HAYA MASWALI YAMESUMBUA SANA WAISLAM!! TAZAMA MAJIBU YALIVYOKUWA!!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @rubbenndege4379
    @rubbenndege4379 5 років тому +3

    Na Yesu sio isa nachukizwa sana wanapomfananisha Bwana wetu Yesu Kristo na Isa

  • @moseskayan3705
    @moseskayan3705 5 років тому +6

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 років тому +1

    I give glory to God . Hata mimi niliuliza mwana dada moja mwarabu nani kabadilisha neno la mungu hakuni nijibu. Nashukuru kwa mafuzo yako GOD bless you and give you strength for his words

  • @geofreymbila4089
    @geofreymbila4089 5 років тому +1

    mwenyezi mungu akubariki na azidi kukupa maisha marefu ili jamii ipate elimu ya kutosha katika jina la yesu kristo amen

  • @jamesmasay1844
    @jamesmasay1844 5 років тому +6

    Thanks

  • @violetjoseph8649
    @violetjoseph8649 5 років тому +2

    Barikiwa Pr.Mapima kwa ufafanuz mzuri

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 5 років тому +5

    What a hugely message, THANK YOU so much for increasing my Faith

  • @nancybaib5635
    @nancybaib5635 5 років тому +3

    Nabarikiwa kweli kweli mungu hakubariki Sana

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 5 років тому +4

    asante mwalimu Mapima kwa ufafanuzi ulio mwafaka kabisa hope waislamu wameelewa bilashaka

  • @wanderenyeura9011
    @wanderenyeura9011 5 років тому +4

    Safi sana

  • @westonmbuba6421
    @westonmbuba6421 5 років тому +3

    Uko vizuri.

  • @johnmnonjela9809
    @johnmnonjela9809 5 років тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @amossamwel2266
    @amossamwel2266 5 років тому +1

    Amina

  • @sarahwanjala6601
    @sarahwanjala6601 5 років тому

    Asante sana mwalimu nimefahamu sasa sidanganyiki ngoo

  • @johnfaustinechannel746
    @johnfaustinechannel746 5 років тому +4

    SIKU YA SABATO SIYO SIKU YA JUMAPILI AU IJUMAA

    • @mansixgooseman8915
      @mansixgooseman8915 5 років тому

      Ni jumamosi John(sabato)

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Haitokusaidia kwenda mbinguni
      Acha dhambi okoka na umtumikie Mungu

    • @edenedna8934
      @edenedna8934 4 роки тому

      Ikifika hapo unasikia haikusaidii tena? Ni jumamosi na ni sheria kuwa siku hiyo

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 5 років тому +1

    Mch. Uko deep mmmh ...Mungu akubariki ...pia nasi tubarikiwe pia kwa mafundisho haya

  • @joelshija4184
    @joelshija4184 5 років тому

    Injili ya Yesu itawafungua Ubarikiwe

  • @samueljr9105
    @samueljr9105 5 років тому +6

    Second quiz was very funny how can they say Jesus Christ was a Muslim and they reject him? Secondly the name JESUS is Christian Muslim they call ISA, CHRIST come from CHRISTIAN then how can he be a Muslim?? Hope they will understand and get deliverance to follow Christ as their savior

    • @setholivier4862
      @setholivier4862 4 роки тому

      Absolutely

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому +1

      The dudemohammad came 600 years after Christ and he was un educated how dare people even trust and follow him🙄🙄🙄🙄🙄?? Its demonic

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому

      @@myself4128 😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂👌👌you made my day

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 4 роки тому

    Asante Pst Mapima. Hawa wana wa kuasi wengi hawataamini. Lakini KWELI YA KRISTO lazima iwe dhahiri.

