КОМЕНТАРІ •

  • @Joy-mm1ut
    @Joy-mm1ut 4 місяці тому +3

    Amina mungu azidi kukutumia nimekwesha kufungulia na magonjwa yamepona yesu atukuzwe

  • @bahatiobambo
    @bahatiobambo 3 місяці тому +1

    Nimesikiliza somo hili baada ya mwezi sasa toka somo limetolewa lakini kwa Imani MUNGU Ametenda.....nmefunguliwa Ahsante MUNGU.

  • @reginaburetta2304
    @reginaburetta2304 5 місяців тому +7

    Namwombea rafiki yangu Mungu akampatie mbaraka wa watoto

  • @christinamafuru4784
    @christinamafuru4784 4 місяці тому +3

    Mungu akubariki nilipoteza tumaini lakini kupitia mahibiri hayo Mungu amenipa tumaini jipya l

  • @lucykihara4638
    @lucykihara4638 2 місяці тому

    Shalom nimebarikiwa sana kwa maombi haya.najua kuna mabadiliko kwa familia yetu.amina

  • @elishafelesiano
    @elishafelesiano 4 місяці тому +1

    Pastor hakika Mungu amekuleta Kwa wakati wake nabarikiwa sana kwa neno lako uchumi wangu umefunguliwa shauku yangu ni kujitegemea kiuçhumi yaani kujajili nikitengenezewa njama kazini lakini kupitia neno hili unalofundisha nimekula nikiliamini nakwambia pastor aliyetaka kunifukuza kazi yeye ndiye amepewa barua ya onyo ya kufukuzwa kazi namshkuru sana Mungu

    • @fredrickjoseph4962
      @fredrickjoseph4962 3 місяці тому

      Nabarikiwa Sana pasta navipindi vyako MUNGU wetu akubariki sana

  • @MichaelDisanto-zq6fk
    @MichaelDisanto-zq6fk 4 місяці тому

    Nimepona kwa jina la Yesu Amen

  • @zenasmjema4050
    @zenasmjema4050 5 місяців тому +7

    Kwa Mungu Kila jambo linawezekana naomba maombi ya kuombea familia yangu naomba nipate amani ya moyo na niwe mtu wa kusamehe.kuwaombea wazazi wangu na mkwe wangu wapate kumjua Mungu na kumtumainia.maombi ya biashara yangu ipate wateja zaidi .

  • @masterking534
    @masterking534 5 місяців тому

    Kweli Mungu ni mwema nime barikwa sana kwenye iki kipindi

  • @mtumishiraymond2001
    @mtumishiraymond2001 5 місяців тому +1

    Amina

  • @johnchacha4888
    @johnchacha4888 5 місяців тому

    Ahsante Yesu kwa uponyaji

  • @makabwakabichi2321
    @makabwakabichi2321 2 місяці тому

    Amina nazidi kubarkiwa na kufunguliwa na nafeel aman rohoni mwangu🙏🙏

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 4 місяці тому +2

    Mungu akubariki pastor Kwa somo hili hakika mungu akuzidishiee hekima Na kibali kikumbwa

  • @raelmsafiri
    @raelmsafiri 5 місяців тому

    Ombea mdogo wangu anugua kisukari na ana kidonda kikubwa sana

  • @MARIE-iy4bx
    @MARIE-iy4bx 2 місяці тому

    🤲🙏,Naamini kupitia mahubiri haya wanangu watakombolewa ...

  • @ElibarickAllex
    @ElibarickAllex 3 місяці тому

    libarikiwe jina la yesu, nimependa mafundisho haya

  • @kadzocharosilver411
    @kadzocharosilver411 2 місяці тому

    Mungu niombeje kiusahihi

  • @dafrosasunguya7833
    @dafrosasunguya7833 4 місяці тому +2

    Namuombea mwanangu Arnold,Mungu jifunue Arnold akapokee Ajira ya kudumu kutoka kwako Bwana Yesu Kristo

  • @josephinemapande5221
    @josephinemapande5221 5 місяців тому +3

    Bwana Yesu asifiwe naomba mniombee kwa ajili ya familia yangu watoto wangu kazi za mikono yao afya zetu tumtegemee Mungu katika maisha yetu yakila siku

