Hiyo era ya wizi ndio walifanya iitwe ya mabavu ..... Hata venye anapeana story without being specific is an art by itself ,, lakini kinuthia ya kawaida itasema ni jaba smh
Mi ni msee wa Eastlands 58 born and bred. It's true Shimoli alikua anastay Jeri,hio keja ni Yao Hadi Leo. Wezi WA hio time hawakua wanachafua mtaa wanaishi na pia walikua mafichoni 24/7. So it makes sense wakiseti deals area za Koch na bangu pia hio time. The guy has some truth in his story but due to time,it's normal kuongeza chocha kidogo ndio story iflow. Hii ni normal way to capture your audience in the art of storytelling. But he's not entirely lying, ako na ukweli mob Sana ni vile wasee WA hii generation hawawezi connect the dots. Mi naeza relate hizo mtaa zote anamention na crime ya hio time. So the story is indeed partly true ni vile SASA inapeanwa na msee wa ground. The only thing huezi kua sure ni position yake in those gangs ama maybe alikua Tu pedi na kithuguu... either way ako na information ya vile gangstas wa hio time walioperate. I remember the events as clearly as he narrates.
It's possible to use police walkie talkie boss, Shimoli alikua anawork na masanze, ata kina wanugu na Rasta used the same system. Hii system ina wenyewe boss,kuna level ya kukacheza.
GEN Z NEVER HEARD OF SHIMOLI SO ITS OK TO SAY NI WONGO AMA JABA WALE SI GEN Z NI TV HAWAKUWA WANAEZA AFFORD ATA GREATWALL NDIO WANA ONA NI JABA AMA WAME KUJA NAIROBI AFTER SHIMOLI AFIFIYE
Story za jaba shimoli tume toka area moja jeri Beirut base na huyu Ana peana story hapa ni we are age mates na anasema aliona edu akiishi jeri but niki yet mm na watu wa base we hardly knew who shimoli was juu alikua anti social tulikua tuna muona ama kumsikia alikua area usiku kwa matanga za his old friends or close neighbours
Mi ni msee wa Eastlands 58 born and bred. It's true Shimoli alikua anastay Jeri,hio keja ni Yao Hadi Leo. Wezi WA hio time hawakua wanachafua mtaa wanaishi na pia walikua mafichoni 24/7. So it makes sense wakiseti deals area za Koch na bangu pia hio time. The guy has some truth in his story but due to time,it's normal kuongeza chocha kidogo ndio story iflow. Hii ni normal way to capture your audience in the art of storytelling. But he's not entirely lying, ako na ukweli mob Sana ni vile wasee WA hii generation hawawezi connect the dots. Mi naeza relate hizo mtaa zote anamention na crime ya hio time. So the story is indeed partly true ni vile SASA inapeanwa na msee wa ground. The only thing huezi kua sure ni position yake in those gangs ama maybe alikua Tu pedi na kithuguu... either way ako na information ya vile gangstas wa hio time walioperate.
wewe enda ufungue channel yako upange watu uko lazima edu a maximise views ushwai upload video ya 3hrs youtube uone vile unakawia?nini wewe ona clip ama utoke
Gen z hamuezi jua story ya shimoli na rende yake hamjawai Ona uwezi noma Sasa Kama mnasema hii ni uogo Sasa akina wanugu wacucu and Rasta sitamsema no acting 😂😂😊
I remember Shimoli the most wanted man in Kenya in 1999 he had over 300 women 😂😂😂 when days were still days. Nyakati za Moi
First for this cartoon network🤣🤣
She looks perfect lakini hii sura haiwezi confuse kua rich kid 😅
🤣🤣🤣🤣Bruh float ya 650k mpesa zikianza kujeni mskia dejango akingora wasanii🤣🤣
Shida Nivile ujui buru vizuri
Apelekwe shoppy
Dude is not answering questions
......makes me doubt him,kwanza uhuru bags are relatively recent
Mbona story yake ni bonoko. M-peza strong ilitoka which year huyu hapana
Huyu msee ni storyteller.. but in reality hizi story aliskia tu. Alikua anasema ati wanabuy jaba 1998. 😂
Part 1 nlikubali ashkishe jaba na mimi lakini hii apana🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
do ua research na kama unajua story piga simu tuambie
@@edmacmedia hakuna swali amekujibu directly bradhee ata part 1 zote anakupiga chenga na majibu, anyway since story ni yake acha nitulie mkuu✌️
am glued here!this man knows how to narrate!
