mashallah mambo haya tunapo yaskiya nyoyo zetu hupatwa na baridi tukahisi raha isio na kifani mungu awazidishie mutupumbaze na Qaswida za kumsifu mtumi na ahli beti zake كفاكم يابني الزهراء فخرا إذا ماقيل جدكم الرسول
Mashallah ime imbwa vzr alhamdulillaah msikilizeni pia Abdul azizi Al maaruf jinniy katika channel (pumbao la nafs) anavo imba mwana fundi wake fahdi akishirikiana na yy pia shukran
Mashallah Barakkallah nlikua nkiyiimba hii Qaswida madrasa around 2005
ما شاء الله حفظك الله أخي عيسى
mashallah mambo haya tunapo yaskiya nyoyo zetu hupatwa na baridi tukahisi raha isio na kifani mungu awazidishie mutupumbaze na Qaswida za kumsifu mtumi na ahli beti zake
كفاكم يابني الزهراء فخرا إذا ماقيل جدكم الرسول
اللهم صل على الحبيب وآله من طابت الدنيا بنور جماله وارزقنا في الدارين حسن وصاله وآله
Mashallah alhisaan
ماشاءالله
ALLAH ALLAH.
Thank u so much alhisaan media i was waiting for this qassida may Almighty bless alhisaan media always
اللهم صل على سيدنا محمد وعلى آل سيدنا محمد الطيبين الطاهرين
Masha Allah kazi nzuri sana wasomaji
Mashallah mungu akikuza kipaji chako
MASHALLAH KAZI SWAFFII
الموسيقى مرة طووييلةةةةة
Mashallah ime imbwa vzr alhamdulillaah msikilizeni pia Abdul azizi Al maaruf jinniy katika channel (pumbao la nafs) anavo imba mwana fundi wake fahdi akishirikiana na yy pia shukran
الله لو عرب ينشدوها
Mashaallah maneno mazuri
Naomba ile version nyingine ina kama piano hivi tafadhal
Assalamu alaikum
Naomba hii kasida iwe Kwa simu yangu
sawa
لا تحيط به العقول