan
    @yapukahassan 5 годин тому

    Katika majanga haya kunawengne wananufaika hasa ,wachungaji uchwala wa Afrika

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 години тому

    Ukija Isha motoo itakuja mvua kubwaa

  • @JandaalHaqeem
    @JandaalHaqeem 5 годин тому +1

    Mlikua mnaoa raha,yanatokea Gaza,ndo mjue kila mtu ana haki ya kuishi,Kufeni kwa chuki zenu,Allah maliza America

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 5 годин тому

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 4 години тому

      Gaza waliteka na wakauwa waisrael swala ambalo hata mimi ukitenda kwa familia aangu nitakuuwa

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 28 хвилин тому

    Punguzikeni dunia munaiharibu juzi zogo la Congo nashangaa nyinyi ndo mupo kati kati tena wanajeshi wa3 wa marekani inaonesha nyinyi ndio chanzo wale vijana ni chambo tu mushalaanika

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 4 години тому

    Kwani chanzo cha huo moto ni nini?Subhanallah

  • @BobErick-er6qm
    @BobErick-er6qm 5 годин тому +1

    Plz america God is paying back coz uve been forcing African leaders that if they want help they must accept homosexuality.

  • @francisnemesikauki3572
    @francisnemesikauki3572 5 годин тому

    Nikajua maaskari wanachoma bangi kule mara kumbe ni L.A inawaka moto

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 5 годин тому

    2025 nimeianza vizur kwa kuachana na huyu mbwa anakula hela usiku na mchana kama mchwa😂😂😂

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 2 години тому

    Wanalia nini wakati hawamtambui Mungu

  • @DismasMaturine
    @DismasMaturine 4 години тому

    Wasilie, pia USA inawalizaga watu wengine hivyo kwa biashara zake za siraha na unyang'anyi wa rasili mali

  • @RashidSonara
    @RashidSonara 3 години тому

    Alitangaza jahannam kwa hamasi mbona imemgeukia uwo ni mfano kwa wiki moja tu

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 3 години тому

    Waungue majimbo yoteee

  • @selasboy3966
    @selasboy3966 4 години тому

    Allah hu akbar...×100]

  • @SamwelikazimbayaKitahenga
    @SamwelikazimbayaKitahenga 5 годин тому

    Tatizo pia nyumba nyingi za Marekani ni za mbao so ikitokea janga kama hilo kutoboa ni ngumu

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 5 годин тому

      Hata iwe nyumba ya chuma Maadam Allah kaitaka iwake itawaka tu

  • @JaylinahMuhammed
    @JaylinahMuhammed 6 годин тому +4

    Mbn moto wwnyw wa kawaida tuu, km huo sis tunachomea mkaa tuu😂😂

    • @Grataaaaa
      @Grataaaaa 5 годин тому

      Alaaa shekh acha zako kma wa kawaida

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 5 годин тому

      M/Mungu akuletee kwenye Nyumba yako alafu tuone Mkaa unao tokana na mwili wako na familia yako...

    • @JaylinahMuhammed
      @JaylinahMuhammed 4 години тому

      @ImanSaid-q4i who are you? And why you reply my comment ? Kila dua uanza na ww kenge mwitu

    • @JuliethLyimo-bv8vl
      @JuliethLyimo-bv8vl 4 години тому

      Pameanza kupoa

  • @DaudiNaftal
    @DaudiNaftal 6 годин тому +1

    Please let learn about this incident of California america you can flew away of this huge fire but not of a hell so return to Jesus Christ don't look back Almighty God shall forgive you all and whole world come to Jesus also be blessed Amen😢😢😢

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 4 години тому

    Uturiki ilipata tetemeko kubwa saan sikuwaikuona comment za wakristu wakifuraia hii kitu sasa ndugu zangu wakiislam nini shida😂

