WAKAMATWA KWA KUGHUSHI VYETI, KAMANDA MTAFUNGWA AFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @Kasimabbas-gg4bv
    @Kasimabbas-gg4bv 6 місяців тому

    Yotë hiyo sababu madereva hawana pesa ya kusoma ,na niwengi hawana veti ,ila wana barua za huakiki vinatoka wapi

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 9 місяців тому

    MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU WANAFIKI MADHALIM MAKAFIRI WEZI WANAFIKI WAONGO HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN 😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮MNATULETEA FUJO RUDINI MAKWENU 😮😮😮😮😮😮

  • @mabruockkhalid6804
    @mabruockkhalid6804 11 місяців тому

    Duuuh..!! Ajali haizuiliki kwa ukaguz wa chet bali ikitokea imetokea yaan mnajisumbua bure na kinachoendesha sio leseni au cheti ni binadamu kama nyie kwahiyo ajal hua inatokea bahati mbaya kwan hakuna anayefanya kusudi kuanguka na gari

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Рік тому

    KWA SABABU HATA NYINYI LEO UNAMPA MTU LESENI KESHO UNAMWAMBIA HIYO LESENI AIFAI SAWA NA KUMWAMBIA LESENI YAKO NI FEKI TENA ETI LESENI IHAKIKIWE UPYÀA WAKATI MLIITOA NYINYI WENYEWE...

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 10 місяців тому

    Jaamaani lazima kunamtu mkubwa nyuma

  • @allymadenge4603
    @allymadenge4603 Рік тому

    WATU WANA ROHO NGUMU YAANI UNA CHETI CHA BANDIA. HARAFU UNAJIPELEKA NACHO POLISI

  • @jeremiahmwasomola1252
    @jeremiahmwasomola1252 Рік тому

    Yote mmeyataka nyie kila siku mnakuja na jipya

  • @goodlucktarimo6170
    @goodlucktarimo6170 Рік тому

    Duuuu

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 Рік тому

    KWA SABABU HATA NYINYI LEO UNAMPA MTU LESENI KESHO UNAMWAMBIA HIYO LESENI AIFAI SAWA NA KUMWAMBIA LESENI YAKO NI FEKI TENA ETI LESENI IHAKIKIWE UPYÀA WAKATI MLIITOA NYINYI WENYEWE...