HUU NDIO MTAZAMO WA SHIA JUU YA SUNNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 вер 2024
  • Maulana Sheikh Hemedi Jalala akizungumzia umoja baina ya waislamu huku akinukuu mafunzo ya mtume (s.a.w.w)kupitia Imam Ali bin Abitalib (a.s) juu ya umoja wa kiislamu, Pia ametaja maneno ya Maulamaa wakubwa wa kishia wakizungumzia mtazamo wao juu ya waislamu wengine na khususan masuni sambamba na udharura wa umoja baina ya safu za waislamu. .
    Subscribe to our channel on the following link
    www.youtube.co...
    #asadiqmedia

КОМЕНТАРІ • 3