Naomba Baba akujalie kibali kwamba hiyo neema idumu kwako. Nyimbo za rohoni kabisa. You don’t expose your mind but the state of your heart and devotion. Be greatly blessed. Helelwa na Abeca.
Ninamupenda sana shusho,baweza penda kuimba na wewe siku moja atakama sina sauti nzuri it's my dream . just be with you in one of your album. I love you so much. Ninapenda Sana english but i don't nkow ku i sema
No meio dos falsos, aí Deus levanta uma pessoa dele para dismasgrar a falcidade, Deus está levantando a Cristina shusho para trazer avivamento no mundo gospel na Tanzânia, continue firme e fiel a Deus.
ubarikiwe Mungu akupiganie maana shetani huduma ya uimbaji haipendi ndo maana anatupiga chini waimbaji sana anatutafuta sana.ninacho juwa ni kwamba kazi zote za hapa duniani zitaisha lakini uimbaji hautaisha kamwe tutaendelea na kusifu.kwa hio jamani njooni tumuimbieni Bwana wetu ili siku ile tukaendelee hvhv
Uuuuuuh so happy for you darling......na umefanya video super kwenye kijani kibichiii....your dress .....yes i feel the presence of the Lord hapa nilipo.....my morning is beautiful ....Mungu akuinue mamy
This is the really dada Christina Shusho. Barikiwa sana dada. Napenda sana kupata baraka kupitia nyimbo zako. Na kwa kweli huu wimbo "Roho" ndo Shusho wetu haswa.
Now this Christina Shusho! You look cute ! Na mavazi yako hayo umependeza sana kuliko zile trousers ! Nice and be blessed na Mungu aendelee kutenda kazi ndani yako!
kama unampenda ninavyo mpenda ngoga Like yko hapo
nakupenda wewe na nyimbo zako Dada uko vizur
Sharon Agissa
Napenda
Roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama 😇😇
Barikiwa sana mamaa mungu wangu wa mbinguni azidi kukuinua kiwango hadi kiwango cha juu zaidi
Sasa huyu ndo shusho wa zamani! Nabarikiwa toka Kenya😍
mysh very true, , , shetani alikuwa ameanza kumuingilia
amen barikiwa dada christine
Kweli
huelew kiswahili nani kakuandikia coment
Dir Fecha acha siasa barikiwa
Vraiment j'en suis sûr avec Dieu tout est possible et je n'ai serai jamais déçu
OMG!!!! I love this song!!!😍😍😍
ICC Nairobi brought me
Who is here in September 2024😊
Am a Ugandan but I love Christine shusho music 🎶
On my day of trouble i remembered this song. I was more confident roho akiwa nami nitashinda. Barikiwa kwa kutubariki kwa nyimbo nzuri.
roho kaa nami niwe salama, wewe ndio unisaidiae udhaifu wangu maana mimi sijui kuomba ipasavyo
Ooooooooo!!!!!!!!!!!!! This is what am talking about!!!! The real CHRISTINA SHUSHO!
kwa Yesu nipo salama kwa Yesu nitashinda
hakika nabarikiwa saan jmn fanya kazi ya Mungu,,, kwamaana umabariki saan watu, asante saan
Naomba Baba akujalie kibali kwamba hiyo neema idumu kwako. Nyimbo za rohoni kabisa. You don’t expose your mind but the state of your heart and devotion. Be greatly blessed. Helelwa na Abeca.
Wakati wote ninaposikiya wimbo huu niko najaziwa sana. Aksanti sana Dada...Mungu apewe sifa !
