TUULIZE SISI NDO TUNAEMJUA USIKURUPUKE SHEIKH KISHKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 282

  • @HabubaManeno
    @HabubaManeno 4 дні тому +9

    Mcheni Allah ndg zetu, maisha ya dunia ni mafupi na vyote tunavyokusanya tutaviwacha , hadi kujifunga kilemba eti amejifunga kama waarabu wa majangwani.... Njaaa zitawapeleka pabaya nyinyi

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 4 дні тому

      Ni sawa iwe hivyo. Lkn c jazba Wacha Mungu hawawi na riaa. Wapo mbona akielekeza kitu km anavyosema Sh Kishki. Kinajibiwa na ALLAH WETU. Waislam tucjidhalilishe wenyewe

    • @AishaHussein-m3l
      @AishaHussein-m3l 3 дні тому

      Maisha ya Dunia ni mafupi njaa zitawpeleka pabaya

  • @NaimaUssi
    @NaimaUssi День тому

    Kwanzaa hayaa mavazii yaoo tu subhanallah unajuwaa km elimu yaoo kidgoo inaa khitilafu lkn sheikh kishkii anawafunzaa lkn hwtkii kuelewa yarabbi waongozee wao na ss

  • @SelemanYusuphu
    @SelemanYusuphu 2 години тому

    Pumbavu sana nyinyi wezi watupu MUNGU awalani unauwalibu usilam kwenye dini kuna meneja kweli mnaalibu sana usilam pumbavu sana mpo kwa ajili ya masilah yenu ujinga mtupu

  • @AbdullwahabAbdullqadir
    @AbdullwahabAbdullqadir 4 дні тому +4

    Neno moja kwenu nyinyi waganga wa kienyeji,mcheni Allah moto wake ni mkali sana msiwadhulumu wanyonge mtalipwa

  • @IsmailRashid-m8x
    @IsmailRashid-m8x 3 години тому

    Muongepeni Allah anakuonen na ktk majambo mnayoyafanya ni suala la muda, muda ukifika mtarejea kwa Allah na mtaelezea yote ambayo mlikuwa mnayatetea ya kipuuzi sana

  • @HabubaManeno
    @HabubaManeno 4 дні тому +5

    Innalillahi wainnalillahi rajiimu, eti tunu ya taifa!!! Badala uwashajiishe watu na waislamu wampende na kufuata mtukufu wa darja Muhammad swala na salam ziwe juu yake, pamoja na maswahaba zake watukufu ww uaendeleza njaa kumpamba mtu tapeli mlafi na maisha ya kidunia....??

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 3 дні тому +2

    Mbona mnampigia sana debe nyinyi weto wapigaji njaa haina adabu sasa mnapotosha watu baada ya kumuabudu Allah mnataka kutuingiza kwenye ushirikina

  • @karimabubakary385
    @karimabubakary385 2 дні тому +3

    Kinacho nishangaza mpaka sasa ni sheihk mazinge kuingia kwenye mtego huu inaumiza sana

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 2 дні тому +1

    Alhamdulilah nehma alasunnah. Ikiwa mtu wa sunnah huwezi kubali hadith hizi za abunuwasi

  • @AyubKasirani
    @AyubKasirani 4 дні тому +5

    MAZINGE UNAPOTEZA MUELEKEO HTA ULIOWASILIMISHA WANAKUONA HUNA MAANA BALI NJAA INAKUSUMBUA

  • @AbeidNurdin
    @AbeidNurdin 4 дні тому +5

    Msiba mzito huu na mazinge anatutia wasiwas sharifu ana manager na ana baunsa si msanii huyu😢😢

