WALIMWENGU || Swahili Latest || Bongo Movie 2021
Вставка
- Опубліковано 1 лис 2024
- WALIMWENGU bongo movie 2021 ni movie ya kiswahili kutoka Tanzania
Bongo movie 2021 swahili
Latest Bongo Movie
WALIMWENGU,Mpaka wa shamba wateketeza familia bila huruma ni filamu bora ya kitanzania yenye maudhui mazuri kwa ajili ya kufundisha jamii.
KAPAYA THE GREAT FILM
Contact:
0655 218 331/0753 318 331
email. kapayamic75@gmail.com
Instargram
Kapayathegreat
TANZANIA.
Pole sana ntemi.
Kapaya my fun
Kajere ka lafiki kale na ntemi nakusalimia Sana
Walimwengu kweli pole sana ntemi
Duh! Mzee ana roho ngum kama roho ya mkaanga sumu roho za hao watu ata hazimuumi jamn, ila movie nzr sana zimebeba jumbe zenye kufundisha hata kwa jamii nice 💪💪💪
Nawapenda Sana movie nzuri Sana
Jaman mwendelezo wa tamthiria ya ntemi ni lini
Movie nzr nimeipenda xan ubarikiwe xana kapaya
Ahsante sana 🙏 Ubarikiwe pia
Kaka mkubwa kwanza Kongole Sana kwa kazi Nzuri nilitamani kujua kama movie hii Inaendelea 🎉🎉
kaka wewe movie zako nazipenda sana
Ahsante sana 🙏
Nawapenda sana
Mnatujelewesha ntemi episode 83
Kapaya vp movie hiyi haindelei
Jere,kamariza,makande,pore,sana,ntemi
,
Uku niwapi jaman nmependa hiyo green😘😘
Geita hapo mke wangu
@@kapaayathegreat sawa ntatembelea siku moja
@@veroo869 uko wapi wewe
@@kapaayathegreat Kenya
@@veroo869 karibu sana
Congrats 👏 kapaya nakukubali sana, nainjoy movie zako dear,
Uko wapi mpenzi wangu?
@@kapaayathegreat nko Kenya my dear
@@clarissidi1437 wow ahsante mpenzi wangu karibu sana
@@kapaayathegreat n shakaribia
kapaya. God mov
Jamani
Kwani ntemi imefika mwisho nasubiri sana episode 83
Mimi nimemis ntemi unakuja lini sasa maana naisubili ntemi
It's amazing first watching part 2 alafu namalizia na part 1 🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Enjoy movie my dear
@@kapaayathegreat next part please
@@mukyalamuwuulu8647 check the name of kaka ampa mimba dada yake that is part 2 my bby
@@kapaayathegreat thanks dia but part 3, cos part 2 nimeiona
Nakuomba tena joogo apandi mutungi Niko nawewe sambaba
Ntemi imeishaa au
😂😂😂Mzee mkorofi uyu
Jere,hapo,warikuwa,anajifunza,ugaid,siyohuruka.yake
Hivi jamni huyo Mzee ndoalivyo hata kwenyemaish ya uharisia mbona Kila mvi nimkorof
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣alietoa buku kaachwa solemba 🤣🤣🤣🤣🤣😅kamseleleko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mzeee anaongea sanaa khaaa
Hatariii sana
@@kapaayathegreat 🤣🤣
@@claudiayohana6576 una ufahamu mkubwa sana wachache
@@kapaayathegreat hongereni kwa kazi nzr
Mario
Pesa imeenda yote hio Kapaya 🤣🤣🤣🤣
yani walinitesa hao jamaa
@@kapaayathegreat pole sana
@@bbrsssaad1282 ahsante sana
Pole
Sasa naanza kuelewa hiii ile kaka kampa mjmba dada yake part 1 yake ni hii hapa
Sema majina mmeandika tofauti hii walimwengu na ile ni kaka kampa mimba dadaake
Kabisa hujakosea
ahsante kwa kuelewa
@@kapaayathegreat 🙏🙏🙏
@@kapaayathegreat uko vizr sana kaka kapaya, hongereni sana.
NTEMI IKOWAPI TUNAISUBIRI KWAHAMU
🙏🙏🙏❤❤❤
Kajere ka lafiki kale na ntemi nakusalimia Sana
Kwani ntemi imefika mwisho nasubiri sana episode 83
Kwani ntemi imefika mwisho nasubiri sana episode 83
Kwani ntemi imefika mwisho nasubiri sana episode 83