Eeeh roho Kaa ndani Nikiwa na wewe niko salama Amen
Eeeh Roho kaa ndani yangu niwe salama Maishani Mwangu
Ninamupenda sana shusho,baweza penda kuimba na wewe siku moja atakama sina sauti nzuri it's my dream . just be with you in one of your album. I love you so much. Ninapenda Sana english but i don't nkow ku i sema
Ámen Mungu azidi kukuinua katika uduma yako mtumishi
wacha roho iwe nami niwe salama, ubarikiwe sana Dada
Yesu yupamoja nasi ubarkiwe
for sure nikiwa nawe Roho Niko salama, nitashinda, Nina nguvu. ni ombi langu kwako Mungu unijaze Roho wako
Roho kaa ndani yangu niko salama
Roho kaha ndani yangu nikiwa nawe niko salama #ChristinaShusho nice song I love this
Huyu sasa ndiye Shusho. Glory to God
nakupenda mdada nyimbo zako zuri nazipenda zina umiza mtima wangu barikiwa sana mdada.
No meio dos falsos, aí Deus levanta uma pessoa dele para dismasgrar a falcidade, Deus está levantando a Cristina shusho para trazer avivamento no mundo gospel na Tanzânia, continue firme e fiel a Deus.
ongera Dada Tina kwa karama ambayo mungu amekuzawadia
Eee roho kaa dani yangu pamoja nawe niko salama
Nampenda Christina Shusho 😍🤩
AMEN. ROHO KA NDANI YANGU
eee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe Niko salama nikiwa nawe Nina nguvu
Barikiwa sana dada, Roho Mtakatifu aendelee kukupigania
Hallelujah yes Ameen sisi ni washindi zaidi ya washindi nimebarikiwa na huu wimbo. God bless you servant Christina shusho Nice song ameen
May the lord bless you my sister for this song,a friend of mine send me longtime this song and I lost it today she send resend me again, thanks
Amina. Roho wa bwana tunaku hitaji maishani mwetu.
🙏🙏🙏 Pamoja nawe Nita shinda
Amen .. Wimbo huu hunipa nguvu ninapokuwa ktk novena zangu hasa za cku arobaini za mafungo.. Mungu akutie nguvu umalize mwendo salama,,
Mungu azidi kukuinua japo kuna sehemu huwa unapitiwa kidogo kwenye mavazi
Baba najua nikiwa na wewe niko salama
EEE ROHO KAA NDANI YANGU NIKIWA NIKO SALAMA EE ROHO KAA NDANI YANGU NIKIWA NIKO NA NGUVU
Mungu hakubariki Sana dada NDUNGU ELVI apa Lubumbashi
Nazipenda sana nyimbo zako zinanibariki Sana, Mungu azidishe kipawa 🤎🖤💜💙💜🖤🤎💜💜💙
Roho kaa nami umenibariki sana Ubarikiwe mnoo
So soothing and so spiritual oh my God ...listening 2024 19th November 🎉🎉🎉
Huu wimbo mzuri na ni kama nyimbo zake za zamani, ni nyimbo za kuabudu
Eeh roho pamoja nawe nitashinda🙏
Amen .. Wimbo huu hunipa nguvu ninapokuwa ktk novena zangu hasa za cku arobaini za mafungo.. Mungu akutie nguvu umalize mwendo salama,, herrieth
Dah! Barikiwa Mtumishi 🙏🙏😭
this is the real Christina shusho,how i wish she maintains this hair,beautiful song am blessed
roho fanya makao kwangu,,,,,,amen
Shush mungu. Akupe kuishi milele na family yako asant sana kwanyimbo nzuri tutaonana binguni milele paradisho
Ubarikiwe dada nyimbo zako Zina bariki❤
Wow ninapenda wimbo sana EEEH ROHO KITANDANI KIWA NAWE....
This is Christina Shusho that i know. The women of Christ is back to the heart of worship....Barikiwa sana dada.Your the best.