  • @IbrahimBinbenya
    @IbrahimBinbenya 5 годин тому

    Mpaka mseme poo

  • @abdallahkhalid2191
    @abdallahkhalid2191 3 години тому

    Hawastahili Dua mambwa hao

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 5 годин тому

    Trump hata ongelea Tena kuhusu jahan Nam yeye ni kasababishia haya yote

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 5 годин тому

    Mimi nawashangaa sana wanaoshabikia jambo hili na kudhubutu kusema watalia machozi ya damu na mambo kama hayo. Jiulize wewe ni mwema sana mbele za Mungu? Unahukumu kama nani? Na kwa taarifa zenu mlio nje ya Kristo Yesu ni afadhali mumkimbilie yeye majira tuliyonayo sio salama

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 5 годин тому +1

      Tunamuomba Allah apeleke moto hadi uvunguni mwao hadi Watamke shahada

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 5 годин тому

      @ImanSaid-q4i huyo atakafanya hivyo ni allah kwa kuwa wanaomwomba ni wadhambi na wasiojitambua wala rehema kwao hazipo ila kwa Mungu aliyeumba mbingu na nchi yeye ndio mwamuzi wa haki na kwako unayejiona huna dhambi ili hali unajua njia zako

    • @cristinajeremiah2450
      @cristinajeremiah2450 5 годин тому

      Mungu tuhurumie maana hatujatenda Jambo lolote lililojema machoni pako ,tuepushe na mabaya yote ,maana hatuja kamilika kwa mengi

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 4 години тому

      @@maureenlilykiwia1515 Na wewe pia usipo tamka shahada Saa yoyote utakumbana na kimondo chako

    • @maureenlilykiwia1515
      @maureenlilykiwia1515 4 години тому

      @ siongei na watu walio nje ya imani yangu kwaheri

  • @AlexMutai-t8j
    @AlexMutai-t8j 5 годин тому

    It's a punishment

  • @JoalAlma-ci1hi
    @JoalAlma-ci1hi 4 години тому

    Pray for america

    • @jacklinejb
      @jacklinejb 3 години тому

      Wao wanatuombeaga tukipata majanga wacha na wao wakipate cha moto

  • @festogerrerd
    @festogerrerd 2 години тому

    😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏

  • @sarahabdullatif8556
    @sarahabdullatif8556 3 години тому

    Halii MTU chozi la damu hapo waisilamu muelewe Tu hayo Yote ni king'ora Yesu anakuja Haji Haji kuowa kama mnavyodanganywa atakuja kuchukuwa walio wake sasa wewe Baki na kejeli Baki na maeremu muhamad

    • @sarahmwasyoge1830
      @sarahmwasyoge1830 11 хвилин тому

      Amina Hakika ni king'ora cha ujio wa Yesu!! Halleluyah

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 5 годин тому

    Mnasikiaga jahanam hilo try

  • @agathakimatile4999
    @agathakimatile4999 5 годин тому

    EeMungu warehem watu wako

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 5 годин тому

    Mnao bweka tambueni majanga ni kawaida hapa Dunian
    Kama utakumbuka Australia moto Usha teketeza msitu au hapa Tz janga la kariakoo au janga la katesh ambao watu walikufa wengi au ajali ya mv bukoba
    Sasa nyie endelea kutoa mlio et Allah Allah

    • @ImanSaid-q4i
      @ImanSaid-q4i 5 годин тому

      Bado zamu yako saaa yoyote kutoka sasa Allah anakuletea kimondo chako.... Labda utamke shahada

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 4 години тому

      @ImanSaid-q4i ww unauhakika gani kwamba ni Allah ndo kateketeza moto au unatoa mlio tu....ww hujui chanzo Cha moto Kaa utulie

    • @JoalAlma-ci1hi
      @JoalAlma-ci1hi 4 години тому

      ​@@PhilipoMwita-b2x😂😂😂😂labda kaka anasemea allah yule pusha aneishi gongo la mboto

    • @SuleimanMtumweniAli
      @SuleimanMtumweniAli Годину тому

      ​@JoalAlma-ci1kaka angalia na kauli zako Allah hana.haraka unaweza ukadhihaki Leo majibu ukayapata uzeeni