Nimeingalia mara 6 nyie ndicho kinachotokea Dunia ya Leo ila kwa kuwa ridhiki hupangwa na Mungu ndio maana wengine tupo tunapambaniwa na mkuuu saaana💃💃
Kaka umeimba kweli ndio tunayo yapitia kwasasa kama mungu kakutumia uniambie mimi mungu hakubariki nimeusikiliza huu wimbo mara 10 nalia2 lkn umefanya nisonge mbele nimejifuza ki2 kupitia huu wimbo ubarikiwe mungu hazidi kukutumia kaka yangu
Nyie aisee hii nyimbo ni ushuhuda unampushi mtu kwamba nae awe vzuri chaajabu anakuja kupambana eti akuzudi wewe uliyempushi😢Dunia hii Ina shiida sana tuwe na roho nzuri kiasiiiiii tusizidishe😢 .......hii nyimbo nzuri sana
hili taifa linawaimbaji wazuri sana huyu kijana akisapotiwa ni bonge la hazina binafsi sikumjua ktk pitapita mitandaoni ndio namuona hakika anajua sana
Wimbo wa uhalisia kbsaa wa maisha ya siku izi. Be blessed much my brother hakika huu ni wakati sahihi wa Mungu kukutumia katika kuujenga ufalme wake.
Nimeingalia mara 6 nyie ndicho kinachotokea Dunia ya Leo ila kwa kuwa ridhiki hupangwa na Mungu ndio maana wengine tupo tunapambaniwa na mkuuu saaana💃💃
Nimerudia sana
Mimi nimara 120 yani nimeipenda kuliko
Barikiwa saana broo nyimbo zako zote zinaujumbe mzto saana Mungu azidi kuyapigania maisha yako
Mungu akubariki kijana vraiment iyi mwimbo unanijega sana roho yangu amena❤❤❤
Mungu ndie muweza wayote 🙏🙏🙏🙏🙏❤❤❤❤❤
Kaka umeimba kweli ndio tunayo yapitia kwasasa kama mungu kakutumia uniambie mimi mungu hakubariki nimeusikiliza huu wimbo mara 10 nalia2 lkn umefanya nisonge mbele nimejifuza ki2 kupitia huu wimbo ubarikiwe mungu hazidi kukutumia kaka yangu
Kijana wangu hii yangi kabisa NIMEKUWA NA VIWATU VYA HOVYO SANAAA LKN NIMEISHIA KULIA😂😂😊
My brother mungu amekubariki
Kiukwel Mungu akubariki sana ndivyo ilivyo hivyo lakin kama Mungu amepanga kubariki atakubariki tu
Amena sana kaka yangu Mungu akubariki sana kweli❤❤❤❤❤❤
Nyie aisee hii nyimbo ni ushuhuda unampushi mtu kwamba nae awe vzuri chaajabu anakuja kupambana eti akuzudi wewe uliyempushi😢Dunia hii Ina shiida sana tuwe na roho nzuri kiasiiiiii tusizidishe😢 .......hii nyimbo nzuri sana
Mungu nisaidie kuamehe na kuachilia🙏🙏🙏
Huyo best friend ndo anavujishaga siri huyooo ❤
Niko nasikiliza usimwamini mtu nabarikiwa sanaa🎉🎉❤❤
Barikiwa sana kaka nyimbo nzuri
❤❤❤❤ As a 🇰🇪 Kenyan am blessed 🙌
hili taifa linawaimbaji wazuri sana huyu kijana akisapotiwa ni bonge la hazina binafsi sikumjua ktk pitapita mitandaoni ndio namuona hakika anajua sana
Very true message on this song only God don't change
Mungu akubariki kwaujumbe wako
KE/UG
Barikiwa saana broo nyimbo zako zote zinaujumbe mzto saana Mungu azidi kuyapigania maisha yako
Truly,trust no one.Only GOD is Faithful...
