Wakenya walioko Marekani Waandamana kupinga mswada wa fedha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Utawala wa Rais William Ruto ukiwa unaendelea kutetea tozo zilizopendekezwa kwenye mswaada wa fedha maarufu kama Finance Bill 2024 kama zinahitajika ili kujaza hazina ya serikali na kupunguza utegemezi wa kukopa kutoka nje, raia wa Kenya wanaelezea hisia zao kuupinga mswaada huo walioutaja kuwa haufai. Wakenya kutoka miji mbalimbali waliandamana hapa Marekani kupinga hatua hiyo ya serikali.
    VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi.
    Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
    Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000.
    Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru.
    Jiunge na VOA Swahili:
    » Tembelea Tovuti Yetu: bit.ly/3PtyNWc
    »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: bit.ly/3TNTiiI
    »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : bit.ly/VOAPlus
    »Download VOA+ katika vifaa vya Android bit.ly/3KykriI
    »Tembelea Tovuti yetu: www.voaswahili...
    »Upende ukurasa wetu wa Facebook: / voaswahili
    »Tufuatilie katika Instagram: / voaswahili
    »Tufuatilie katika X: / voaswahili
    »Tufuatilie katika UA-cam: / @voaswahili

КОМЕНТАРІ • 22

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 3 місяці тому +7

    Big up our brothers n sisters in Diaspora. Let us speak in one voice.kenya niyetu sote🎉

  • @victoriashiko7172
    @victoriashiko7172 3 місяці тому +2

    In Kenya is only the rich families are getting good treatment nice hospital medical but poor families peoples are die inside their houses in 🤫silent

  • @juciyorange5135
    @juciyorange5135 3 місяці тому +4

    Nice jobs Kenyans! Let remain united

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 3 місяці тому +3

    Big up our brothers n sisters in Diaspora. Let us speak in one voice.kenya niyetu sote🎉

    • @Kaka-kq2uy
      @Kaka-kq2uy 3 місяці тому

      B4 you tell them big up ask them what the work of IRS in US.Let them tell.a lot of tax in foreign.Every Tax returns if not u pay with fine.And very huge fine.

  • @Kaka-kq2uy
    @Kaka-kq2uy 3 місяці тому +1

    These pple are working in America .How many taxes do they pay .Do they know that in their pay they cater for the homeless and the have not?Wale wakenya wanalipa Kodi wakikosa watakutana na IRS.Please tell them the truth

  • @PaulOrenge-eo4hb
    @PaulOrenge-eo4hb 3 місяці тому +1

    Minnesota we reject the Bill Ruto aende Home kama amechoka G,,z pamoa

  • @nelpwogen4822
    @nelpwogen4822 3 місяці тому +2

    I never used sanitary towels. Dont need to go prostitution to get sanitary towels.

  • @elijahasiso287
    @elijahasiso287 3 місяці тому +1

    Its very unfortunate that kenya president go to US,hired a foregn expensive plane,then back to kenya to try tax foregn kenyans who for many years have helped families over there...any money sent to kenya ia always taxed on any expenditures over there.....Kenyans in diaspora themselve cant have 8 hours sleep....some are even homeless!!!
    Tourist who come to kenya fot safari are also tax....what else do you want from diasporas money????
    You didnt even create job for them....some are even loosinvg their loved in Saudi Arabia...
    Reject that bill!

  • @cynanwambui
    @cynanwambui 3 місяці тому +1

    Muranga hospital maji was disconnected patients were going with jerricans on admission😢 i dont know whether mawasco has recconected.just sad

  • @steuerveronicah9676
    @steuerveronicah9676 3 місяці тому +1

    Kisha wanaa nyimwa Visa ya US. Embassy hawawezi trvel

  • @Faithmumoz97
    @Faithmumoz97 3 місяці тому +1

    Congrats our brothers and sisters

  • @Lzzlzz-k3m
    @Lzzlzz-k3m 3 місяці тому +1

    This story of Haiti is a No😢😢😢

  • @eshasalim1471
    @eshasalim1471 3 місяці тому

    MashaLLAH ❤️ Allah atujaaliye umoja wetu udumu sote wakenya .umoja ni nguvu utengano ni udhaifu

  • @VivianChichi-jl7mp
    @VivianChichi-jl7mp 3 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @nelpwogen4822
    @nelpwogen4822 3 місяці тому

    You voted raila in 2022, so no need

  • @BarakaAkech-r9q
    @BarakaAkech-r9q 3 місяці тому +1

    Ruto kashindua

  • @kennedymakori8040
    @kennedymakori8040 3 місяці тому

    You don't have your country at heart,shutup

  • @kennedymakori8040
    @kennedymakori8040 3 місяці тому

    Using mucus instead of brain,give your government time 😮😢😢😮😮