Maina Njenga arudi Mlima Kenya akiibua hisia za kisiasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 172

  • @markmwau8387
    @markmwau8387 5 годин тому +39

    Tunajua hao ni watu wamelipwa sisi sio waninga😂😂😂

  • @wilsonkinyua2154
    @wilsonkinyua2154 5 годин тому +26

    Maina we can NOT support Ruto hata ufanye nini

    • @mwasjohn58
      @mwasjohn58 3 години тому +1

      Hata wafufue Kimathi hatuezi chagua ruto.Gutiri ucokaga haria arumiirwo kaara.

  • @dnetts
    @dnetts 5 годин тому +19

    maina njenga ni bure tu hata mca hawezi pata mt kenya

  • @DaudReece
    @DaudReece 5 годин тому +11

    If this is how Ruto plans to get Mt. Kenya votes by force, then he has lost it.

    • @mickhenry1451
      @mickhenry1451 4 години тому

      Utashangaa sana

    • @mrpain158
      @mrpain158 4 години тому

      Njenga atashangaa.​@@mickhenry1451

  • @rosalineruguru2816
    @rosalineruguru2816 5 годин тому +11

    Madness 😮😮

  • @MbuguaWaLimuru
    @MbuguaWaLimuru 5 годин тому +13

    Hata mlete mungiki, huko hatutarudi.

  • @harizonmaina4676
    @harizonmaina4676 5 годин тому +13

    Wewe umelipwa na ruto

  • @David-h7b4x
    @David-h7b4x 4 години тому +4

    Gachangua our kingpin

  • @peterson47Ngui
    @peterson47Ngui 4 години тому +11

    Hii ni upuzi wanafanya na kindiki ububafu maina must go kindiki must go

    • @benardwaruru138
      @benardwaruru138 4 години тому +1

      Go where chenzi,ngui nduikarie Mai gwacuguo kou nikuo ungikugira muhii uyu

  • @Lucky-JJ23
    @Lucky-JJ23 4 години тому +8

    😮😮😮😮😮😮Nooo Njenga😮😮😮😮😮

  • @MalasaMoses
    @MalasaMoses 4 години тому +7

    Huyu ameingiza njeve wakuuu😅😅😅

  • @marymuthonimichu5444
    @marymuthonimichu5444 5 годин тому +15

    Njenga pride comes before a fall

    • @benardwaruru138
      @benardwaruru138 4 години тому

      Gachagua pride iliisha chenzi,ukichaguana ukisema nimaombi c uchawi,,pride yako ilikuwa wapi,tumia akili vizuri bwana

  • @perismwangi5824
    @perismwangi5824 3 години тому +4

    Hakuna kitu kaa hiyo ..😂😂😂😂 no way

  • @soniinyambu512
    @soniinyambu512 3 години тому +5

    Ata arudi akiwa nini atuwezi mfuata ata kwa dawa 😢

  • @beatricekhangayi-qh5ny
    @beatricekhangayi-qh5ny 4 години тому +5

    Njenga nimafi yaruto😅😅😅😅

  • @technifier857
    @technifier857 5 годин тому +4

    Wow, the drama is just over the top

  • @kirathimorathima1177
    @kirathimorathima1177 5 годин тому +23

    Cha muhimu ni kuwa Maina njenga hawezi pata Kura ya kumwezesha kupata kiti cha ubunge

  • @MaryAyeta
    @MaryAyeta 39 хвилин тому

    Kweli kabisa Kenya 🇰🇪 niyetu sisizote amani Kenya mungu bariki Kenya

  • @zionlady1052.
    @zionlady1052. 5 годин тому +6

    KINDIKI YOU DON'T KNOW RUTO YOURSELF YOU ARE STILL BLIND😢

    • @francisoluga
      @francisoluga 3 години тому

      Wacha Kindiki akule mshahara wake polepole

  • @7thestate777
    @7thestate777 5 годин тому +7

    Nation's curse

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 Годину тому

    Huyu ndio anafaa Maina👏👏

  • @peterkimani8005
    @peterkimani8005 4 години тому +2

    Madness at its highest level

  • @EDWARDMWATELA
    @EDWARDMWATELA 5 годин тому +4

    Huyu ni muhuni sio kiongozi

  • @perismwangi5824
    @perismwangi5824 3 години тому +4

    😂😂😂😂😂...hakuna kitu kaa hiyo hakuna wajinga sasa

  • @nancywairimu1250
    @nancywairimu1250 3 години тому +1

    OH GOD ALMIGHTY!!!!!!!!!! PLEASE SAVE OUR COUNTRY FROM THESE WICKED HYPOCRITES !!!!!!!!!