  • @DStarTz-if2ko
    @DStarTz-if2ko 4 дні тому +8

    Sharifu anamuombea samia ucha Mungu wa wap nyie ni matapeli na Mungu awadhihishe

  • @allymuhammad325
    @allymuhammad325 День тому

    Hatari sana, Allah atusitiri, dah

  • @MusaRamadhani-wj2dw
    @MusaRamadhani-wj2dw 3 дні тому +1

    Wacheni uwongo mayai viza katapika hii Kali njaa mbaya sana sana

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud 4 дні тому +2

    Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah namshukuru mungu tena sana kua mwislam dini iliyoo nyookaa na isiokua na shaka juu yake alhaamdulilaah uislam raahaa sana alhaamdulilaah hapo aingolewi kuhusu maulidi Au kuchinja mbuzi Au ngombe nyinyi wanafki sana nyinyi mliongea kuhusu maji hayo uoako nyinyi wanafki wakubwa sana wanafki wakubwa na matapeli wakubwa sana waislam mmekua kama wakristo msibaa mkubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam wenzangu mmekua wanafki wakubwa hapo hayo mambo kwanza msimtaje rais mamã Samia hapo mama Samia ni wa watu wote waislam mpaka wakristo kwanza nyinyi ni matapeli wakubwa inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn poleni sana waislam

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 2 дні тому

    Huyo shkh alikicheeeza na majini wakupaaa juu

  • @HannanSheekale
    @HannanSheekale 4 дні тому +3

    Njaaaa tupu washenzy

  • @abdallahmindika1641
    @abdallahmindika1641 4 дні тому

    ALLAH AWAFANYIE WEPESI INSHAALLAH KWANI VITA NI VIKUBWA LAKINI WOTE NI WAJA WA ALLAH NA KILA MTU ATAPOKEA KITABU CHAKE' FANYENI KAZI HAKUNA WA KUZUIA HILIII AL ISLAM HAKKU❤❤❤❤

  • @HusseinMungumbele
    @HusseinMungumbele 3 дні тому +1

    Sheikh anameneja sijaelewa inamaana ishakuwa kampuni

  • @beckasmart9738
    @beckasmart9738 3 дні тому

    Dah kweli njaa noma
    Acheni bhasi njaa bhana

  • @HusseinMatola
    @HusseinMatola 2 дні тому

    Mungu niongoze kwahili

  • @khalidabdallah-i3c
    @khalidabdallah-i3c 4 дні тому +17

    Hamna lolote njaa zinawashumbu ila mkae mkielewa mtakuwa mas uly siku ya qiyama acheni njaa mcheni Allah ukweli wa kumcha

    • @halimamohammed3580
      @halimamohammed3580 3 дні тому

      Jua Kali mweee halima jinsia wala umri kila MTU kinamramba na wala hawaogopi siku ya kiama wala kaburi

    • @abduliashiru9394
      @abduliashiru9394 3 дні тому +2

      Yaaani wanaifanyia Dini ya Allah mchezo ivi kweli jamani waislamu tufanye kazi tutafute riziki ya halali na sio uvivu na ujinga wa namna hiii mpk mnaalibu dini ya ALLAH

    • @kayagoAziza-z2c
      @kayagoAziza-z2c 3 дні тому

      Mh tumeingiliwa na kiboko ya wachawi katika uislam mungu tuongoze na utupe mwisho mwema

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 2 дні тому

      Nakwambia kila mtu kinamramba dah si mtoto si mtu mzima😅😅😅​@@halimamohammed3580

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 5 годин тому

    Mawahabi nyinyi hamna lolote isipokuwa munasumbuliwa na hassadi na roho mbaya tu.