  • @DEBBOLAHCHOI
    @DEBBOLAHCHOI Місяць тому

    Amen🙏mungu akubariki sana pastor kwa mafunzo mema unatubariki nayo

  • @scolaebenezer4538
    @scolaebenezer4538 4 місяці тому

    Naomba uniombee duka langu likue,maanalimedumaa sana

  • @anastaziatemba5490
    @anastaziatemba5490 2 місяці тому

    Nimebarikwa sana nimeipona ugonwà wa mwili nanilishakata tamaa mana sikuwa naweza kuomba tena.natamani nipate Musa wakuongea nawe kama utapata kibali kwa mungu

  • @francoisendunga
    @francoisendunga 4 місяці тому

    Amen nimebarikiwa 🙏

  • @JaphetKatemi
    @JaphetKatemi 4 місяці тому +1

    Somo hili limenitianguvu nyingi katka maisha yangu Bwana akubariki . Aminaa

  • @LvnessGio
    @LvnessGio 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana..

  • @rahabumorro4148
    @rahabumorro4148 5 місяців тому +3

    Nina muda sifuatilii haya mahubiri lakini leo nimesikia msukumo wa ajabu kusikiliza
    Asante sana Bwana Yesu

  • @IrineoyaruOyaru
    @IrineoyaruOyaru 5 місяців тому

    Amina Amina

  • @nancymtana1812
    @nancymtana1812 4 місяці тому +2

    Mungu anikumbuke kila ninaloanzisha linakufa,

  • @AnnaSamwel-ww6nk
    @AnnaSamwel-ww6nk 5 місяців тому +2

    Ninaomba muimbee familia yetu upendo, mshikamano utawale ktk maisha yetu

  • @aumamadina7100
    @aumamadina7100 3 місяці тому

    Asante mungu nimebarikiwa🙏

  • @tabitharobonyo6442
    @tabitharobonyo6442 2 дні тому

    Mungu anauwezo tumwamini najua ametenda

  • @mamdaliko2362
    @mamdaliko2362 5 місяців тому

    Amen pastor

  • @veronicawilsonmbwambo1054
    @veronicawilsonmbwambo1054 3 місяці тому

    Barikiwa sana

  • @kitunzaesperance3250
    @kitunzaesperance3250 5 місяців тому

    Mungu asifiwe

  • @HellenMwakatundu
    @HellenMwakatundu 5 місяців тому +1

    Namshukuru Mungu Leo nilikuwa nasikiliza mahubiri tonses zilikuwa zimenibana baada ya maombi Mungu ameniponya kweli Kuna nguvu za Mungu tuamini jaman

  • @winfridangulimi6499
    @winfridangulimi6499 5 місяців тому +1

    Pr David Mmbaga kwa neno la Mungu kupitia kinywa chako naomba Mungu aniinue ktk uchumi wangu pia afya njma

  • @HOPEBIBLENETWORK
    @HOPEBIBLENETWORK 5 місяців тому +6

    Shadrack... Naomba uponyaji wa macho ambayo yamenisumbua kwa miaka zaidi ya 10...na kufunguliwa toka katika nguvu za giza zinazonifuata na nguvu zinazoniletea mikwamo katika maisha yangu hasa ya uchumi

  • @RachaelMbeyu
    @RachaelMbeyu 4 місяці тому

    Pastor naomba familia yangu kiuchumi kimaisha naomba mungu atutoe kwa wakat huu mgumu

  • @scolaebenezer4538
    @scolaebenezer4538 4 місяці тому +1

    NAWAOMBEA wangu Mungu awapatie kazi za kudumu kuwainua kimaisha

  • @JaliwaAdamu
    @JaliwaAdamu 4 місяці тому

    Hakika Mungu akubariki sana...ni kila siku lazima nipitie video zako naona mabadiliko makubwa kuielewa biblia

  • @dafrosasunguya7833
    @dafrosasunguya7833 4 місяці тому +1

    Naomba UPONYAJI wa UCHUMI wangu,Mungu aguse hazina za wale aliowainua Kuni support kimitaji Ili wakatimize kama walivyoniahidi KATIKA JINA la Yesu Kristo, Amina