Huyu jamaa anaeza nibamba sana na stories nikiwa miraa basements 😊
Hiyo era ya wizi ndio walifanya iitwe ya mabavu ..... Hata venye anapeana story without being specific is an art by itself ,, lakini kinuthia ya kawaida itasema ni jaba smh
Uko n rada wambie
Hapa hakuna stroy jaba mimi nimeishi maisha ya baze most of the people he is talk about l knew them
But hapo kwa shimoli zii
Am locked in but this man ni mwongo,hahhaa anyway let's past time Leo na uwongo
tuambie ukweli juu we nikama ulikua hapo
Mi ni msee wa Eastlands 58 born and bred. It's true Shimoli alikua anastay Jeri,hio keja ni Yao Hadi Leo. Wezi WA hio time hawakua wanachafua mtaa wanaishi na pia walikua mafichoni 24/7. So it makes sense wakiseti deals area za Koch na bangu pia hio time.
The guy has some truth in his story but due to time,it's normal kuongeza chocha kidogo ndio story iflow. Hii ni normal way to capture your audience in the art of storytelling. But he's not entirely lying, ako na ukweli mob Sana ni vile wasee WA hii generation hawawezi connect the dots. Mi naeza relate hizo mtaa zote anamention na crime ya hio time.
So the story is indeed partly true ni vile SASA inapeanwa na msee wa ground. The only thing huezi kua sure ni position yake in those gangs ama maybe alikua Tu pedi na kithuguu... either way ako na information ya vile gangstas wa hio time walioperate. I remember the events as clearly as he narrates.
Ame ogeza chumvi..
No one can talk over the walkie talkie who is unknown
It's possible to use police walkie talkie boss, Shimoli alikua anawork na masanze, ata kina wanugu na Rasta used the same system. Hii system ina wenyewe boss,kuna level ya kukacheza.
Story za jaba. Shimoli akihepa mara ya Mwisho was 1999 and who owned a telephone back then? To call who?
Huyu msee is dodging your questions, circumventing even your direct questions. lie detector maching is not only beeping but blaring
where is part 3 buda?
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
I can see,muturi was called doctor,jama mrefu light skin.
This guy is a liar, story not adding up, I guess alikua peddler wa hao gangsters
Hahaha "kwani wewe ni wa lini Edu" 🤣🤣🤣 saa hiyo jango anakuonyesha middle finger....walai huyu jamaa ni vibe.
umekuja comment section na ujamaliza story 😂 maliza kwanza 🤭
kuawisdom
Story ya java,wakiti huo Kenya hutukwa na hiyo besa,onga yake,
Story yake Ni Tamu but hajibu maswali vile unamuuliza.
GEN Z NEVER HEARD OF SHIMOLI SO ITS OK TO SAY NI WONGO AMA JABA WALE SI GEN Z NI TV HAWAKUWA WANAEZA AFFORD ATA GREATWALL NDIO WANA ONA NI JABA AMA WAME KUJA NAIROBI AFTER SHIMOLI AFIFIYE
Edu good job pt3 izidi kabisa
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
alianza fiti lakini kuna elements za fabrication sijamaliza clip lakini wacha nimalize nirudi na full report
Leta uyu bazenga part 3 na ask him about the ONE* a. K.a BIGI mkisii moja atari sana!!
Mwizi hawezi withdrawal hawache jina yake na number ya simu, liar
Huyu hajielewi na hii story yake story za jaba
Mzee, lazima ungevaa kofia hivyo? 🤣🤣🤣🤣
Ati shimoli SHE look innocent 😂
Story za jaba shimoli tume toka area moja jeri Beirut base na huyu Ana peana story hapa ni we are age mates na anasema aliona edu akiishi jeri but niki yet mm na watu wa base we hardly knew who shimoli was juu alikua anti social tulikua tuna muona ama kumsikia alikua area usiku kwa matanga za his old friends or close neighbours
Mi ni msee wa Eastlands 58 born and bred. It's true Shimoli alikua anastay Jeri,hio keja ni Yao Hadi Leo. Wezi WA hio time hawakua wanachafua mtaa wanaishi na pia walikua mafichoni 24/7. So it makes sense wakiseti deals area za Koch na bangu pia hio time. The guy has some truth in his story but due to time,it's normal kuongeza chocha kidogo ndio story iflow. Hii ni normal way to capture your audience in the art of storytelling. But he's not entirely lying, ako na ukweli mob Sana ni vile wasee WA hii generation hawawezi connect the dots. Mi naeza relate hizo mtaa zote anamention na crime ya hio time. So the story is indeed partly true ni vile SASA inapeanwa na msee wa ground. The only thing huezi kua sure ni position yake in those gangs ama maybe alikua Tu pedi na kithuguu... either way ako na information ya vile gangstas wa hio time walioperate.
