Miongoni mwa vitu vinavyonibarki kwenye kawaya hii kwa sehemu kubwa imejtenga na mitindo ya kidunia mfano mavazi, mwonekano lakini ni kwaya ambayo tangu imeanza sijawahi sikia tabia za kujiinua kwakweli Bwana awalinde.
This was Magena now When TikTok haikukuwa but since TikTok came and occupied 3/4 of their minds almost everybody is chasing to be famous there hata kutoa wimbo mpya imekuwa shida sana I loved this choir alot but inaniuma sana sana nikiona nowadays mpaka some ladies exposes themselves with rugged trousers kwa TikTok I feel sooo sad Nway stay blessed
nawapend sana nyarugusu mmepeneza sana na sare za wanafunzi Mungu azidi kuwatumia zaidi kama mulivyo muomba kwenye wimbo wa Kunawakat nawapenda sanaaaaaaaaaaa❤❤❤
Muziki ni unaladha tofauti, hatuwezi kufanana kamwe kikubwa kama wewe unabarikiwa na nyarugusu kuna mwingine anabarikiwa na songambele, king'ongo na Salasala. Hiyo ndio maana ya mziki kuna aina nyingi za tungo.
Nimependa sanaa ilitumika katika wimbo huu na ujumbe umefika kwa hakina na ninajua kuna mtu ameponywa jeraha lake. By the way muonekano wenu upo natural na mmependeza sana sana. Mungu awabariki sana na muendelee kueneza injili
Kutoka KYELA MBEYA, kwakweli mwalimu wetu Yesu kristo ni mwalimu makini sana ambaye wakati mwingine hupima uelewa wetu, Mbarikiwe wajoli wa BWANA Ay Nyarugusu.
kweny ukweli 2seme ukweli kuna kwaya nyingine wananyimbo nzur ilaa kweny mavaz mpaka Huwa najisikia vibaya san ila nyiny bwana awabariki Sana
Nabarikiwa na utungaji wenu makini. Mungu awabariki sana.
This song is such a blessing. May God richly bless you.
🙏🙏🙏🙏🙏From Kenya 🇰🇪🇰🇪this is the best song ever in my life,mbarikuwe sana
Ujumbe makini kwa wakati wowote ule.
Ukweli binafsi Mnanibariki sana na nyimbo zenu Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙌🙏🙏🙌🙏
The best choir of choice
Miongoni mwa vitu vinavyonibarki kwenye kawaya hii kwa sehemu kubwa imejtenga na mitindo ya kidunia mfano mavazi, mwonekano lakini ni kwaya ambayo tangu imeanza sijawahi sikia tabia za kujiinua kwakweli Bwana awalinde.
ameenaMungu awabarik
This was Magena now
When TikTok haikukuwa but since TikTok came and occupied 3/4 of their minds almost everybody is chasing to be famous there hata kutoa wimbo mpya imekuwa shida sana
I loved this choir alot but inaniuma sana sana nikiona nowadays mpaka some ladies exposes themselves with rugged trousers kwa TikTok I feel sooo sad
Nway stay blessed
Nawapenda kwakweli enock Mungu ampe maixha marefu🎵😀
Mbarikiwe sana🎉
Waoo always huwa mnanibariki mnooo,,,, barikiwa mnoooo,,,,
Kudos! Nyarugusu SDA AY CHOIR, you've made it again. Much blessings!
Thank you
Ujumbe wa huu wimbo ni makini sana, Mungu azidi kukutumia mtunzi wa hii nyimbo.
Mungu awabariki sana kwa nyimbo zenu nzuri.
Hongera saana kwa wimbo mzuri Nyarugusu!! Ubunifu ni mkubwa saana kwenye nyimbo zenu mbarikiwe saana
Its awesome
Bwana awabariki sana,wimbo mzuri sana nimeusubiri tangu tulipoachana Nzega
Endeleene kuinua be Dera ya Yesu .madam Anna kurasini choir Nawapenda
Mbarikiwe endeleeni kumtumikia Mungu katika uimbaji wenú. Zaidi zitusogeze karibu na msalaba was kristo
As a teacher myself this hits differently!!! Be blessed!!!
BWANA AWABARIKI SANA
Amina
Hakika Ay Nyarugusu mnanibariki saana
Utukufu ni kwa Bwana
Dah an nawapenda sana Nyarugusu had sjui niseme Nini Bwana awabariki sana Kwa nyimbo nzur tunaendelea kubarikiwa sana
Aminaaa
Hongereni Kwa wimbo mzuri wenye mpalio na mvuto mzur i na ubunifu wa hali ya juu sana. Binafsi nimeguswa na wimbo huu na Mungu azidi kuinua kwaya yenu
Hakika,,,,,wimbo mzuri,,,,,mungu akue nanyi
The composer has a great mind. God bless you
Mnaimba vzr thanaaaaaaa,,,,naamin ht kwenye kambi la mbinguni mtaimba ule wimbo mpyaa💖💖💖
Mubgu awabariki katik kum2mikia kwa njia ya uimbajiiiii
Wow...wounderful. may God bless you abundantly. Kweli mwalimu hunyamaza lakini anaumia pamoja nasi.
Amina
daaah💛💛💛💛
Mungu awabariki sana YA Nyarugusu
Mungu awabariki tena sana mnatubariki saaana
Ay nyarugusu tulibalikiwa sana uwepo wenu mbeya central mungu awabariki
Mungu awabariki
nawapend sana nyarugusu mmepeneza sana na sare za wanafunzi Mungu azidi kuwatumia zaidi kama mulivyo muomba kwenye wimbo wa Kunawakat nawapenda sanaaaaaaaaaaa❤❤❤
Barikiwa sana
Ukweli muhimu Namna Gani!