  • @JumaMwanga-xd9gy
    @JumaMwanga-xd9gy 4 дні тому +2

    Mnamjua wap... Uyu tumemwona uyu akishirikiana n yule mshirikina Freemason chifegodlove... Sas Sarufu gani

  • @chamaibra5966
    @chamaibra5966 4 дні тому +2

    Shekhe sharifu na group.lake akiwemo mazinge hawana elimu wala karama za sifa kujitangaza bakwata chukueni hatua au ndio wale wale hakuna hukumu hata kutangaza ng'ombe 60 ni wizi utapeli na riyaa

  • @SaadIssa-c9o
    @SaadIssa-c9o 4 дні тому

    Mcheni Allah enyi binadamu,wacheni kushiriki njaa zenu,kumbukeni kuna siku mauti yatatufikia na tutakuwa na maswali mengi ya kujibu😢😢

  • @IsmailRashid-m8x
    @IsmailRashid-m8x 3 години тому

    Someni na mfahamu na mjitambue, maana kuna kusoma na ufahamu.

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 День тому

    Acheni njaa mpaka kiama nyinyi hamtobadilika

  • @ShawwalSRamadhan
    @ShawwalSRamadhan 3 дні тому

    Nyie ni waganga wa kienyeji acheni kutudanganya

  • @YusraSharif-kd7pc
    @YusraSharif-kd7pc 4 дні тому +1

    Mh,kwel hiooooo,na wl c mazingaombwe tuu

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 4 дні тому

    Daah kwel sio poa maisha ndio yanazid kua magumu

  • @IsmailRashid-m8x
    @IsmailRashid-m8x 3 години тому

    Ila rudin darasan na mumuongope MANAN

  • @RmoShamte-h9f
    @RmoShamte-h9f 3 дні тому +1

    Sharifu anaye meneja duh

  • @AllyHamisi-c7j
    @AllyHamisi-c7j День тому

    Sio kitu shekhe hiyo,ni imani na yakini juu ya bismillah,ndio alimuonyesha na wewe na mimi tunatakiwa tuwe na imani na yakini juu ya maneno ya Allah na mtume swalallahu aleih wasalam,wengi wa waislam hawana imani na yakini tu.

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 4 дні тому +1

    Waganga wa kienyeji njaa zimewajaa acheni kudanganya watu hamna tofauti na mwaposa kabisa

  • @saidmohamed6543
    @saidmohamed6543 2 дні тому

    Wallah wameona watanzania hawajasoma dini ndio watu wa kutapeliwa ushauri waislan someni dini yako ili ujue njia za kujinasua na mambo kama haya

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 4 дні тому

    Ni lazima ukila lazima useme bismilahi

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 4 дні тому

    Sheh ACHA njaa muope mungu huwezi kujibu sababu huwo ni mtandaowenu wa kupiga pesa

  • @ShaliJamal-d9i
    @ShaliJamal-d9i 4 дні тому +1

    We mweyewe mlevii sharifu mkundu

  • @HassanOsimine
    @HassanOsimine 2 дні тому

    pengine sharifa lkn c oni sharifu hapa,njaa tuu

  • @SaidMkome-q5t
    @SaidMkome-q5t 2 дні тому

    Njaa mbaya akuna shekhe hpo eti meneja wake maji Yana nguvu Sana😁😁😁 mungu Gani uyo

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 2 дні тому

    Nyie mna tengeza na masharifu kwa lengo lakula mali za wtu kwa njia za batili

  • @jumaamirisaid4256
    @jumaamirisaid4256 4 дні тому +1

    Mazinge ni kama afisa kipenyo vile

  • @Mariam-ke4og
    @Mariam-ke4og 3 дні тому

    Alisema ni zaidi ya upako sasa tumueleweje

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 19 годин тому

    Huyu njaa imehamia kichwani

  • @IdrissaMoussa-tx7jy
    @IdrissaMoussa-tx7jy 4 дні тому

    Innalilah wa innalilah rajiwuna acheni jaa wushililina tu

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 2 дні тому

    Nyie mna danganya waatu masharifu feki

  • @JumaAthuman-bk6hx
    @JumaAthuman-bk6hx 4 дні тому

    YAANI MATAPELI WOTE WANATAPATAPA WAMEGUSWA MAKALIO PUMBAVU WE ONGEA YOOTE ALLAH ATAWADHALILISHA,HATA AKIONGEA KUPE MWISHO WENU UMEFIKA,MAZINGE NI TAPELI MKUBWA.NINYI JIKINGENI KWENYE UISLAM,HATUTAKI UCHAFU WENU,MATAPELI WAKUBWA NYIE ALLAH AWATOKOMEZE WOOTE WACHAWI WAKUBWA.

