Weee ! Hii story inapandisha sana 🇰🇪. Mbao kwa shavu hadi unaona stars kidogo goti kwa kengele,kitambo ufungue macho msumari kwa goti. Ukilialia ati eee! Kisu kwa paja. Ongea haraka eeee! Risasi kwa vidole za miguu. Weee!Hii ni noma noma
Mkuu waichii anapenda wanawake yani hajui yy anaingia kumi nanane zahuyo dada natena nikama yy ako ndani ya hiyoo sarafu 15 yule tajiri atasema majina yote nayy akiwa ndani yani huyu tajiri ameingia 1018 za Ashiraf 😀😀😀😀😀
Nasikiliza tokea Kenya 🇰🇪 asante sana kaka Felix kwa mwendelezo but naomba mwendelezo wa gobole la urithi tafadhali
Wakwanza naombeni likes zenu teletele jamani 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
Following 🇰🇪😊
Raisi dawa yako ipo jikoni 🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣 na Cleopatra 💪💪💪👌👌🤞🤞
wueeeeh Naona tayari mshazidi kusonga mbele ebooo😂😂😂🇰🇪,sasaa mm nitawapata kweli njiani😂😂😂
Weee ! Hii story inapandisha sana 🇰🇪. Mbao kwa shavu hadi unaona stars kidogo goti kwa kengele,kitambo ufungue macho msumari kwa goti. Ukilialia ati eee! Kisu kwa paja. Ongea haraka eeee! Risasi kwa vidole za miguu. Weee!Hii ni noma noma
Nipewe likes pia mimi Leo nimewahi
Ujanja kuwahi❤❤🎉
Kaka philexy nyuma ya🎤🎤
duh noma sana mchumba hasomeshwii kabisa nikweli
Shukran sana simulizi mix 🎉🎉 Ramadan Mubarak to all muslims
Tupo kaka🎉🎉🎉
Asate sana simlizi mix fellix mweda Mbalikiwe sana
😢tupo pamoja Felix wangu
Bado naishi😘🥰🥰
aaawe raisi anapiga magoto aaaasubuuutu chezea wewe shikamoo mahaba marahaba mapenzi 😮😮
On time 😊
Waooo kk felix ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
kaz nzur felix ila naomba gobole la urithi liendelee
🔥🔥🔥👌
Nice😊 0:22
Wakumi nambili leo jamani
Mmmmh mtuhumiwa anatoa masharti 😂
Pamoja
🙌
Mkuu waichii anapenda wanawake yani hajui yy anaingia kumi nanane zahuyo dada natena nikama yy ako ndani ya hiyoo sarafu 15 yule tajiri atasema majina yote nayy akiwa ndani yani huyu tajiri ameingia 1018 za Ashiraf 😀😀😀😀😀
Inaonekana hata vifo vya wazazi wa Aneria rais kahusika pia
Itakuwaje kama Ashrafu ataungana na Aneria ili kujua ukwel wa familia zao