"WACHA UJINGA,YOU MUST RESPECT RUTO!" DRAMA AS MP ALADWA LECTURES SIFUNA AND BABU OWINO IN CHURCH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 103

  • @mutosh
    @mutosh 22 дні тому +7

    Aladwa nakuhurumia sana

  • @christopherbeda5304
    @christopherbeda5304 22 дні тому +5

    Aladwa, one word!Kumamako!

  • @kimathi7118
    @kimathi7118 22 дні тому +3

    This MP is not coming back. 😂😂

  • @EdwardMuiruiri
    @EdwardMuiruiri 22 дні тому +1

    Wueeeh Makadara Mp 😢

  • @Mmmmm1-M
    @Mmmmm1-M 21 день тому +3

    Sijui mtafanya nini juuu RAILA akuna mahali anaenda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @wuodmayor6159
      @wuodmayor6159 21 день тому

      Tutavunja nyungu Kila mtu kwa mama yake

  • @LeahWanga-i1n
    @LeahWanga-i1n 22 дні тому +2

    Hiyo AU mutaionea viu ss nani atachagua kiongozi mwenye inchi yake watu wanatekwa nyara kila kona

  • @hesbonwanyama5222
    @hesbonwanyama5222 22 дні тому +2

    Endelea kudanganyana,,,,ground ilienda

  • @joshuaomaya2262
    @joshuaomaya2262 22 дні тому +3

    WACHA BABA ANAENDA CHINI.

  • @lucianaapacha3871
    @lucianaapacha3871 22 дні тому +2

    Aladwa unaenda nyumbani

  • @liliangitau1994
    @liliangitau1994 22 дні тому +3

    Sen Sifuna ndio anaongea kama ww mkiwa 20 Sen all the way hayo unasema haisaindii ata kidogo

  • @anthonymachayo4699
    @anthonymachayo4699 22 дні тому +1

    Aladwa is a spent force!

  • @EdwardSimiyu-l2m
    @EdwardSimiyu-l2m 22 дні тому +2

    Wewe nawe ngoja uende nyumbani

  • @dicksonmwangi5797
    @dicksonmwangi5797 22 дні тому +1

    The ODM central management committee met and gave us directions. It's official that ODM will have a presidential candidate to compete with Ruto and others.
    Therefore those in ODM will be voting for our candidate regardless of the outcome of the AUC elections next month.

  • @EdwinNamasake-n9p
    @EdwinNamasake-n9p 22 дні тому

    ❤❤❤❤

  • @bakari52
    @bakari52 20 днів тому

    Kwani kanisani waongea siasa ama ni neno la Mungu? Tupatie msikiti salute mana kanisa halina adabu. How comes unaruhusu mtu anaongea siasa?

  • @aishaabdullahi6742
    @aishaabdullahi6742 18 днів тому

    Wewe ngombe Babu Awino is the next governor

  • @dicksonmwangi5797
    @dicksonmwangi5797 22 дні тому +1

    Aladwa kwa Ruto uko na wale mnataka kuenda.
    ODM will deal with Ruto in 2027.

  • @Xamxon254
    @Xamxon254 22 дні тому +1

    Aladwa ndio hutafutia Raila magoons....😂

  • @josphatwambua6974
    @josphatwambua6974 20 днів тому

    Nonsense

  • @scofield6490
    @scofield6490 22 дні тому +2

    Hiyo inasaidia watu aje

  • @njerubernard1515
    @njerubernard1515 21 день тому

    Suruali

  • @mutualoka1809
    @mutualoka1809 22 дні тому

    Is this actually church of Jesus Christ,, where is supposed to be a house of prayer and ministration of the word of ❓❓

  • @alfredscratch2100
    @alfredscratch2100 22 дні тому

    Who cares what Aladwa says? I am a registered voter in Makadara and an ODM member, but I don't. I can't wait to take my ballot away from Makadara.

  • @nicholasolando3033
    @nicholasolando3033 22 дні тому +1

    unajidanganya bwana adwa

  • @jameskasidi6775
    @jameskasidi6775 20 днів тому

    Ruto till 2032

  • @martinopere9692
    @martinopere9692 22 дні тому

    What are those ministries positions help us with ama mumelewa na pesa nyinyi wabunge huku rahia wakiteseka??????

  • @daveduncan2466
    @daveduncan2466 21 день тому

    Kwa bunge in two years meno huonekana tu masaa ya chai

  • @francismwita9301
    @francismwita9301 22 дні тому

    𝐵𝑢𝑟𝑒 𝑘𝑎𝑏𝑠𝑎

  • @HafidhSalim-x2q
    @HafidhSalim-x2q 21 день тому

    Kura ziko na wananchi siyo nyinyi mafisi.