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y 4 дні тому

    Yesu Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zenu...

    • @yusafbayu7016
      @yusafbayu7016 4 дні тому

      Ame wa fia Hao mnao waombea wa Israeli sio sisi

    • @HuseynDaudi
      @HuseynDaudi 2 дні тому

      Kwa hiyo kama yesu ali kufa kwa ajili ya zambi zao aendelee kutapeli sio acha ubwege na uzezeta weye fala hakuna alie kufa kwa ajili ya dhambi ya mwingine Hata akili iliyo salimika na ukichaa na utahira haikubali hilo

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 4 дні тому

    Mazinge unapotea shekh

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 дні тому

    Sharifu anavaa mapete teleeee na micheni sijui mitasbihi km wanavovaa washirikina. Acheni uchawi uo

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 дні тому

    Njaa tupu!!! Matapeli na mijambazi watupu!!

  • @omari-vo7dy
    @omari-vo7dy 4 дні тому +3

    Hkna Karama inaokuja bila ya elimu kwa sababu elimu ndio inayompelekea mtu kumjua mwenyezimungu na dini sasa kama Hana elimu hii Karama itkuja vipi matapeli kweli!!

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 4 дні тому

      Wewe mjinga mtoto anazaliwa na amehifadhi quran bila ya kusoma lkn nyinyi ni wajinga na sheih wenu kishky na hasada mtapata maradhi mungu amempa karam a mtake msitake

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 4 дні тому

      ​@@saidalhinai1131 kina kana manyau nyau kinaramba ramba kutowa vitu mnavyo vijenga kuaminisha watu washilikina wakubwa nyie mnaingia mitaan kutowa vitu waganga washirikina tu kama washirinina wengine

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 4 дні тому

      Mbn mtume hakusoma dini lkn alipewa karama na tunamfuata leo? Tueleze kwanini

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 4 дні тому

      Inaeza kua alızaliwa hvyo lkn mapete mengi ya vito yann?

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 4 дні тому

      Mtume S.A.W sote tunajua km mwalimu wake alikua ni Jibril.

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 дні тому

    Sharifu anavaa mapete teleeee na micheni sijui mitasbihi km wanavovaa washirikina

    • @ZariaAbdullah-r5t
      @ZariaAbdullah-r5t 4 дні тому

      Usi umize kichwa huyu nimshirikini etiana miujiza basi itakuwa ni mtume mbwa kweli huyu

  • @salisali3738
    @salisali3738 4 дні тому

    Wote muma tapeli na waongo Uongo mwengine eti ana karama

  • @alimohdkhatib2443
    @alimohdkhatib2443 4 дні тому +2

    Tumche Allah pumz zisituhadae

  • @ImuNyenga
    @ImuNyenga 4 дні тому

    Wameanzisha mtandao wa kiutapeli...matapeli.

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 4 дні тому +1

    Itskil Allah nyinyi kipawa gani makarama gani alopewa nyie njaaa inakusumbuweni mrudieni Allah acheni unafik mnaitia dowa dini ya Allah muogopeni Allah na siku ya malipo Njaaa unakutoweni kwenye imani nyinyi

  • @talibali-t5t
    @talibali-t5t 4 дні тому

    Njaa unakusubueni😮

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n 4 дні тому

    Shekhe unaongea uongo hata aibu huna inamaana siku hiyo muliruka Acharya hizo bwana fantastic kazi upate pesa na sio kupotosha watu unaongea wewe sisi huku tunaona aibu kwwa Kaulitz zako