Mungu akuinue zaidi nyimbo zako Zina ujumbe wa kujenga na kufundisha Mungu akutumie kwa huduma yako
Obby Mungu azidi kukubariki
Nyimbo nzuri sana barikiwa sanaa kaka
Ngoma inahisia sana hii na ni ukweli mtupu mtunzi kongole 🎉🎉🎉
Hakika umeimba ukweli haya maisha tuyapitia tunaumzwa na watu wa karibu mungu tu atutie nguvu kwa yote tunayopitia
Naupenda sana huu wimbo, Yani bonge la ujumbe
barkiwa sana kwa ujumbe mzuri
Congratulations bro...I bless you in the Name of Jesus Christ.❤🎉
Obby uliona mbali aiseee wimbo unaujumbe mzito nimepata kitu aisee❤🙏🙏
Nikweli nabidi tuwamuwamini mungu tu
Don't believe someone only God ❤❤and I ❤obby be blessed
Balikiwa sana kaka nyimbo zuri sana
This song is so amazing dunia ndy ilivo kwasasa🎉
Hakika blood....kaz nzur san MUNGU akulinde nankukuongoza
Barikiwa sana kwa huu wimbo
kama hujawai kusalitiwa na rafk huez elewa huu wimbo😣😣...Mungu ametulinda na mengi sana 😭😭
Nyimbo yangu ya kwanza pendwa be blessed obby
What’s a beautiful song 🎵 bro you made my day look brighter today ❤❤❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Naupenda san hhuu wimbo unamaahisha ♥️♥️
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ime endaaa kiukweli kamwe usije ukamwa mini kila mtu❤❤🫂🫵
Minapenda iyi nyimbo sana tena sana ❤ endeleya nakipanji chako alpha
❤kweli kabisa kazi nzuri
Simuamin mtu 🤚✋
Ameen nabarikiwa sana ninavyo sikiliza huu wimbo
Umenibariki sana. Be blessed 😊
Napenda huu wimbo kweli ulinifanya nitoke tiktok hadi youtube naipenda sana🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kaka. Nyimbo zako nakubali sana mungu akubaliki sana
Be blessed obby huu wimbo umenigusa for sure
Ukweli mtupu.usimwamini mtu 🎉❤
Kweli kabisa mtumishi!🙏
Wimbo kali-- published p odiero from kenya saluti mengi sana
Sasa hii ndo NYIMBO yangu kaka
Barikiwa bro.
Tupo pamoja nawe uku Moçambique 🇲🇿🙏
Ameen,,barikiwa kaka🙏🙏🙏
Nibaraka sana ❤❤
Shauri nzuri
Ongera wimbo mzuri sana
Obby ww umebarikiwa sana
Be blessing much🙌🙌🙏🙏🙏🥰🥰
Kweli kabisa kaka
Barikiwa sana
Happy to hear your songs brother
Great vibe, 🔥🔥🔥🔥💯
Ukweli kabisa👍👍 🙏🙏🙏
Balikiwa sana kazi iko pw
Nice one big up bro🇰🇪🇰🇪
nimejifunza kitu😢😢😢😢
Favorite song ❤️🏅🏅🏅
Usimuakini mtu❤
Sending love from KENYA 🇰🇪 ❤
Eeeeebwanaeeeee hatari saaaana ❤❤❤❤❤❤
Nice song 🎵
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ 2:46 2:49
Namuamini mungu tu
Beautiful one
😊 Thank you
N kwel kabic yan mwadamu tu siamn kabc
Kaka dah ubarikiwe sana
Blessings...🙌🙌🙌💯
Nice song obby🎉
Bonge moja la Ngoma
Be blessed kaka
blessed
Good inspiration
❤❤❤🙏🙏🙏 good one Eve
Kila kitu kimepanda bei 😮😊🎉💯
❤❤be blessed
Ka angu umenenepa kbs
you are going far brother ❤❤❤
Talented 🎉🔥🔥
Endelea kubarikiwa Mtumishi waMungu
Amen 🙏🏾 🤯🤴🏿🙌🏾
Barikiw sana kak
Best song I like it
Kwa kweli
Amen ❤❤
Asante sana
Inanihusu kabisa
Amen 🙏
ubarikiwe sàña kak👏👏