  • @JOHNMWANZI-f6v
    @JOHNMWANZI-f6v 22 дні тому +1

    Aladwa wewe ni mluhya maragoli mjinga watu wakitafakhali ya mbele wewe uko nyuma tu,Sisi tuna tambua watu kama akina Natembea,Sifuna na wengine wenye maono mazuri ya mbele

  • @canaansignsenterprises
    @canaansignsenterprises 22 дні тому

    Aladwa fake sana.. kumbe ODM ni chama cha mazuzu tupu, kumbe hiyo ndiyo sababu Raila hushindwa kura kila uchaguzi. Hata hii AU Raila ataanguka kwa sababu ya ninyi akina Aladwa.

  • @JohnKinyua-c6i
    @JohnKinyua-c6i 22 дні тому

    Development not talks

  • @njarozadymali5746
    @njarozadymali5746 22 дні тому

    Sasa kura yenyu viongozi itapitisha Kasongo? Sisi wananchi hatuko kwa hiyo ujinga yenyu, This time ni Sisi na nyinyi.

  • @alextercisio
    @alextercisio 22 дні тому

    So wakipewa pia wakenya wakawaida wa odm wacha pata ??😂😂😂

  • @wambugujoseph3355
    @wambugujoseph3355 21 день тому

    Time to EAT

  • @tomombui3888
    @tomombui3888 22 дні тому

    Semi literacy ndio inasumbua.Hata kuongea kingeresa ni shida lasima waongee kiswahili.

  • @josphatwambua6974
    @josphatwambua6974 20 днів тому

    Wacha ufala tumeuliwa sana

  • @canaansignsenterprises
    @canaansignsenterprises 22 дні тому

    Aladwa wewe ni mwembe, ni tumbo yako unapigania, mkiharibu uchumi wa Taifa. Kwani ni lazima Raila apigiwe kura. Ninyi ndiyo fisi wakubwa kwa Taifa hili

  • @MelvinMutua
    @MelvinMutua 21 день тому

    Kumbe mnapewa pesa

  • @hesbonlukhubi9077
    @hesbonlukhubi9077 22 дні тому

    Umepewa 58 Million ya madarasa so far umejenga ngapi kufikia sai 😂😂😂

  • @MelvinMutua
    @MelvinMutua 21 день тому

    Alandwa someone who have never talked anything in parliament yapping bure kabisa

  • @LeahWanga-i1n
    @LeahWanga-i1n 22 дні тому

    Tulisema ODM itabaki nyanza na huo upuuzi wao sifuna toka kwa hiyo chama 2027 don't use that party again

  • @SilasMaithya
    @SilasMaithya 22 дні тому

    So Raila is bigger than Kenya.

  • @odhiambookwirry2603
    @odhiambookwirry2603 22 дні тому

    Aladwa is right ..we are tired of opposition..we vote to form government Kikuyus kindly remain in streets

    • @NicoleMakaveli-wr6mm
      @NicoleMakaveli-wr6mm 21 день тому

      Jiangalie then utingishe kichwa so raila akisupport ruto mmeform the government

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 21 день тому

      And what is that government doing for you more than those kikuyus who are in the streets and you are paying the same tax to make the matters worse most of those kikuyus are the ones who has businesses giving you jobs yet you are in the government

  • @JosephMairura-r9u
    @JosephMairura-r9u 22 дні тому +2

    Hata Hauna haibu na hiyo tumbo mkubwa kama Tako la ndovu

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 22 дні тому

      Is this your contribution to the betterment of mankind? If you think it is then think again. Pity!

    • @kelvinkoech8083
      @kelvinkoech8083 22 дні тому

      Shida wewe ni mkikuyu 😀😀

  • @georgemaina-go1gm
    @georgemaina-go1gm 21 день тому

    Na hii tumbo yote😂

  • @petermwaura5650
    @petermwaura5650 22 дні тому

    Ata huna adabu

  • @jamesoyugi2383
    @jamesoyugi2383 22 дні тому

    Hii tumbo ni gharama kama si ugonjwa, ipunguzwe.