  • @Tabibuibrahimu
    @Tabibuibrahimu 3 дні тому

    Hatutaki upotoshaji usharifu.kaupata wapi mwenye karama huwezi kumjua Acheni uotoshaji

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 4 дні тому +6

    Kwa nini mnatumia nguvu nyingi sana kuaminisha umma kwamba huyo jamaa yuko vizur,hii ni dalili mbaya sana kitu kizur huwa kinajitambulisha chenyewe wala hakuna haja ya kukipigia debe

    • @Sh_Taqee
      @Sh_Taqee 17 годин тому

      Jiulize: Kwa nn itumike Nguvu nyingi sana kuaminisha umma kwamba huyo usiyempenda wewe (Sharif) hayuko vzr na sio Sahihi Tiba yake?! Hiyo kwako sio dalili mbaya?!
      Kumtetea mtu ... kwako wewe ndio inakuwa Dalili mbaya?!

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 4 дні тому +1

    Atuna shida na masharifu wakishikina kama awoo.mazinge anafuata na upepo.

  • @zaiyanahashim6990
    @zaiyanahashim6990 4 дні тому

    Tamaa tu zinawasumbua na njaa zenu

  • @KisuwaMwabaka
    @KisuwaMwabaka 4 дні тому

    Nyeso zimewatoka Nuru Kwa ushirikina na uongo

  • @Omaryhamad-l9h
    @Omaryhamad-l9h 4 дні тому

    Matapeli wakubwa😢😢😢

  • @AyubKasirani
    @AyubKasirani 4 дні тому

    WALLAHI MUNGU ATAWAHUKUMU KWA KUHARIBU DINI WATU KMA NYINYI

  • @HussainMaula-f9b
    @HussainMaula-f9b 3 дні тому

    Washirikina tu nyinyi

  • @NafiounMohamedChioni
    @NafiounMohamedChioni 2 дні тому

    Nyie mna cheeza na mashetani waki freemasson

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 4 дні тому

    Acheni ushirikina mm ndio hua nasema watu wabara wanatuharibia dini njaa ,tamaa,kujikweza vinawasumbua

  • @aishamuhammad7785
    @aishamuhammad7785 4 дні тому

    Povu linawatoka kwa kutetea batili, Mazinge kwakweli unatutia aibu shekhe wetu

  • @JamaliAmour-jp9dd
    @JamaliAmour-jp9dd 3 дні тому

    Kishki hawez kukurupuka ww

  • @SaidHamad-d3n
    @SaidHamad-d3n 4 дні тому +1

    Tobaaaa mijambazi ishaungana Sasa mijambazi wanaleta ukristo kwenye uislam njaaaa hiyo

  • @abdullabdull5771
    @abdullabdull5771 4 дні тому

    Kwanini Allah asimpe mtume karama tu bali elimu

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 4 дні тому

    HAKUNA KARAMA WALA KARAMU APO HAKUNA KITU Mweupe Uyo Kabisa

  • @kibedikamba7616
    @kibedikamba7616 3 дні тому

    Mijilimwengu ayo

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 4 дні тому +3

    ACHA UPUUZI WAKO WA KUTETEA HIZO TIBA ZA KISANII...TATIZO HAMTOI DALILI ZA HADITHI AU QUR AN ZA KUFANYA HIYO TIBA

  • @RAMADHANAllykibanga
    @RAMADHANAllykibanga 4 дні тому

    Jamani embuacheni wizi munaofanya

  • @HussainMaula-l1s
    @HussainMaula-l1s 3 дні тому

    Kubwa zima linaendekeza njaa shekhe meneja wake ni mtume na na Allha mimi nimesoma kwa shekhe Ramia miaka 15 sijawahi kusikia shekhe Ana meneja nyie washirikina .