  • @DeborahRaphael-h3i
    @DeborahRaphael-h3i 4 місяці тому

    : naomb Mungu anirudishie mkewang

  • @OwenMbogela
    @OwenMbogela 4 місяці тому +1

    Mchungaji barikiwa sana nimeanz kufatilia mafunzo haya baada ya familia yetu kuondokewa na mpendwa wetu ambaye alkuw n nguzo katika familia yetu(BABA) na tukawa katika Sinto faham ya jinsi Gani tutaweza kwenda baada ya Yale yote.....Lkn nashuhudia ukuu huu wa mungu familia yetu inazd kufunguliwa zaid na zaid tofauti na watu walivyokuwa wadhani .... BARIKIWA SANA MCHUNGAJI 🙏🙏

  • @winfridangulimi6499
    @winfridangulimi6499 5 місяців тому +1

    Pr mtumishi wa Mungu aliye hai kwa neno lako naamini nimekuwa juu sana kiuchumi asante sana pr

  • @AgnessMrutu
    @AgnessMrutu 4 місяці тому

    NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI YAKE

  • @KristinaKirway
    @KristinaKirway Місяць тому

    Ubarikiwe

  • @margaretnthenya-up5gt
    @margaretnthenya-up5gt 5 місяців тому +1

    Amina..Magret naamini Mungu anaona mikwamo yangu...na akafugue familia yangu.🙏🏽

  • @AsteriaPastory-y1i
    @AsteriaPastory-y1i 4 місяці тому

    Mafundisho haya ni yangu kabisa... Ndoa yangu...Uchumi wangu ...madeni mengi kuliko mshahara...ukoo unanitegemea....Lakini nimepata Tumaini ktk kusikia fundisho hili.,. Naamini MUNGU nisaidie kutokuamini kwangu

  • @LidyaNguluma
    @LidyaNguluma 4 місяці тому

    Anaamini Mungu amenitendea

  • @SuzanShayo
    @SuzanShayo 2 місяці тому

    MUNGU AKUBARIKI BABA UMENIPA MAJIBU YA JARIBU NINQLOPITIA NIMARAYAKWANZA KUKUSIKILIZA

  • @caromokaya4959
    @caromokaya4959 5 місяців тому +5

    Mchungaji ombea familia yangu iweze kufunguliwa kutoka umaskini na kizazi chetu kiweze kuendelea

    • @MaddieMoreno-i7i
      @MaddieMoreno-i7i 4 місяці тому +1

      Umasikini Sio ugonjwa ukifanya kazi Kwa bidii utaukimbia umasikini na uamini katika kile unacho omba MUNGU

  • @eliyakatembo416
    @eliyakatembo416 5 місяців тому +1

    Amen..nimebarikiwa sana ..pr. Bwana akubariki

  • @SimonMuhuneKitule
    @SimonMuhuneKitule 5 місяців тому

    Pasta asante kwa fundisho hili, kweli ninaamini kuwa mangwanjwa yangu yamekwisha, prostate imekwisha, watoto wote wamefaanikiwa, na hivi Mungu anaogeza tena njia ya mapato yangu

  • @johnsonbhugomola3033
    @johnsonbhugomola3033 5 місяців тому

    Mchunfaji namshukulu mungu kwa kukutumia utufungue akiri na nakuomba umuombee baba angu mashaka aokoke atoke kwenye vifungo mbal mbali

  • @godelivesifa7473
    @godelivesifa7473 5 місяців тому

    Nimefunguliwa kwaimani ndowatangu maishayangu nafamiliya yangupiya katikajinalayesu

  • @mozabayabanda4248
    @mozabayabanda4248 5 місяців тому

    Moza naomba nipone magonjwa yangu yote maumivu ya miguu maumivu ya kiuno naomba mungu aniponye

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 5 місяців тому +1

    Ukweli kabisa unasema mambo ya ukweli nimeokoka lakini nateseka sana miungu ya kwetu tunaokoka tunaanguka.hakuna hata mmoja amekaa kwenye ndoa,vijana wetu wanavuta bangi walevi wagomvi na hawakuwa hivyo.naomba MUNGU atume NENO moja familia ya AGUSTOR MSARIKIE wapate wokovu.ubarikiwe mchungaji Amina.