  • @johnnderi4324
    @johnnderi4324 4 години тому +3

    Maima njege ni chetani

  • @georgemaina-go1gm
    @georgemaina-go1gm 24 хвилини тому

    Munguki... 💯

  • @jothammaweu3005
    @jothammaweu3005 Годину тому

    Maina is trying to unite the mlima people with the rest of the Kenyans since we all face the same challenges contrary to Riggy g who's isolating them

  • @raphaelmwaura1648
    @raphaelmwaura1648 4 години тому +3

    Muthuri tiga kuhura maii na ndirii

  • @omwanzas
    @omwanzas 40 хвилин тому

    When the mountain say NO I don't think they have a reverse gear. Mongiki can be used all they want but I don't think these people will smile at Ruto again

  • @VincentMigwi-jy7oi
    @VincentMigwi-jy7oi 4 години тому +3

    Mungiki ushindwe

  • @marykamau5166
    @marykamau5166 5 годин тому +2

    😂😂😂😂 Jenga Jenga tunakula kitheri pliz Jenga Zina unguanga Kwa haraka, ata upewe ngapi hatuwezi

  • @duncankariuki3151
    @duncankariuki3151 2 години тому

    We're after GACHAGUA

  • @eastm.1110
    @eastm.1110 2 години тому

    Some people in Kenya are so desperate to get hold of Mt.Kenya and since the writing is clear on the wall and we all know that they cannot perceive defeat,the best thing they can now do is sow intolerance and fear.Mungiki was the best choice for this mission.With the coming of Maina Njenga, peaceful gatherings of any nature will not happen in Mt.Kenya anymore; not even prayer crusades.They will use Mlima to eat Mlima.May the mountain never forget!.

  • @kingkingz9378
    @kingkingz9378 3 години тому

    Yaani hadi Maina Njenga ako na say politics...😂😂😂😂

  • @MoBlack-x9y
    @MoBlack-x9y 4 години тому +1

    His end is now nearer

  • @MichelMusyoki
    @MichelMusyoki 7 хвилин тому

    Iyo jina ni baya sana

  • @pw-t2c
    @pw-t2c 3 години тому +1

    yaani rais wetu tuliyempigia kura anatuletea mungiki! What did we do to deserve this oh God! Please forgive us🙏

  • @alisonm3700
    @alisonm3700 5 годин тому +2

    Eti makanga ndio anaongelesha watu????!!

  • @berniegn.983
    @berniegn.983 Годину тому

    Kindiki will also be replaced soon,...its called musical chairs!

  • @David-kl4sw
    @David-kl4sw 4 години тому +2

    Peleka mingiki from our youths ....few coins from ruto wont get u elected .....maina njenga atawadanganyiria vijana wetu alafu ruto aue hao vijana na maina abaki akiwa hai j amepewa pesa

  • @mcranko5043
    @mcranko5043 5 годин тому +7

    Hata kiti ya munanda haezi pata uyu aliuwa wakikuyu na hajai tetea wakikuyu ka uhuru nagachagu...nakwasai tuko nyuma ya gachagua

  • @MaryAyeta
    @MaryAyeta 36 хвилин тому

    Uchauri wagu kwako gachagua utuliye ad 2027

  • @kirathimorathima1177
    @kirathimorathima1177 5 годин тому +2

    Sidhani kama mlima Kenya utamuunga mikono Maina njenga

  • @AnthonyMuchira-rk3yc
    @AnthonyMuchira-rk3yc 5 годин тому +2

    Maina njenga stop lying to Ruto that he will be accepted in Mt Kenya region,wewe kula pesa yake alafu urudi nyumbani juu wewe ni wetu na tunajua huwezi saliti wakikuyu