Mzidi barikiwa ninyi ni nuruu
Weuhhhh
The composer of this one 👌👌👌
Mbarikiwe saaaana ❤❤❤❤
Amina
Mbarikiwe sana watumishi wa munguu
Bwana awakuze katika viwango vya kimbingu
Mungu azidi kuwatia moyo vijana wa at nyarugusu❤❤❤❤mnanbark sana
Bwana atukuzwe
Amen
Mumesema nammi kupitia wimbo huu bwana awabarki kwa kuniongezea nguvu ya kuendelea kutulia miguun pa yesu haijalishi yupo kimyaaa.
Amen
My favorite choir ,endelea kutubariki sana
Amina
Mbarikiwe
Safi sana. Wimbo mzuri na wenye somo kubwa sana. Mbarikiweni, nawapenda sana.
Amina
Wow❤❤❤ barkiwen sanaa hakka n wimbo mzuriii umenibarik sanaaa
🙏🙏🙏
HONGERA SANA WAPENDWA MUNGU AWABARIKI
Aminaaa
𝚊𝚖𝚒𝚗𝚊𝚊 𝚋𝚊𝚛𝚒𝚔𝚒𝚠𝚎𝚗𝚒 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚞𝚖𝚒𝚜𝚑𝚒
Amen ninawapeda sana
Ahsante sana
Wimbo mzuri saaana Bwana awabariki Saaana
Hakika ❤
Kazi nzuri barikiweni sana
The consistency in this choir ❤😊
Barikiweni sana AY Nyarugusu na Mwalimu Enoch Zabron
🙏🙏🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana nabarikiwa sana na nyimbo zenu❤
Amazing, Wimbo mzuri
Nimeangalia zaidi ya mara tano
Barikiwa
Mungu awe nanyi daima
Ameen Ameen, Bwana awaongoze zaidii❤❤
Aminaaa
Nabarkiwa san
Ameeeee nazidi kubarikiwa mubarikiwe piaa
❤❤Amen.
Amen wimbo mzuri sana ❤😊
Ameeen Barikiwa sana wimbo una ujumbe mzuri sana
Aminaa
I wish kwaya zote tuimbe kama hivi jmn utukufu kwa MUNGU tu midundo tuache.
Muziki ni unaladha tofauti, hatuwezi kufanana kamwe kikubwa kama wewe unabarikiwa na nyarugusu kuna mwingine anabarikiwa na songambele, king'ongo na Salasala. Hiyo ndio maana ya mziki kuna aina nyingi za tungo.
Aminaa
Wasabato na midundo wanataka kucheza tu 😂😂😂 ila Nyarugusu hawa n watu na nusu
@@ubaoniupdates9748na ndio maana ukiwabadilishia mfumo hawawezi kuimba
Marafiki zangu Nyarugusu mnanibariki sana sana sana ninawapenda sana...... 🙏
Ahsante sana
Amina, barikiwe sana AY Nyarugusu
Aminaa
Ktk Nairobi Huu wimbo ni faraja kwa wengi. mbarikiwe
Aminaa
❤❤❤❤,kweli mungu anatuangalia Imani yetu.
Ujumbe mzuri hakika.
Wimbo mzuri sana
Bass🔥...mtafsiri wa alamaa🤗🥰👍..kazi nzuri jmn nyarugusu nawapenda♥️
Abarikiwe
Mungu aendelee kuwatumia
Good i and and thoughtfull way of spreading gospel,that is creative
Amen
Nimependa sanaa ilitumika katika wimbo huu na ujumbe umefika kwa hakina na ninajua kuna mtu ameponywa jeraha lake. By the way muonekano wenu upo natural na mmependeza sana sana. Mungu awabariki sana na muendelee kueneza injili
Amen Upendo
Kazi njema sana sana
Amen mzidi kubalikiwa na mmependez sana
😂😂dah
Barikiweni sana nyarugusu kwa wimbo mzuriiii
Mungu awalinde wanna
Powerful Massage
Mbarikiwe sana sana sana
Amen
Kutoka Morogoro hapa fans wenu no moja na wakubali sana
Aminaa
Nyarugusu youth Choir, Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri endeleeni kumtumikia wengi tunabarikiwa sana kwa kazi yenu nzuri kweli Mungu anawatumia.
Amen
Hongereni sana wimbo mzuri 🙏🙏
Bwana awabariki watumishi wa baba
Aminaa
❤❤Amen.
Aminaaaaq
Kutoka KYELA MBEYA, kwakweli mwalimu wetu Yesu kristo ni mwalimu makini sana ambaye wakati mwingine hupima uelewa wetu, Mbarikiwe wajoli wa BWANA Ay Nyarugusu.
Ubarikiwe pia
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ya Utume
Amina
🙏
Amina.
Barikiweni sanaa❤
God bless you For the message and a wonderful reminder🙏
🙏🙏🙏🙏
Mung awabark sana
Aksante sana waimbaji wetu.
Amina
Idea kubwa ya wimbo mwalimu 🎉
Wooowh
Amen, kazi nzuri Mungu awabariki sana
Amen,amen
Amen 🙏
Mbarikiwe sana kwa ujumbe mzuri
Amina