  • @AyubKasirani
    @AyubKasirani 4 дні тому +1

    NINGEKUWA NA UWEZO WALLAHI MSINGEFANYA UPUMBAVU KMA HUU KATIKA DINI YETU ILIYOTUKUKA

  • @MaryamMashaka
    @MaryamMashaka 4 дні тому

    Kama Jina lako ni Christopher tutaamin vip

  • @FatuNahimana
    @FatuNahimana 3 дні тому

    Watanzania mna tiya ayibu dini mbona hamu eleweki nyiye

  • @5amediaonline335
    @5amediaonline335 4 дні тому

    Kwanza Mlivo tu Hamna Nuru km ya KISHKI kwasabbu Sala zenu hazipo Swa

  • @fay9687
    @fay9687 4 дні тому +1

    😂😂😂😂😂 wacheni njaaa

  • @JonasPhilimon
    @JonasPhilimon 4 дні тому

    Mimi ni mkristo ila kwenye maisha ukiwazid kitu watu lazdhima kunariho ya wivu itaibuka

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 4 дні тому

      Hapa wivu, katika uislamu kila ibada inatakiwa ifanywe kwa mujibu Quran na Sunnah.
      Hata Yesu alisema watatokea manabii wa uongo na kuwadanganya wengi yamkini hata wateule, watu hao watafanya miujiza kama ya kuponya na mengineyo.(Kasome Mathayo 24:24)

  • @ramadhaiddymakala861
    @ramadhaiddymakala861 4 дні тому

    Nyie niakina mwamposa mmejifichia kwa dini ya ALLHA

  • @ramadhanikimweri1240
    @ramadhanikimweri1240 3 дні тому

    Kwani nini waisilamu mnamatatizogani mbona kulikua namasharifuwengi kwani mtu akiitwasharifu ameitwamtume au ameitwamabii mashekhezetu waelewesheni watu vituvyamsingi elimisheni watuelimu kwani mtu akiitwasharifu niharamu

  • @MudathirSaid-i9e
    @MudathirSaid-i9e День тому

    ote nyinyi wezi mataperi njaa kari

  • @nurdinhoza
    @nurdinhoza 4 дні тому

    Msifos anzeni upwa

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 4 дні тому

    Nynyi ni washirikina Acheni ujinga

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 4 дні тому +1

    Nyie mnacho fanya si tafauti na wa kristu mana mna taka ku geuza maneno mwanzo mme sema wenye we ni mafuta ya upako na maji aje sasa sheikh ana meneja nyie wa Tanzania please achen bana. Kwanza pigia mstari maulidi ni makosa na ni uzushi ndo mana kishk mta mtusi sana sababu hayumo kwenye mambo hayo ya maulidi

  • @umeaperfume-hs2gi
    @umeaperfume-hs2gi 3 дні тому

    Yupo vzr

  • @Omaryhamad-l9h
    @Omaryhamad-l9h 4 дні тому

    Njaaa inawasumbuwa

  • @wagabwagab-md7rt
    @wagabwagab-md7rt 4 дні тому

    Ety mafuta ametengeneza mwenyew ila wizi😂😂😂😂

  • @skysuleshfootballnews2741
    @skysuleshfootballnews2741 4 дні тому +1

    Waatu wanakarma lakini sio uyo miwani Bana nyieee😂😂

  • @Mauya23
    @Mauya23 3 дні тому

    Kama ni mimi ningesoma Comments za watazamaji kisha kufanya maamuzi sahihi,

  • @KassimMtima
    @KassimMtima 4 дні тому +2

    Acheni kutuchafuwa na njaa zenu wemeneja gani shule huna ata helimu yahahela bado

  • @mohammedmasudi-dz6hb
    @mohammedmasudi-dz6hb 4 дні тому

    KUKATAA KULIMA2

  • @kazinaimwishehe-ec3xu
    @kazinaimwishehe-ec3xu 4 дні тому

    Mashehe wapiga dili awa

  • @ChampioniMjelumani
    @ChampioniMjelumani 4 дні тому +1

    Hata wakristo wanabatiza kwa maji acheni kupotosha watu