  • @IbrahimSalat-z7y
    @IbrahimSalat-z7y 5 годин тому +1

    👍👍👍

  • @gee2638
    @gee2638 5 годин тому +4

    Maina ni bure😂

  • @PaulNjoka-ot9si
    @PaulNjoka-ot9si 4 години тому +2

    Ametahiri kweli

  • @georgengugi5197
    @georgengugi5197 5 годин тому +1

    Nia yenu twaijua na hapo hatutarudi hata....wacha kundanganya Ruto

  • @alisonm3700
    @alisonm3700 5 годин тому +3

    Pesa ya tax payers inatupwa hivi

  • @johnwachira7383
    @johnwachira7383 4 години тому +1

    Maina njenga is nothing in Mt Kenya

  • @SimonNdungubrevo
    @SimonNdungubrevo 4 години тому +2

    Show me ur friends and I will know who ur

  • @ishmailnganga4425
    @ishmailnganga4425 5 годин тому +2

    Awekwe ndani

    • @joycekamau2858
      @joycekamau2858 3 години тому

      jabaaa yes na akicheza afundishwe adhabu tena na wakenya

  • @moseskangethe6046
    @moseskangethe6046 4 години тому +1

    maina wa otc mkutano imekunjuoo na wasiofaa

  • @paylwambui2362
    @paylwambui2362 Годину тому

    Watu wakulipwa bure kabisaa,huyo Njenga ata kiti ya MCA hawezi pata mt kenya bure sana

  • @victortanui7640
    @victortanui7640 4 години тому +1

    Tugeges tugeges wajinga mko wapi

  • @richardwerecomedy6046
    @richardwerecomedy6046 4 години тому +1

    Huyu muuwaji mbona anakubaliwa kuongelesha watu, kikuyus must be fake people indeed 🙌🙌

  • @japhetitharu118
    @japhetitharu118 Годину тому

    How do they take us for.. maina na yeyote yule ampigie ruto sisi hatuwezi kamwe..

  • @gracewatetu3322
    @gracewatetu3322 Годину тому

    Please repeat who is a looser........Ruto began campaign 5 years before

  • @joycekamau2858
    @joycekamau2858 3 години тому

    what a shame from a whole yes sir deputy ati mumbembeleze

  • @willydfrey2465
    @willydfrey2465 2 години тому

    Maina ata atunjengee nyumba hatuchagui hapo unataka

  • @patrickmwangi9899
    @patrickmwangi9899 4 години тому +1

    Kikuyus from mt Kenya forget very fast. Just go with a word Christ and they will follow you.

  • @FredrickAgomah
    @FredrickAgomah 3 години тому

    From Saul to Paul, thanks for maina njenga you are more patriotic than tribal king Gachagua.

  • @BermingtonGWaweru
    @BermingtonGWaweru 4 години тому +1

    He doesn't represent me and the guy is using Mungiki to gain fame

  • @ngurenjoki9796
    @ngurenjoki9796 5 годин тому +1

    Those a paid goons maina has nothing to offer

  • @sheriffempire1208
    @sheriffempire1208 4 години тому +1

    Maina njenga amekuwa mtu bure sana

  • @Wildlifeworldafrica.7865
    @Wildlifeworldafrica.7865 2 години тому

    Huyo alitairi wasichana na wamama wetu hatumtaki

  • @EricMurimi-x4y
    @EricMurimi-x4y 2 години тому

    Watu wa nyeri muna booo sasa kama watu wa embu

  • @elizabethnjoki6186
    @elizabethnjoki6186 3 години тому

    Maina Njenga hata kiti ya MCA Laikipia hawezi pata

  • @ElianOsuma
    @ElianOsuma 2 години тому

    Kwani huwa wanaona watu wa mt.Kenya kuwa wajinga aje😂??
    Ruto ashajulikana

  • @paylwambui2362
    @paylwambui2362 Годину тому

    Mtu ambaye hawezi changuliwa kiti ya chairman ata nursery sch mt kenya ana weza tafutia nani kura?

