Hiyii movie nikama mumenitungia mimi tu nilikua natesa Sana moyoni mwangu nilikua na wanaume wawili mumoja alikuwa ananipenda Sana kama huyu mume wa kimu lakini mie nilikua simupendi 😢 hivo Kimu ngoja niwone huwo mwisho daaa! Mapez bwana 😢 kimu shaguwa semu sahihi pls Ninawapenda Sana from malawi ❤❤
Kim huyo ambae humpendi ukitulia utampenda na ndoa itadumu ila ukijichanganya upende ww baadae kitakuramba😢#huyu jamaa wa misemo uko kula ndiko kunamtia stimu ya misemo jaman...hongereni mchezo mnaucheza❤❤❤
Kim .bwela .Sandra .mwasi .medick chapa blessing 🙏🙏🙏💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
kazi nzur
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤kutoka kenya 🇰🇪
Kazi mzuri sana from kenya
😂😂😂uyo kaka ana maneno mazito hata mi sijelewa hata limoja
True lov from kim...na mpenzi wake❤❤
Wakwanza jamani🎉❤❤
Kazi nzuri sana ❤❤ nawapenda bure 🎉🎉
Hakika kila penye giza hua na nuru japo huchelewa kutufikia
Nawapenda sana mbwela na Sandra sana sana mkiigiza kama wapenzi AO mbwela na zatiti izo capo mbili uwa zinanifuraisha sana❤❤❤❤❤
JAMA wa misemo anatisha kweli 😊😅😅😅😅😅
❤❤❤kaz nzur
Together from Kenya 🇰🇪 What a story,,Keep the good work Kim
Yan kazi za Mbwera huwaikovizuri. Yani. Anafanya kitu. Kiuwalisia. Sema. Nn. Dada kim. Kaziyako. Nzuri. Sana
Sitaki like hata Moja nashangaa mnao penda like zinawasaidia Nini kwani
Hhhhhh yan at mm nashangaa san kil mmoj like wztwambie ikiwa wan pat hel na ss tuombe
Yan Kim sas umekuwa kazi kali kinoma
Wa 7 mm naombeni like ata1
Kaz nzur sn dadngu Kim nakupnda san sn kw kazi zko 🇰🇪🇸🇦
Wa mwisho ila like tano tu zanitosha😢
Kuolewa na mtu usompenda ni kipengele chengine kigumu sanaa, naelewa anacho pitia Kim.
Kz nzuri sana 🔥
Cool season nzuri san
Yaani mbonolwa misemo unayo atari nimependa sana🎉🎉🎉🎉😂😂
Ata mimi nimechanganyikiwa na Miseka kama mwasi na but mbutwaa ..wow the drama is getting interesting each time ..❤❤ from 🇰🇪 kenya ❤
Umetisha sana mdgo wang
yan huyu mwenye kula me ananikera jaman nko na njaa zangu hapa😢😢😢
Uyo mla biskuti mumemtoa wapi anazinguo naizo biskuti zake
😂😂😂lkn maneno yake??maneno yake matamu anamafumbo balaa mm nampenda buree❤❤❤❤❤
Kazi nzur
Hongereni sana mkovizur mashallah 🎉🎉🎉❤❤❤😊😊😊
Kim dad unautesa moyo wangu chagua upande ulio sahihi kwko
Upande sahihi ni Medick
Good job kaka bwela nakunda sana hunaingiza vizuri sanaaaa
Nakupenda sana bwela una roho nzuri sana ❤❤
Mzee kula kula uko vizur kwa umbea napiia uko vizur kwa vijembe,😅
Kazi nzuri sana
🎉❤
Miza ni dada mrembo sana mbwera amekufa akaoza❤❤❤🇧🇮
Hayo n mapenz ya kpumbavu
Nawakubal sana kutokea kenya
Nakubali sana kazi za mbwela
❤❤kim vevo❤❤
Good Job🥳🔥🔥
Mko juu guys
Kazi nzur sana😢😢
Kazi nzuri xn nawapenda xana ❤❤❤🎉🎉🎉
Mbwela l love you more❤❤❤
Mwasi ❤
Good job kaka hongera sana nakupenda bwela,
KM unajitaidi sana sana Mungu azidi kukupa maarifa zaid
Natamani isiishe aisee
Nimekubali sana iyi nikali 🇨🇩
Mubakaji afungwe mbwira asiyokuwa naurima😢
Mapema tuu
Mume wa kim nampendaga jamaniii
Umetishaa, kisa ndevu😮😮😮
Wa 28 jmn like zng❤😢
Nimepend san maneno yahuy Jama anaependa kutafun biscuit 🤝
Anapo kuwepo mbwela mambo🔥🔥
😢😢😢😊😊jaman
Mbwela move zako na zipenda sana wacha kupe saluti 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii kazi inamambo mengi inachosha
Hiyii movie nikama mumenitungia mimi tu nilikua natesa Sana moyoni mwangu nilikua na wanaume wawili mumoja alikuwa ananipenda Sana kama huyu mume wa kimu lakini mie nilikua simupendi 😢 hivo Kimu ngoja niwone huwo mwisho daaa! Mapez bwana 😢 kimu shaguwa semu sahihi pls Ninawapenda Sana from malawi ❤❤
Thank you 🙏🎉🎉
N kwali fadhali ushi n mwaume ambey yukupebda yeye kuliko ww mapenzi bwana😂😂😂huwez yalewa
Mwasi is very beauty 🎉
Munacherewa sana
Kaz nzr san ❤❤
Good job kim❤❤
Kim nakupenda saaanaaa❤❤
Jamaa vibiskuti anakiwanda ama
good job, next pleaz
Machozi machozi❤❤❤❤❤❤
Mais força mana kim sou d cabo delgado
Oooh maiii Butua 😂😂😂
Kuishi na mtu ambae humpendi ni mtihani sana
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kim huyo ambae humpendi ukitulia utampenda na ndoa itadumu ila ukijichanganya upende ww baadae kitakuramba😢#huyu jamaa wa misemo uko kula ndiko kunamtia stimu ya misemo jaman...hongereni mchezo mnaucheza❤❤❤
Kazi njema
Anatafuna biscuits kma hnaa menoo 😊😊😊 iyo imeendaa
Kazi safii
Hvi like ni diri ee
Mnachelew San kutoa mpk tunasahau
Hivi huyu wakula beskuti katokea wapi
😂😂😂😂😂😂
❤
Binadamo yabaya😢😢😢
Wa pili jmn like zenu hat 10
Ukiacha kula biskuit utakua vizur san
😂😂atafika mbali au sio
Mbwela wapenda kuniliza ww😢
Nikiisikia ako ka wimbo chozi linanitoka ujue
Moto 🔥🇰🇪
Mbwela unapendwa ujuwe
❤❤❤
wamwisho reo
❤❤❤❤❤❤
Jamani like zenu twendeni pamoja
Kak unajua kama madebe
❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😊😊😊😊🎉
Asanteni kwa kuharakisha
🎉🎉🎉🎉🎉
Jitahidi basi
❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢❤❤
❤❤❤❤❤🎉