KUCHOMA KUKU MZIMA/KUOKA KUKU MZIMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @gloryexaudy8094
    @gloryexaudy8094 3 роки тому +1

    Asante kwa maelezo mazur nami umenifunza sijawahi kuoka kwa ovena na nilikuwa sijui kazi ya hiyo chuma kama inasapot leo nimejua

  • @hermandemello2200
    @hermandemello2200 Рік тому

    Wow v lovely chicken marinade recipe to oven baked time n supper results!! I'm pleased n happy watching ur post from TANGA Tanzania.

  • @judithking1087
    @judithking1087 3 роки тому +2

    soo good 😍😍
    Dada Ika vlog ya apartment tour jamani tujifunze mengii

  • @ireneandimu8238
    @ireneandimu8238 2 роки тому

    Nimejifunza mengi dada...asante

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 роки тому +1

    Awww mpenzi kwa namna ninavyopenda kuku mie😋😋 hapa namla kama simjui😂 asante kwa maujuzi nimeongeza kitu❤️❤️

  • @eddahmutua4427
    @eddahmutua4427 2 роки тому

    Wewe mwalimu kweli mama nashukuru, Sasa nifindishe kutumia Ile over mdogo ya aina ya ARMCO model yake AEC-3810R(SB)

  • @sitially2112
    @sitially2112 6 місяців тому +1

    Ha bari dada ukichoma yama yakuku au mbuzi ngombe kwenye oven.Una was ha moto wajuu nachini ama wajuu tuu

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому

    Ma sha Allah asante kwa somo mwalimu ♥️

  • @aminasjoekitchen7959
    @aminasjoekitchen7959 3 роки тому +1

    Kwangu ningemtafuna na salad only😋😋😋

  • @KaR1942
    @KaR1942 Рік тому

    Oh my have subscribed to the channel....oh my yummy yummy 🎉🎉🎉🎉 salivating 😋😍😋 keep Good work 💯

  • @sophychamuriho6435
    @sophychamuriho6435 3 роки тому

    Hongera mrembo

  • @BoniphaceLaurent-f5b
    @BoniphaceLaurent-f5b 4 місяці тому

    Uko vizr dada

  • @winniewilson2855
    @winniewilson2855 2 роки тому

    Nimependa hiyo

  • @joycesau9
    @joycesau9 3 роки тому

    Wewe fundi am learning thank you ma'am 😍

  • @mariammsua6453
    @mariammsua6453 3 роки тому +1

    Asnte mmy daah tamu hiyooo

  • @rosewema7918
    @rosewema7918 Рік тому

    Napenda kujua moto umeweka wa chin tu ama juu na chini

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому +2

    Atapendeza kwa ugali😋😋😋

  • @fettymalipula2206
    @fettymalipula2206 3 роки тому +2

    Looks yummy

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 Рік тому

    Safi sana

  • @hasinarashid644
    @hasinarashid644 3 роки тому

    Waaaaooh nimeitan😱😝ila jitahid kuaa unatumiaa vipimo kamili.

  • @muniraahmed7827
    @muniraahmed7827 3 роки тому +1

    So sweet!

  • @joycesengo3976
    @joycesengo3976 3 роки тому +1

    Hii kitu😋

  • @Hawwa-n9t
    @Hawwa-n9t 10 місяців тому

    Penda sana wew

  • @ashayummy2299
    @ashayummy2299 3 роки тому +1

    mashaallah najaaaa hhhhh namtamn

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 роки тому +1

    Kuku anavutia sana😋👌

  • @mariasmkenya9619
    @mariasmkenya9619 Рік тому

    Nice❤

  • @lizzyjob4798
    @lizzyjob4798 3 роки тому +1

    Kama sina vinega?

  • @raikitema7732
    @raikitema7732 2 роки тому

    Naomba unitajie viungo vya unga vya kumpakaa kuku, nisaidie sijui ila oven ninayo ili nijaribu

  • @LatifaSaid-y7q
    @LatifaSaid-y7q 3 місяці тому

    Hello lover, naomba kujua unachoma na moto upi juu pekee, chini pekee, juu na chini au juu chini na kati??
    Na swali hili nauliza kwenye kubake cake pia unatumia moto upi??

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому +1

      Kuhusu cake unabake kwa Moto wa juu na chini, kuhusu kuku ngoja aje mwenyewe aseme

  • @ezranicas5403
    @ezranicas5403 9 місяців тому

    hajaiva mbonaaaa

  • @swalehhassan3907
    @swalehhassan3907 3 роки тому +1

    hizi spices ziko mombasa kweli

  • @Angelmbise-dq6jn
    @Angelmbise-dq6jn 5 місяців тому

    Naomba kuuliza je kama oven yng haina chuma???

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому +3

    Wakwanza 😋😋😋👌👌👌

  • @annaramadhan9740
    @annaramadhan9740 3 роки тому

    Anavutia sana je kwa mkaa unafanyaje?

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 3 роки тому +1

    Mimi ntamtafuna hivi hivi Bila kitu😂😍

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 роки тому

      😂😂😂😂

    • @faustinakitaly7759
      @faustinakitaly7759 3 роки тому

      @@ikamalle unaishiwapi nakuomba utoa namba za siku kwa lila unapoonyesha mapishi kuna maswali nitaka kujuwa na unadarasa

  • @stellamwafongo2317
    @stellamwafongo2317 2 роки тому

    Mater😆

  • @Juliandila
    @Juliandila 3 роки тому +2

    Food mongers in the truck already
    It’s yummmy

  • @luugorgeous2709
    @luugorgeous2709 3 роки тому +1

    ika malle natafuta video ya kebab humu ndani siioni hebu nitumie link yake

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 роки тому

      Sina dear

    • @luugorgeous2709
      @luugorgeous2709 3 роки тому

      okey nilitaka nijifunze kupika hiyo kebab kupitia ika malle b'coz vitu vingi nimejua kupika kupitia wew

  • @CECILIALEWERI
    @CECILIALEWERI 9 місяців тому

    Hiyo taa ya kwenye oven inswashwa na wapi jamani😢

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому

      @@CECILIALEWERI inawaka yenyewe ukiwasha oven, kuna wakati hua inagoma kuwaka yenyewe japo oven inakua inafanya kazi ya uokaji kama kawaida.

  • @latifaseif1577
    @latifaseif1577 2 роки тому

    😋😋

  • @nawesulle3566
    @nawesulle3566 3 роки тому +2

    Atar Atar

  • @CECILIALEWERI
    @CECILIALEWERI 9 місяців тому

    Hiyo taa ya kwenye oven inswashwa na wapi jamani😢

    • @HawaAhmed-yj8wo
      @HawaAhmed-yj8wo 2 місяці тому

      @@CECILIALEWERI inawaka yenyewe ukiwasha oven, ila wakati mwingine hugoma kuwaka yenyewe japo oven inakua inafanya kazi ya uokaji kama kawaida