  • @liliangitau1994
    @liliangitau1994 22 дні тому +1

    Huyu vile tulikuchagua pale gava alafu ukatufukiza ww

  • @jameskinyua3940
    @jameskinyua3940 22 дні тому

    N kanisa ama n siasa

  • @edwinmurithi5056
    @edwinmurithi5056 22 дні тому

    Huyu pia no brother ya weta,mundavadi na Atwori wakishiba ni hivyo

  • @mutosh
    @mutosh 22 дні тому

    Landward kula peke yako,hakuna mwananchi ako na nyinyi,ongea kama wewe ndio uko na kura,broad based inasaidia mwanachi nini,mnakula peke yenu,

  • @nyandwarooeri3374
    @nyandwarooeri3374 22 дні тому

    Wacha ujinga kanisani

  • @leonardkithiia1528
    @leonardkithiia1528 22 дні тому +1

    Selling Nairobi.Mko peke yenu

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 22 дні тому

    Sasa aladwa watisha sifuna sio sifuna dio gover wa nrb 2027 ata mukimutoa odm ata asimame kiumbe

  • @hammurambiharmless3651
    @hammurambiharmless3651 22 дні тому

    Umejenga madarasa mangapi isipokuwa kupiga ndomo hapo, kwani rais anajenga na pesa zake ama ni tax yetu?

  • @rickyowino1627
    @rickyowino1627 21 день тому

    Ujinga mtupu...kwani munadhani Sisi ni wajinga sana

  • @CharlesKibara
    @CharlesKibara 22 дні тому +1

    Alandwa aongeangi Kwa bunge😅

    • @EdwardSimiyu-l2m
      @EdwardSimiyu-l2m 22 дні тому

      @@CharlesKibara it's because he is a dump fool my friend

  • @mwaliro
    @mwaliro 22 дні тому

    kiuno kubwa

  • @WickyReacts
    @WickyReacts 22 дні тому

    angalia tumbo yake!!. Go and unfat Aladwa

  • @JaneStelzer-lk9gl
    @JaneStelzer-lk9gl 22 дні тому

    Hawa ni tumbocrats mkisiba hamngei na baba akikosa wot next

  • @ChrispineMathenge
    @ChrispineMathenge 22 дні тому

    kwani ni pesa za mamake

  • @Redcatek
    @Redcatek 22 дні тому +1

    Ushawahi skia politics kwa msikiti??? Umbwa nyinyi!!!

  • @liliangitau1994
    @liliangitau1994 22 дні тому

    Heheheheheee lies lies lies mpaka kanisani what a shame mpaka unatishia watu

    • @georgesalano5771
      @georgesalano5771 21 день тому

      @ Lilian ...why act so shocked and it has been going on from all this politicians from long time ago ....... infact the shame should be directed to the people you call pastors for allowing this just for a small token.

    • @liliangitau1994
      @liliangitau1994 20 днів тому

      @georgesalano5771 coz of the way they behave am also shocked to some pastors

  • @dominicdava8063
    @dominicdava8063 22 дні тому

    Wahumini wote ni wanasiasa hehe😅

    • @georgewanjala5323
      @georgewanjala5323 22 дні тому

      Hadi mhubiri mbele anapiga makofi Aladwa akiongea matope

  • @brianmassive5744
    @brianmassive5744 22 дні тому

    Wajinga wakikula wanaona kama wakenya sisi ni wajinga tunawapeleka home wote

  • @lkt271
    @lkt271 22 дні тому

    Tumbo imejaa matumbo

    • @brianfury254
      @brianfury254 22 дні тому

      Alafu amepewa 58 million atapasuka huyu

  • @CHARLESMWANGI-r2h
    @CHARLESMWANGI-r2h 22 дні тому

    Tunawajua saana na hizo vitabi zenu

  • @NURSE-Hassan
    @NURSE-Hassan 22 дні тому

    Kuku wewe

  • @wuodmayor6159
    @wuodmayor6159 21 день тому

    Ujinga yako sisi hatuko hapo

  • @brysonshayo5683
    @brysonshayo5683 22 дні тому

    Funda wewe

  • @phelixogodoh3281
    @phelixogodoh3281 22 дні тому

    Ujinga tupu!!!

  • @derrickatsango464
    @derrickatsango464 22 дні тому +1

    Sifuna is full of himself....

  • @liliangitau1994
    @liliangitau1994 22 дні тому +1

    Acha kundanganya Ruto

  • @MutioJohnson
    @MutioJohnson 22 дні тому

    kwendeni kabiza na chama chenu. ngoja tu baba apate mambo Yako ndio itaiaha

  • @ChrispineMathenge
    @ChrispineMathenge 22 дні тому

    kwani ni pesa za mamake