M23 Ni Waasi Wa Namna Gani? Na Wanataka Nini Kutoka DR CONGO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 8

  • @henryking6070
    @henryking6070 2 роки тому +4

    Uongo M23 ni Rwanda hayo majina yote ni wanyarwanda, wanatumikishwa na mabeberu ili kuiba mali za Kongo

  • @kabuletepierre7506
    @kabuletepierre7506 2 роки тому +2

    Hatuna chuki na watusi wala wanyarwanda kwa jumla. Ni taifa la watu waongo sana na uongo wao iko siku ita….hakuna binadamu special. Sisi wote ni sawa. Kwa nini upende vita badala ya amani? Mbona unafanya kabila yako ichukiwe kila mahali? .mbona Kenya na TZ wa nilotics na wa Bantu wote wanaishi pamoja kwa umoja? Tumuogope Mungu.

  • @ushindizabuloni-hd9rz
    @ushindizabuloni-hd9rz 8 місяців тому

    tupeukweli kk usiofu

  • @j.bjacobbasubi2187
    @j.bjacobbasubi2187 2 роки тому

    Wote hapo ni watusi nawala sio wanyerwanda kwasababu watu wa rwanda hawa kuwage napowa ndefu hizo

  • @sekibibibatume4719
    @sekibibibatume4719 2 роки тому

    Ananias edga! unaogopa Kagame mbona hauongee mengi Leo!!!!!

  • @kabuletepierre7506
    @kabuletepierre7506 2 роки тому

    Wewe ni mtanzania. Hakuna kitu unaongea hapo. Fanya utafiti usiotegemea upande wowote. M23 ni muundo wa watusi wanyarwanda kwa lengo la kupora, kuvamia, na kuua wa Congo wa Bantu kusudi wachukuwe udongo wao. Wa maimai ni wazalendo wanatetea ardhi yao. Lakini wacongo tutajihami kwa nguvu na mali kujibu marudia.

  • @amimumufaumekikwasa5921
    @amimumufaumekikwasa5921 2 роки тому

    Acha ujanja denis bana hiyi M23 ni wanyarwanda mtupu.

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 роки тому

    Aka the terminator