  • @westonmbuba6421
    @westonmbuba6421 5 років тому +3

    Hicho kiingereza hawakielewi hao baba

  • @victorkaigalula5589
    @victorkaigalula5589 5 років тому

    barikiwa PR kwa fafanuzi zako. Banafic nimeelewa sana

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому +1

    Sasa musikiti nakanisa wapi panafanana sinagogo sinagogi hainabitimeza namusikiti kanisa zoote zimeja viti namameza haki nimusikiti yesu amesemazakekwamifano mwenyekucuuza ndiyo anatiya viti nameza kati ya musikiti nakanisa wapi pako viti?acakutudanganya yesu kashaaca alama zamafumbo

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому

      Sasa mbona wkt huo akukuwepo camera wala gari lkn saiz yapo so unashangaa nn ?kwann mnakataa wkt uyu anatoa ushaidi kutoka ktk maandiko aiseee waislam 🤔🤔🤔🤔🤔

  • @judithcherono2595
    @judithcherono2595 5 років тому +1

    Good one but wenzangu waislam Singatia kusoma Kabisa, barikiwe

  • @jacksonkepha9097
    @jacksonkepha9097 5 років тому

    ubarikiwe

  • @joshuanyamaiswe4327
    @joshuanyamaiswe4327 5 років тому +1

    Muendelezo please

  • @samuelmussa4809
    @samuelmussa4809 5 років тому +1

    Pr mwendelezo please i beg you! umenibania wazee wakutafsiri biblia kwa interest zao. nimeona wamepiga makofi wameelewa.

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому

    Nakufuru haca kupodowapodoa hamujatumwa mumudanganywa

  • @seifuissabags9802
    @seifuissabags9802 4 роки тому

    Unatakiwa usilim maana unajitahidi kuijua kweli achana na ukafir njoo ndani ya uislam

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Ukasilimu ili uende wapi? Uislamu hauna wokovu na mwisho wenu ni motoni tuu,hata mtume wenu alikufa hajui anakokwenda quraani46;9....alioa katoto ka miaka 6 atakuwaje nabii wa Mungu??? Alirogwa pia😂😂😂😂 mtume gani anarogeka????

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому

      @@myself4128 isa bin mariam alimtabiri mtume muhammad saw na wote hao ni mitume wa mmungu na aliongelea hilo ktk quruan isa na injil cc tunaikubali ila hatuwaelewi nyiyi mara isa mtume mara mmungu hiyo ndio mnaptosha je betlehem ni nn kama si nyumba ya nyama kwa kiarabu kama huyo aliosea kuandika sinagogi ni msikiti basi kumbe mlikosea mengi kila siku mtakibadilisha kitabu cha ijili sio kile cha ukweli kila mmoja anandika kivyake je yesu alijenga kanisa ?lakini mtume muhammad alijenga msikiti na miaka sita unashangaa kupata utume alitabiriwa kabla hajazaliwa mtume isa alimtabiri atakuja bada yangu atakuja mwaminfu soma vizuri injili . kumbe alimtabiri nani mmungu ni huyo huyo mmojab anae watuma manabii wotee na ibrahim ni kizazi cha mtume muhammad saw na isa ni kwa ajili ya wana esrael tu walikufuru mmungu akawaletea nabii isa

  • @zakialustan722
    @zakialustan722 4 роки тому

    Mchungaji unachambua kwa kutumia akili zaidi kuliko uhalisia (unapotosha)

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому

    Mwalimu waliniambiya eti Bible ya kweli iko Roma ndiyo huko kipo.

  • @sawdaasawdaa7903
    @sawdaasawdaa7903 3 роки тому

    Nyinyi mafundisho yenu nikusema yesu yesu mumuace mutoto wa mariam jamani hamutopaya pepo haeajuwi ametumwa israrli tu nakatahazarisha kuna abi atakayekuja nyuma yake aya nuhu anamufahamu nabiwamwisho ata seiman nabi anajuwa ata musa alikuwa akifunulia mambo yawakati wamuhamadi rehema zawatu wake nyinyi bip

  • @rubbenndege4379
    @rubbenndege4379 5 років тому +1

    Ila Quran sio kitabu cha mungu wa kweli abadan

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому

    Mutatangatanga sana nakujaza uongo duniya nzima,isishimamiyi parefu pasokua namana awo makafi wakwanza nimutume paulo anasema ukitailia yesu hatokupokeya lini yesu alimutuma ucafu huyo???