Next time tuletee full clip bana hyo mambo yama parts inaboo bana
nirefu sana
wewe enda ufungue channel yako upange watu uko lazima edu a maximise views ushwai upload video ya 3hrs youtube uone vile unakawia?nini wewe ona clip ama utoke
@@MambaFRX5 fala ww unabonga aje kama mtoi ww
@@edmacmedia haina noma edu
@@MambaFRX5 fala ww ebu jifunje kubonga unaskia ww
Just fyi sokonsova ni shock-absorber, hahahaa
Part 3
This guy's story is incoherent. Too much kipindi na chocha..... aaaaiiiii
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
Hii ndiyo inaitwa story za jaba?
huyu alikuwa jaba juice ,,,,story za jaba
Huyu nae magode ndio mob
This man is familiar
Leta part three buda. Hii story nayo iko na gaps mob but itabidi tuiskize tu hadi mwisho 😂
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
Mauongooo😂😂😂
😂😂huyu jamaa ni muongo mbayaa..
huyu jamaa story yake yabamba but jaba
hii sura ni suspicious tu,
Kila kitu ni she nonsense
Kwani mababi wa zamani walikuwa wanakaa aje juu uyu ata bado izo enzi anakaa suspect
😂😂😂😂😂😂
Uongo
WE ULIKUA HAPO TUAMBIE UKWELI
@@edmacmedia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣alikua mfanyikazi wa shimoli
Hizi ni vitu hu happen
Itisha episode ya vile hao wenzake walikufanga
i will next week bro thank you
Lad has confidence 😂😂😂😂
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
Hii nayo ni uwongo
Nakumbuka story za shimoli kwa news za jicho pevu vile alitoroka jela mara kadha,..
lakini wasee wanasema ni ma uongo 😅
Ni ukweli ya shimoli lakini chaji anapiga riba za watu hio kilamtu amezaliwa eastlands anaeza peana riba nduguu😂😂😂😂@@edmacmedia
hII HAPA NI NI KALI
Shot gun ya 36 bullets huyu anatuona kama matako yake
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
Watu wanasema ni uongo is because of ignorance
i wish they could come to Koch and see
I remember hiyo story ya Shimoli kutoroka when he was coming from hospital.. that man was mofire
But watu hapa wanasema ni uongo
It's true..he escaped kamiti 3times,he escaped pia kibera law courts..he was even nicknamed Carlos the jackal..
Watoto wa juzi hawajui Shimoli ni nani @@edmacmedia
@@irenekiilu954this guy ndio anasema alikua anaitwa carlos😂
Gen z hamuezi jua story ya shimoli na rende yake hamjawai Ona uwezi noma Sasa Kama mnasema hii ni uogo Sasa akina wanugu wacucu and Rasta sitamsema no acting 😂😂😊
Walai😂😂😂unajua senke ishafanya wakue wajinga ni snatching tu za simu
waambie 😅
wamezoea small fish
Part 3?
Kesho bro
Part 3,apa akuna jaba,wasee wa iyo enzi walikua moto
Sanaa walikua moto ya kuotea mbali
ua-cam.com/video/Zi79w8Z3LZM/v-deo.html
Hii nayo iko na uwongo mob, alafu anaruka ruka hajielewi ata 😂😂😂😂
kuja kwa ground or goggle the story
@@winniekempire4442 uko na mtu??
Story gani specifically ni uongo?
I know him very well story za jaba ako sawa 😂😂😂 location hapo ni tempo lucky summer ward
@@jamalmwema4009 Shimoli naye ali escape arrest twice, it was in the news