Frank Zephania Shuka Mungu na utukufu wako

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024
  • Hakika katika Zama hizi tunamhitaji Mungu
    Kupita.fahamu zetu Kuna Mengi yanafanyika
    Kinyume na Mungu hivyo imemipelekea Mungu kutuchukia na utukufu wake kuondoka na kukaa mbali Basi na ndio maana Kuna Mambo Mengi ya ajabu yanatokea makanisani hakuna Nguvu ya Mungu Tena .watu wanaoenda wanasema tumemuona Mungu lkn matatizo yako
    Pale pale karibu subscribe chaneli yetu uwe wa kwanza kupata video ya wimbo huu pindi itokapo pia nakuomba nisiidie kushare ili kuwafikishia wengi ujumbe huu Mwisho tunaomba Maombi yako ameni.

КОМЕНТАРІ • 2

  • @AlubatiElia
    @AlubatiElia Рік тому

    Amina barikiwa mtumishi wa mungu

  • @jaspina4937
    @jaspina4937 Рік тому

    Asante sana Mungu kwa kunipa macho ya rohoni