masuwa kwa KISWAHILI ni meli. kawaida tukonawaleteya rumba za LINGALA kwa KISWAHILI, kama nawewe ungependeleya kuelewa rumba fulani kwa KISWAHILI, tuambiye kwenye comment
Mimi ningependa tafsiri ya Cavalier Solitaire yake JB Mpiana na Mwalimu Papa Wemba kutoka kwa album hii tu ya Ndombolo. Asante kwa tafsiri hii nimeifurahia sana.
This is my favourite Rhumba song ever. It lifts up my spirit when low and it is a merrisome song too.😁👍
Feux de l'amour iyi apa ua-cam.com/video/5MIuCQnEA6c/v-deo.htmlsi=rTbmffJJ5zZmu4vy
You guy also have one of the best voices in Congo
Big up bro ✌️🇺🇬
Hapo nakumbuka ujana wangu
Oh sawa nimependa sana kazi yako 👍🇹🇿
Matondi mingi Prince, karibu mbeya
Nimekuelewa sana broo
Napenda sana mziki wa king kester emeneya eko force. Nitafsirie tafadhali
Nakupata vizuri nipo dar justin harrison
Mimi ningependa tafsiri ya Cavalier Solitaire yake JB Mpiana na Mwalimu Papa Wemba kutoka kwa album hii tu ya Ndombolo. Asante kwa tafsiri hii nimeifurahia sana.
Najisikia poa sana, kujua tafsiri ya hizi nyimbo.
Uko vizuri kaka,big up
Asante sana Prince. Hapo sasa! Huu wimbo wa JB na Wenge is one of my favorite 👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽🙏🏾🙏🏾
Hapo hapo tu!!
Ahasante sana mimi leo ni mara ya kwanza kukusikiliaza safi sana.
Prince Bokson naomba tafsiri ya djodjo ngonda..bcbg wenge musica
Well done brother Masuwa is one of my favorite rhumba, please can you translate feux de l'amour by JB MPIANA and Koffi Ayina by Werrason
ua-cam.com/video/5MIuCQnEA6c/v-deo.htmlsi=rTbmffJJ5zZmu4vy
Feux de l'amour iyi apa ua-cam.com/video/5MIuCQnEA6c/v-deo.htmlsi=rTbmffJJ5zZmu4vy
P Bockson naomba sana Toujous Humble, Internet na Kalayi Boeing za huyu mwamba JB Mpiana tafadhali.
Namkumbuka sana zuberi msabaha
Good
Butamu sana tafsiri cresois by werrason
but na firet
Franco simaro ET LE TPOK JAZZ - Balenge kindly give me the translations i really like the sond
Nakupata kutoka Iringa Tanzania
Uko vizuri baba!
nimekukubali sana mimi nipo Zanzibar
Bless🙏🙏🇹🇿
zidi ku share na wengine ili tuzidi ku komaaa zaidi
Papa chéri to lova yo
Naomba tafasiri ya franco mamu
Naomba utafsiri etat Major ya extra musica
Naikumbuka mwaka.1997,ilikuwa inaumiza sanaaaa
Bravo
Safi sana papaa bokilo naomba liputa ya fally
Vitu vikaliiiii
Prince Bockson nakuelewa sana mwamba ila naomba uniletee tafsiri ya ngoma mzee mzima marehemu defao SALA NOKI...!
Good!
Oza fin
minabasikiliza 5/5 apa 😮Rwanda kigali (nyamirambo)munitafusiliye cane à sucre
Price bockon unatisha mwamba nigusiye wimbo wa jb Mpiana walay danico kwa kiswahili
Naomba unitafilie wimbo Franco Denis boyeme
Bwana Prince unaweza tafsiri “Blandine” wimbo wake Werrason Ngiama tafadhali. Shukrani.
asante, Blandine nitaifanya next week
Naomba tafsiri ya wimbo wa jb mpiana education
Ça c'était un autre level
Merci beaucoup, je l,aime
comment zenu zinatakiwa
Naomba tafsiri ya wimbo wa Roger Milla wa pepe kale
Naomba tafsri ya wimbo"Monique seka Baye"
Hugo mtafasili nishida
Prince na sergie title ya bukina faso feat jb mpiana nairobi bakolela nairobi bakolela
karibu sana ndugu. tunasikiya ombi lako, tutajikaza tuku udumiye
Kumbuka jb mpiana prince wamerudiana na mke yake Amidar shurtur
Uko vizur kaka tumezidi kuupenda mziki wa congo, naomba tafsir ya wimbo wa Roger Milla wa pepe kale.
A
English
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt
Thanks
You should translate also in English
Tafsiri C’est trop tard djenga ya Alain Makaba
PB wewe ni shida ila naomba ile ya Jb mpiana 48 heures
Translate koffi ayina werrason
Pia mbili abel nakey nairobi ebu tafasili
Naomba tafsiri ya Wimbo "Jeanette"wa JB MPIENA
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt