COMPOSER-LAZARO NGELELA VIDEO BY- ROCK CITY STUDIO VOCAL ARRANGEMENT-L.NGELELA SOUND ENGN-JAPHET PAUL AUDIO - EMINK RECORDS SUBSCRIBE , SHARE, COMMENT & LIKE
Beautiful beautiful song, Nice and Sweet Voices. May God Bless you abundantly. May He give you strength to continue His mission of spreading the gospel through your Nice songs. Showers of Blessings
Mbarikiwe sana watu wa. Mungu Kwa nyimbo za injili
Mungu awabariki kwani hata muonekano wenu na uimbaji wenu vinamtukuza mungu
Amina sana shuhuda kwaya ya nyumbani❤️❤️
Barikiweni sana watumishi
Mbarikiwa kwa huu wimboo
waaaaah nice song🎉
Mubarikiwe mama zangu kiroho
Mubarikiwe sana
Aminaaaaaaa
Amina nimebarikiwa sana
Mwende mbali
Amen good song
Waoooo mko vizuri kwakwel hasa kumalizia hapo nimepapenda saaaaaaaanaaa tuuuuuu yan
Amen
Huu wimbo umeniliza kabisa...Mbarikiwe sana🙏
Mungu awatangulie Sana kwenye kazi ya utume.boresheni mziki wenu
Nothing to say!!!be blessed!go on shuhuda!preach the gospel!!
Hongereni kwa wimbo mzuri, video nzuri na waimbaji mmeutendea vizuri. Heko kwa Director!
Mbarikiwe sana mefurah kuwasikia baada ya muda mrefu sana.
My best song
Beautiful beautiful song, Nice and Sweet Voices. May God Bless you abundantly. May He give you strength to continue His mission of spreading the gospel through your Nice songs. Showers of Blessings
Alikiba
Hongereni wapendwa katika Bwana wimbo umetulia Bwana awabariki Benja na benchi lako la muziki 🙏🙏
JINA LA MUNGU LITUKUZWE KWA MAONYO HAYA, TUNYENYEKEE KWAKE SIKU ZOTE.
Kupendeza kawaida yenu,huu wimbo mmeutendea haki kuliko hata kwenye satelite
Napenda sana kwaya hii
Hallelujah 🙌🏼 Glory be to GOD
Nimebarikiwa. God richly bless you and the hearts that you are touching
Mtupe na zingine
Tunashukuru, mbarikiwe wote
Hongera sana ndugu zangu Shuhuda kwaya wimbo mtamu msiache kuurekodi wa Usiku wa manane😘😘😘❤❤❤
Kazi nzuri sana
Waaaaaoaaooooooo
Great tallents
Amen.the word of God is everything it a live and it speaks is the answer of everything.
Amina
Amani ya Kweli inatoka wapi?
Amina
Amina