  • @kennethmacharia5297
    @kennethmacharia5297 3 години тому

    Mtu hajawahi shinda kiti sasa ndio kiongozi. Enyewe

  • @hoaxadventures
    @hoaxadventures 5 годин тому +1

    Bure kabisa, kwa wainga tutirachoka

  • @umaymaahmed8285
    @umaymaahmed8285 3 години тому

    Sidhani hata atawezana na shadow ya gachagua....even wid millions he cnt be mt kenya kingpin

  • @Musemaukweli4320
    @Musemaukweli4320 4 години тому +1

    Mt Kenya citizens and leaders take money and go home to sleep. Don't be used by your enemy to divide yourself. Learn from the past. Uhuru has distanced himself from conmanship of Mwizi&murderer kasongo

  • @mwasjohn58
    @mwasjohn58 3 години тому

    Akwende huko we don't recognize that Murderer in the Mountain.
    Huyu hata akisimama MCA in Laikipia Haezi pata kiti.

  • @Kksammmwashi
    @Kksammmwashi 5 годин тому +1

    Endeleeni tuu kujipigia debe tuu huko central, sababu huko ndio Kenya, na huko ndio kuna wakenya wapiga kura wako. Sehemu hizo zingine hatunaga kura.

  • @MartinKorir-y6z
    @MartinKorir-y6z 2 години тому

    Killers in politics...two assassin's together. Sisi tumeisha

  • @BushGeeKenya
    @BushGeeKenya 5 годин тому +1

    Xaxa huyu anasifa mbaya kwanza nani atamsikia kweli watu wataona kama yeye ni comedian.

  • @mercywahito276
    @mercywahito276 Годину тому

    We hatukutambui

  • @patrickkariuki9542
    @patrickkariuki9542 3 години тому

    Mt kenya mungiki hatuwezi wafuata

  • @Gikuyumnatty
    @Gikuyumnatty 4 години тому

    Never in a million years...kula na ufunike tumbo

  • @jamesmaina1284
    @jamesmaina1284 3 години тому

    If u think u too famous,simama 2027 ujue hujui,mt kenya hatuuzangwi,we just for hire

  • @Brimot
    @Brimot 4 години тому

    After man wa OTC kuzaindiwa na kila watu ameingia sasa politics

  • @omokemorara8656
    @omokemorara8656 4 години тому

    Hamtalazimisha kura nyinyi.

  • @richardmwangi9480
    @richardmwangi9480 Годину тому

    😂😂😂 we know him beta

  • @DaxL_net
    @DaxL_net 4 години тому

    Jiombee we mwenyewe.

  • @ElijahWachuka-f5n
    @ElijahWachuka-f5n 5 годин тому +1

    I'm not a prophet but I'm sure Maina Jenga is nothing but a loser,the kikuyu cannot vote for the current regime,not only the kikuyu,every Kenyan has been disappointed by the government,the government has failed to deliver to the Kenyans,2027 waende wote nyumbani 💯

  • @perismwangi5824
    @perismwangi5824 3 години тому

    Sisi wote ......siio..sisi Zote

  • @KENYANEWS1-j500k
    @KENYANEWS1-j500k 3 години тому

    I'm behind maina njenga

  • @KimaniKariuki-g2o
    @KimaniKariuki-g2o 3 години тому

    kwani wakorino wamekua mungiki au wameungana na mungiki?

  • @SamuelWanderi-w6c
    @SamuelWanderi-w6c 5 годин тому +1

    Maina umezoea kitajirika na vijana

  • @JohnNjoroge-n9m
    @JohnNjoroge-n9m 3 години тому

    Forget them

  • @stateofthenationke
    @stateofthenationke 4 години тому

    Hata MCA hawezi pata. Sasa Ruto ndyo utamletea kura

  • @PaulineMbeke-n6j
    @PaulineMbeke-n6j 3 години тому

    Mnatumia wakenya vibaya

  • @franciskariuki8013
    @franciskariuki8013 4 години тому

    Maina njenga hii ilikua maombi only lakini siasa ❌❌❌❌

  • @dunishwamaggie2430
    @dunishwamaggie2430 3 години тому

    Dp wa tatu maina njenga😮

  • @kitakamahinda8650
    @kitakamahinda8650 3 години тому

    the guys in attendance wameenda wakihope watapata at least adi 2 soo

  • @HFg-xk4rp
    @HFg-xk4rp 5 годин тому +1

    Maina Njenga

  • @unclesam4519
    @unclesam4519 3 години тому

    Maina sisi sio wajinga..Ruto must go.