Nice dear #MUNGU hazid kukuinua katika kazi za mikono yako na mdomo wako mmoja unenao sauti moja hra uwajenga maelf ya watu
ubarikiwe Mungu akupiganie maana shetani huduma ya uimbaji haipendi ndo maana anatupiga chini waimbaji sana anatutafuta sana.ninacho juwa ni kwamba kazi zote za hapa duniani zitaisha lakini uimbaji hautaisha kamwe tutaendelea na kusifu.kwa hio jamani njooni tumuimbieni Bwana wetu ili siku ile tukaendelee hvhv
ubarikiwe kwa huduma nzuri Mungu akutie nguvu na akulinde
Now this is Shusho i use to know some years back,am blessed please don't change again
barikiwa sana mpaka saizi nikisikiliza u wimbo nakaa uweponi mwa mungu
Wimbo wangu ❤🥺😩
huu wimbo unaniinua saana
I can't have enough of this song. Thanks AIC Mbaraki Praise Team for directing me here. 🎉.
Nitashinda pamoja Nawe nitashinda 🙏
Amen. Nitashinda ktk Roho
Am humble by this song let's the Holy Spirit dwell in me and never depart.
Mungu akubariki Christina shusho
nimebarikiwa sna dda na wimbo
Amina...hili ndilo lililokuwa ombi langu siku ya leo.Roho wa Bwana naomba ukae na kutulia nami.
Greatest sogs in all the time hatakama nina huzuninikisikiza wimbohuu najisikia amani thanks god
Kaa nami Roho Mt. bila ww mimi si chochote. Barikiwa mtumishi
Nikiwa nawe niko salama!
Shusho b bleccd!
Umenikosha moyo wangu Dada shusho, barikiwa sana, baki kwenye tune hii.....I feel anointing!
Eee roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama barikiwa sana shusho
Wimbo huu umenibariki sana ninapousikiliza.mungu azidi kukubariki dada christina
Now this is Christina, welcome back. God bless you
Am blessed with this song.......eeeh roho kaa ndani yangu pamoja na we ninanguvu
Nabarikiwa sana sana sanaaaa 😇😇😇
Mungu Akubariki Shusho, Jinsi unafanya tubarikiwe na nyimbo zako
Now this is christina shusho we used to know.. nice song mama.. be blessed.
roho njema na ya upendo iwe nasi milele #roho
Naomba niimbe nawe Album moja tu
Uuuuuuh so happy for you darling......na umefanya video super kwenye kijani kibichiii....your dress .....yes i feel the presence of the Lord hapa nilipo.....my morning is beautiful ....Mungu akuinue mamy
Hakika nikiwa nawewe ninashinda Amina
Amen ubarikiwe dada Christiana napenda sana song zako mungu akubariki sana 💜💜💜💜
safi sana roho u pamoja nawe kwel.
Roro kaa ndani yangu nikiwa na wewe Niko salama
This is the really dada Christina Shusho. Barikiwa sana dada. Napenda sana kupata baraka kupitia nyimbo zako. Na kwa kweli huu wimbo "Roho" ndo Shusho wetu haswa.
Mpooo wapendwa!!! Asante MUNGU kwa kumpa kalama hii Dada shusho. Barikiwa sana Dada shusho
nabarikiwa sana na huu wimbo. Shusho barikiwa napenda sana nyimbo zako za aina hii
Aki hii song naipenda it's my prayer
Am humble by this song..may the Holy Spirit dwell in me and never depart. Amen
Roho kaa ndani yangu nitashinda ya Dunia ,be blessed shusho
Amen hakika E Roho kaa ndani yangu niko salama nitashida kweli kabisa maana ataniongoza,wimbo mzuri sana barikiwa shusho
ROHO kaa ndani yangu, wewe uliye mfufua KRISTO akashinda kifo na mauti.
Ee roho ka ndani yangu
Got to here this song for the first time it's soul touching thank you Christina Shusho
Love from Kenya
Roho kaa nami daima
Now this Christina Shusho! You look cute ! Na mavazi yako hayo umependeza sana kuliko zile trousers ! Nice and be blessed na Mungu aendelee kutenda kazi ndani yako!
Eh roho kaa ndani yangu nikiwa nawe niko salama ubarikiwe dada christina.
My favorite and role model from TZ....much love from me 🙌💕
Roho kaa ndani yangu nikiwa nawe nitashinda
Nyimbo mzuri sana mungu amilinde