  • @joshuakitina4929
    @joshuakitina4929 5 місяців тому

    Mungu amenipatia amani ya moyo na tumaini jipya kupitia somo hili
    Mungu akubariki mchungaji

  • @happyjohn5153
    @happyjohn5153 2 місяці тому

    Mtumishi mi nahitaji kukuona wewe mwenyew nina shida sana

  • @godelivesifa7473
    @godelivesifa7473 5 місяців тому

    Amen amen amen nimefungulìwa katikajina layesu kristo wanazaret

  • @EulaliaChristopher-qs9mn
    @EulaliaChristopher-qs9mn 4 місяці тому

    Ombea family yangu

  • @tsongonadine386
    @tsongonadine386 5 місяців тому +1

    Nanamushukuru Mungu kwakuniponya nilikua naumwa mkono lakini ulipo omba mkono wangu ukapona Mungu akubariki

  • @janeonsarigo6206
    @janeonsarigo6206 5 місяців тому

    Asante pastor Mmbaga.Nahitaji maombi kwa mjukuu wangu Neviah ajue kuongea.

  • @olphanyamweya3154
    @olphanyamweya3154 5 місяців тому

    Ni kweli mchungaji wengi tumekwama Kwa sababu hatujapata utakazo.

  • @stellahkiboi
    @stellahkiboi 5 місяців тому

    Uniombee nipate riziki pia na jamii yangu

  • @totoothindi4233
    @totoothindi4233 5 місяців тому

    Pastor naomba niombee familia yangu

  • @yvesirankunda2002
    @yvesirankunda2002 4 місяці тому

    Japo kuwa nasikiliza somo hili baada ya siku nyingi,siku hiyi,nina imani kwamba leo ntapokea muujiza wangu kwa jina la Yesu.
    Amen

  • @NaomOngeri-i8q
    @NaomOngeri-i8q 5 місяців тому

    Naomba uniombee mtoto wako anaamka usiku Analia bure miaka nane ukimuuliza Hana sababu
    Niombee nimekwama miaka mingi peza zangu hazitulii
    Niombee mamaangu mzazi anasahau hajielewi
    Niombee nijue kuomba
    Mungu azidi kukubaliki mchungaji

  • @furahakitumainiJoséphine
    @furahakitumainiJoséphine 2 місяці тому

    Muombee mama yangu anamatatizo

  • @AndrewChirisant
    @AndrewChirisant 5 місяців тому

    ombi langu naomba mungu amupe mwanangu mudogo afia njema

  • @danielmwakatumaakimu1050
    @danielmwakatumaakimu1050 5 місяців тому

    Mchugaji nashukuru kwa ajili ya kipindi hiki.maana Mimi mambo yangu biashara zangu zimekwama na nimebaki na deni kubwa na nimekata tamaa.lakini kwa neno lako mtumishi ninaamini nimepona.ubarikiwe sana.

  • @helenmugure3796
    @helenmugure3796 5 місяців тому

    Nina imani siku yangu ya kufunguliwa ni leo .Nina amani na imani katika jina la Yesu .maombi yang ya mda mrefu yamejibiwa.

  • @totoothindi4233
    @totoothindi4233 5 місяців тому

    Naomba maombi ya familia yangu hasa kwa kijana wangu Jayden hasibadilike vile ameenda secondary na mimi pia niondolee madeni niko nazo mingi...wanisamehe kwa hizi madeni niliingia bila kujua. Nimepitia mengi.

  • @likatiabunuas2701
    @likatiabunuas2701 5 місяців тому

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @jacintasyombua7512
    @jacintasyombua7512 5 місяців тому

    Naomba kufunguliwa milango biashara yangu imeenda chini Sana

  • @happinessmongare4311
    @happinessmongare4311 4 місяці тому

    Hesbon nyariki happiness mongare fortune obongo quinton mugoya

  • @ElibarickAllex
    @ElibarickAllex 3 місяці тому

    kiusema kweli,, kwetu hakuna aliye soma, ushirikina, wazazi hawana ndoa,

  • @purity134
    @purity134 5 місяців тому

    Amen,mungu nisaidie niweze kuyasahau niliyatendewa wakati nilikua sina kitu,na nifunze kusamehe na kurudiana kama mwanzo

