Kutunga hizi nyimbo ni mchango mkubwa sana mnaofanya, ni sawasawa na wale wengine wazalendo wanaopamba kule nchini kwetu maana mnawatia moyo kweli kweli.mapambano ya kutetea na kukomboa nchi yetu inafanyika katika aina mbalimbali . maishani mtu anaweza kupoteza kila kitu lakini kamwe husikubali kupoteza ardhi yako (udongo) . Udongo aliyetupa Mungu tukubali watu wengine watunyan'ganye hivi hivi udongo wetu ni uzembe mkubwa alafu tena lahana , kabila letu linaweza kuwa kwenye lahana kubwa endapo tutakubali wageni kuchukuwa udongo wetu. Mungu akulindeni sana ndugu zangu.......Amen . Tutapambana katika njia zote zile mpaka siku ya kihama ujio wa yesu . nchi yetu kwanza nchi yetu kwanza nchi yetu kwanza nchi yetu kwanza........mengine badae
Poa sana, nikuombeni tu Mungu wa babondo azidi kukupeni maharifa ya ubunifu na utungaji wa nyimbo zingine kama na hizo za uzalendo na zakumtukuza Mungu muweza yote aliye umba wabembe na makabila mengine na vitu vyote.kazi zenu ziko vizuri sana , Mungu azidi kuwaonyeshea mkono wake.pia asikilize maombi yetu kuhusu nchi yetu ya Kongo. Amina Amina.....
Courage courage..... Bravo bravo bon travail une bonne chanson patriotique.courage à vous tous mes frères et Sœurs .Vivre sans victoire c'est toujours mourir, Dans la vie on peut tout perdre mais jamais n'acceptes pas de perdre la patrie(sol). Merci , on est ensemble pour le combat
Poleni sana kwa kazi kubwa mnayo ifanya , ingelikuwa inji yetu iko sawa mungelipaswa kuifadhiwa na kupata ulinzi mkubwa saaana kundi looote Lakini inji yetu imeoza
Wonderful song
Kutunga hizi nyimbo ni mchango mkubwa sana mnaofanya, ni sawasawa na wale wengine wazalendo wanaopamba kule nchini kwetu maana mnawatia moyo kweli kweli.mapambano ya kutetea na kukomboa nchi yetu inafanyika katika aina mbalimbali . maishani mtu anaweza kupoteza kila kitu lakini kamwe husikubali kupoteza ardhi yako (udongo) . Udongo aliyetupa Mungu tukubali watu wengine watunyan'ganye hivi hivi udongo wetu ni uzembe mkubwa alafu tena lahana , kabila letu linaweza kuwa kwenye lahana kubwa endapo tutakubali wageni kuchukuwa udongo wetu. Mungu akulindeni sana ndugu zangu.......Amen . Tutapambana katika njia zote zile mpaka siku ya kihama ujio wa yesu . nchi yetu kwanza nchi yetu kwanza nchi yetu kwanza nchi yetu kwanza........mengine badae
Asante sana ndugu yangu
❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🏻💪
I love you ba ndeko nanga toza ensemble Congo nde mboka na bino
Motondo mingi ndeko nabiso
May the almighty God bless you all. Keep grinding 👌
Thanks so much
Nzuri
Poa sana, nikuombeni tu Mungu wa babondo azidi kukupeni maharifa ya ubunifu na utungaji wa nyimbo zingine kama na hizo za uzalendo na zakumtukuza Mungu muweza yote aliye umba wabembe na makabila mengine na vitu vyote.kazi zenu ziko vizuri sana , Mungu azidi kuwaonyeshea mkono wake.pia asikilize maombi yetu kuhusu nchi yetu ya Kongo. Amina Amina.....
Asante sana ndugu yetu
himoko hiii inanitesa sana watoto wamungu kazijema kabisa mungu awasahindiye kwakinzi mukonayo.
Asante sana
Good san kbs iko butabumu san kbs💪💪💪💪💪
Asante
kazeni buti maana mnaweza
Ila tunaamini Mungu na ma babu zetu wako nanyi na mtazidi kusonga mbeleeeeeeee kabisa tena kwa kishindo kikubwa zaidi
Asante sana mtumishi wa Mungu
Iko sawa sana
Courage courage..... Bravo bravo bon travail une bonne chanson patriotique.courage à vous tous mes frères et Sœurs .Vivre sans victoire c'est toujours mourir, Dans la vie on peut tout perdre mais jamais n'acceptes pas de perdre la patrie(sol). Merci , on est ensemble pour le combat
Merçi bcp mon pour ns encourager
Merci beaucoup mon frère pour votre soutien.
Nyumbani ni nyumbani... 🤝🤝🤝
Hata kuwa nini ni kwetu tu
Poleni sana kwa kazi kubwa mnayo ifanya , ingelikuwa inji yetu iko sawa mungelipaswa kuifadhiwa na kupata ulinzi mkubwa saaana kundi looote
Lakini inji yetu imeoza
Mungu akupe neema mtu wa Mungu
Mmbarikiwe wana wa Mungu
Asante sana
Asnt sana
Blessings. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Thanks so much my dear sister
Fire hii ni kali sana
Asante sana
Napenda sana aliyenu mzee Thomas
Asante sana
Mbarikiwe San
Que Dieu vous bénisse.
Merci 👍👍
Love it a lot
Thanks
mama wamehingehunza mulunga yawana boka asant froribele pamoja nastudio ya mp msagwa.hogereni sana wanzee wagwasuma
Ubarikiwe pia
Mbarikiwe sana
Asante sana
Asnt sn
Asante sana
Wimbo nzuri Kabisa
Asante sana
Mbarikiwe Sana
Asante sana
Asante sana
Kazi njema Mungu azidi kuwa inua.
Asante sana
Ok
I love it
Asante sana
Poa sana
Thanks 🙏
Nice song
Thanks
Alembee mmebalu
Byangéne manga
Iko sana
Poa sana
Asante sana
Munarikiwe
Asante sana
Be blessed
Thanks
Good 😍🙏🙏🙏🎤🎸
Thanks too
Good song
Asante sana
Safi
POA
po sana
Asante
Mwakole
Baoooo
Motondo mingi bandeko
Poa sn
Asante sana
Asante
Asante
Asante pia

Poa kabisa
Asante
Asante