Upungufu wa walimu watishia ubora wa elimu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro inakabiliwa na upungufu mkubwa wa walimu wa shule za msingi ambapo takwimu zinaonesha wilaya hiyo ina shule 110 za msingi na wanafunzi 24,000 huku upungufu wa walimu ukifikia takribani walimu 400.
    Enos Msanja ana taarifa zaidi….
    #AzamTVUpdates
    Wahariri || Tuya Ibrahim @moseskwindi

КОМЕНТАРІ •