    • @mariumisaka7658
      @mariumisaka7658 5 місяців тому

      naomba maombi kuhusu kunywa pombe na kusoma neno la mungu lijae kwawingi 17:13 17:15 17:17

  • @johnsonbhugomola3033
    @johnsonbhugomola3033 5 місяців тому

    Mungu akupe maisha malefu sana u

  • @Joycependopendo-dv2tb
    @Joycependopendo-dv2tb 5 місяців тому

    Amen namshkuru mungu nimeaka Salama

  • @LovelyBreakingWaves-pu5hu
    @LovelyBreakingWaves-pu5hu 5 місяців тому

    Pastor please niombee baba ni mgonjwa then mamangu kafika 78 years kaanza kunyua pombe. Juzi akamjapa baba am feeling pain why my family

  • @happinessmongare4311
    @happinessmongare4311 4 місяці тому

    Ombea familia yangu na my aproval visa in jesus name

  • @irenealimasi8657
    @irenealimasi8657 5 місяців тому

    Na mimi siku zote hizi nasikiya pembeni nakichwa panauma naomba mungu anifungue.

  • @KristinaKirway
    @KristinaKirway Місяць тому

    Ningeamini mkwamo ninausababisha mwenyewe namsingizia tu shetani Kwa jina la YESU kuanzia Sasa sitakwama tena

  • @mozabayabanda4248
    @mozabayabanda4248 5 місяців тому

    Ubakiwe sana Mchungaji

  • @ChristineBinsari-ql5bf
    @ChristineBinsari-ql5bf 5 місяців тому

    ombea familia nyangu na pia wenye wamepoteza familia zao kwa mafuriko. mungu awafariji

  • @andersonmwazala9654
    @andersonmwazala9654 5 місяців тому

    Naamini mtoto wangu anatembea Anderson from NRB

  • @ishmaelsimon6617
    @ishmaelsimon6617 5 місяців тому

    Kwa IMANI BWANA Ameniokoa.

  • @jorammalyabo3662
    @jorammalyabo3662 5 місяців тому

    asante pasta kwa fundisho
    ila kuna dhambi nilifanya ila ilikuwa kwa siri bila kanisa kughundua ila inaendelea kuni sumbua nishaka tubu ila inaendelea kunisumbua nina mkwamo kila ninapo pata adjira sabato ndilo ina kuwa tatizo nina acha hiyo kazo

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 5 місяців тому

    Amen Amen Amen

  • @LeaYudi
    @LeaYudi Місяць тому

    Mchungaji nahomba unihombee ninamatatizo yakutokupata choo nikitaka kujisahidia nasikia mahumivu nyingisana unihombee mchungaji

  • @HOPEBIBLENETWORK
    @HOPEBIBLENETWORK 5 місяців тому

    Amen... Shadrack following from Nairobi

  • @kitunzaesperance3250
    @kitunzaesperance3250 5 місяців тому

    Nahiji,maobmi kuobmea family yangu, Asant.

  • @MariamBusele
    @MariamBusele 5 місяців тому

    Nmeamini mwanangu amefunguliwa masomomo yake maana glafla alikua kubadilika Ila sasa MUNGU ametenda🙏🙏

  • @JoselineMlama
    @JoselineMlama 5 місяців тому

    Nasumbuliwa na mambo nisiyoyajua naomba maombi

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir 5 місяців тому

    Amen

  • @junessalama9129
    @junessalama9129 5 місяців тому

    Mchungaji Naomba umwombee mtoto wangu Caroline Sanga Daraja la saba anafeli sana wakati alikuwa anashika nafasi ya Kwanza darasani.

  • @magrethsindabaha1851
    @magrethsindabaha1851 5 місяців тому

    Watoto,uvuvio wa roho mtakatifu, uchumi

  • @BarnabasJonas-nv4ig
    @BarnabasJonas-nv4ig 5 місяців тому

    AMINA

  • @kadzocharosilver411
    @kadzocharosilver411 2 місяці тому

    Familiar yetu kila atakaye inuka anaanguka yani tuko halingumu haki nahitaji musaada unifundishe niwezekuvunja hii hali