ISRAEL MBONYI:ILIKUWA NI NDOTO YANGU KUJA TANZANIA. RWANDA TUNASIKILIZA SANA NYIMBO ZENU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 Місяць тому +1

    Endelea kujifunza kiswahili, wana africamashariki tunabarikiwa sana na nyimbo zako .

  • @JumaSatarajr
    @JumaSatarajr Місяць тому +4

    Israel uweuna Ongeya na kiswahili napenda sana unavyoongeya kiswahili nakupenda🇹🇿♥️🥂🍾

  • @berthafransisco1929
    @berthafransisco1929 Місяць тому

    I am really blessed with your songs may God enlarge your talent

  • @DeodataJosephMngongo
    @DeodataJosephMngongo Місяць тому +1

    Mbonyi we love you so much,your songs it has been healing me, you are so blessed, and God will continue to use you to deliver his people. Well come to Tanzania.

  • @skylinecyber-wr1tb
    @skylinecyber-wr1tb 21 день тому

    This man is truly blessed. Can't wait for his comeback in kenya.

  • @MaryMalole
    @MaryMalole Місяць тому +3

    your welcome tunakupenda pia watanzania mtumishi wa mungu

  • @SaraKabona
    @SaraKabona Місяць тому

    God bless you and your team.

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt Місяць тому +4

    nakupenda mbonyi

  • @sibomanaemmanuel1831
    @sibomanaemmanuel1831 Місяць тому +2

    True worshipper ❤

  • @anniemnyau5967
    @anniemnyau5967 Місяць тому

    Nakupenda Bure kaka yangu🎉❤

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 Місяць тому +3

    Mbonyi🔥🔥🔥🔥

  • @HappyBenjamin-j7k
    @HappyBenjamin-j7k Місяць тому +3

    Mbona unaimba kiswahili vizuri Sana sasa

    • @MusaMasika-g2o
      @MusaMasika-g2o Місяць тому +1

      Anaandika kwa kizungu, kuna mtanzania anatafsiri ndipo anaimba

  • @MukadusabeEugenie
    @MukadusabeEugenie 29 днів тому

    mungu

  • @Hisabatitz
    @Hisabatitz Місяць тому +1

    Hiv jamaaa ajui kiswahili kwel

  • @janenjora2956
    @janenjora2956 Місяць тому +2

    Why are people so obsessed with his marital status? Let the guy be, he's not even old

    • @abelg2488
      @abelg2488 Місяць тому

      I think we’re obsessed with trending questions than the whole essence of ministry.

  • @VailetMashaka
    @VailetMashaka Місяць тому

    ❤❤❤

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm Місяць тому

    jmaa ni very hambl... ila hao wamama... wafanyabiashara wa injili..

  • @donking-d4t
    @donking-d4t Місяць тому +2

    Kuimba kwa Kiswahili ni rahisi mno, njoo kwenye kuongea sasa, shida inaanzia hapo 😅😅 nilitamani uongee kiswahili mwanzo mwisho maana unakijua

  • @JaneKikoti
    @JaneKikoti Місяць тому +2

    How come unaimba kiswahili na huwezi kuongea kiswahili?

    • @MusaMasika-g2o
      @MusaMasika-g2o Місяць тому

      Anaandikaga kwa kiingereza kuna mtanzania anamtafusilia ndipo anaimba

    • @JaneKikoti
      @JaneKikoti Місяць тому

      @MusaMasika-g2o OKay

  • @AlinefelixBivan
    @AlinefelixBivan Місяць тому +1

    𝐌𝐛𝐨𝐧𝐲𝐢 𝐦𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐧𝐠'𝐚𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐚𝐰𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐤𝐨
    𝐦𝐚𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐰𝐚𝐛𝐚𝐥𝐢𝐤𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐬𝐚𝐧𝐚
    𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐚𝐳𝐢𝐝𝐢 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢𝐤𝐢