JINSI YA KUTUMIA NENO "HAVE TO" KATIKA WAKATI ULIOPITA, KATIKA HALI YA KUKANUSHA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 5

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 13 днів тому

    Mwl did ni past ya verb Do .Mwl soma Zaidi Matumizi ya Auxiliary Verbs .Bado hujaiva Unatuabisha.

    • @TeacherOthman
      @TeacherOthman  13 днів тому

      Bro umeshawahi kukaa darasani kujifunza English grammar, kama bado kaa chini ujifunze kisha ndiyo uanze kuzungumzia vitu unavyo vijua, kama utakuwa bado hauja vijua vitu kiundani, nibora kukaa kimya kuliko kujifanya unajua kk,

  • @MagangaAbdallah
    @MagangaAbdallah 13 днів тому

    Please observe these .ought to. Deserve to. Suppose to.

    • @TeacherOthman
      @TeacherOthman  13 днів тому

      Bro ushawahi kukaa darasani kujifunza English grammar, au unafananisha fananisha vitu?

    • @TeacherOthman
      @TeacherOthman  13 днів тому

      Bro, kiingereza kina njia tofauti tofauti za kuzungumzia jambo fulani, pia ata hivi kusema napaswa inanjia tofau, ambazo zikiwemo ulizo ziorozesha na zote hizo nimefundisha jinsi ya kutumia kwake, kama unataka kujifunza zaidi nenda kwenye playlist yangu utazikuta topic zinazo husiana na kupaswa.