The Dead Sea, Jordan - Bahari ikiyokufa. Talii na Bongozozo kwa lugha ya kiswahili

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 13

  • @huseinmasoud4403
    @huseinmasoud4403 2 роки тому +4

    Hongera sana Bongo Zozo. Allah akuongoze na kukuepushia kila shari. Aisee unani inspire sana kwani nami napenda ku talii sehemu mbalimbali

  • @twahirbosir36
    @twahirbosir36 2 роки тому +1

    Hongera Kaka yangu bongozozo wetu

  • @twahirbosir36
    @twahirbosir36 2 роки тому +1

    Inshallah iko siku nitakuja bongo tuzungumze Kiswahili cha Kenya

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 2 роки тому

    Hongera sana Bongo Zozo umefanikiwa kutembea sana sehemu mbali mbali dunia hii ...

  • @twahirbosir36
    @twahirbosir36 2 роки тому +1

    Nafurahi Sana Kaka yangu Kwa kupenda lugha yetu ya Kiswahili

  • @ednachacha4959
    @ednachacha4959 2 роки тому

    Nikikuwa kifedha natamani kukutana na ww Bongo zozo ili furaha yangu ya maisha itimie asante

  • @raudhaahmed1024
    @raudhaahmed1024 Рік тому

    ❤❤

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 2 роки тому

    Nchigani ya Ulaya unaweza kufika kwa ghalama nafuu zaidi minaitaji kufika Ulaya

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Рік тому

    Aliachana na mama jesca ili apate uhuru wa kusafiri... amemwacha mama j na utamu wake..unaweza jisevia lakini usichukue jumla

  • @andrewjnewby7748
    @andrewjnewby7748 2 роки тому

    Which newspaper were you reading?

  • @mackjr5291
    @mackjr5291 Рік тому

    CIA zozo

  • @salumjuma8736
    @salumjuma8736 2 роки тому

    Huzami vp ss hap maj yot kimo jimoj au . Tz

    • @ahmedsalim8943
      @ahmedsalim8943 2 роки тому

      Hapo ni pale walipoangamizwa watu wa nabii lut
      Huzamii kwasbbu ya kiwango kikubwa cha chumvi kilichomo