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому

    Hakuna hatakitukimoja munafanana iwe mavazi iwetabiya hakuna atakimuja munafatisha ca manabi makabueiyote yamanabi hakutamusalaba ayomashatiyamisalaba mumeyatowawapi??? hamuna muzungu nabi n

  • @bongelabwana6708
    @bongelabwana6708 4 роки тому

    Mafala yote kama watafusiri walikosea naama neno sinagogi basi hizo hoya pia walikosea kwanza zama isa bin mariyam hakua na kanisha

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Wala hakukuwa na misikiti

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Na wala sio Yesu,,,issa alitengenezwa na Mohamad ambaye hakusoma alioewa taarifa na majini

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому

      Ww kelele apa mbona manabii walio pita awakuoa watoto wadogo kama Mohamed mbona ushangai

  • @zakialustan722
    @zakialustan722 4 роки тому

    Taurati ya bhana iko pamoja nasi maana yake "tunaijua tunaitumbua tunaifahamu,tumeiona ,tunayo,) lakini tazama kalamu ya uongo ya mwandishi imeifanya kuwa uwongo ..maana yake kalamu ya muandishi maana kuna wapotoshaji ambao ni waandishi wa kutumia kalamu "WAMEifanya" wame ni kauli timilifu yaani past participle tense ,kitu ambacho kishafanyika tayari ,yaani mwandishi tayari ameshaichafua tayari taurati It is no longer authentic....usipotoshe watu we brother,

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Nipe andiko moja la quraan ambapo Mohammad alisema biblia imepotoshwa!!!!!mie nasilimu leo!!!!
      Halafu kasome quaraan 10:94-95

    • @abubakaromary2255
      @abubakaromary2255 4 роки тому

      Naomna mmejikusanya wenyewe kisha mnajiulizaa wenyewe. fanya mdahalo wa kitaifa cio unakaa na watu wacio na elimu ya mdahalo na kuwaburuza.

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому

    Sasa kitabokisicokua nuuhakika sio cakufata ao kuongoza kimejamaovu ndani

  • @jacksonkepha9097
    @jacksonkepha9097 5 років тому

    nmeokota vitu

  • @zigzag4487
    @zigzag4487 4 роки тому

    wameifanya Kua uongo abadili tusiongopeana

  • @user-qz2yd5wm2m
    @user-qz2yd5wm2m 4 роки тому

    Toa tourati yenye Lugha ya kiyahudi ndio tutakufaham lakini kwahiyo tafsir usidanganye watu.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому

      Ilo ndo tatizo lenu sasa ww unajua lugha ya kiyahudi?jee ktk Qran wameandika torat kwa kiyahudi?apo ndipo mnapo potea maana wapinga kristo ndo nyinyi poleni sana maana Qran imetaja vitabu 3 so kwann wataje ivyo vitabu ikiwa sio vitabu vya kweli?inamana mnapinga Qran yenu

    • @user-qz2yd5wm2m
      @user-qz2yd5wm2m 4 роки тому

      @@euniceeunice7680 wewe hufahamu Elim ya dini kwahiyo ningumu kwako kukufahamisha bora ninyamaze. Quran imetaja torat , enjili na furqaan.sasa torat tuliyoambiwa niile yenye Lugha ya kiyahudi na enjili niileile ya Lugha ya kiyahudi sasa utwambie hivyo kwani Musa mswahi? Au issa mswahi. ? Lete uthibitisho wake ikiwa unasema kweli.laasihivyo huo ukristo niwenu wenyewe.

  • @binsultan6981
    @binsultan6981 4 роки тому

    sisi tunataka taureti iliyo ya kwel ambay ilipotezwa leo mnasoma kumbukumbu ya taureti

    • @edenedna8934
      @edenedna8934 4 роки тому

      Tupe wewe juu unakielewa sana

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому

      Sasa ww toa ilio ya sahihi basi

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 4 роки тому

      @@euniceeunice7680 mwambie mchngaji wako akuonesh kama hujasimu

  • @samsonmusa7626
    @samsonmusa7626 5 років тому +2

    Thanks

  • @lucasmabuli9374
    @lucasmabuli9374 3 роки тому

    Thanks