Darsa zuri sana Mashaa Allah! Yaani hapo Sheikh umefanya vizuri sana kuelezea namna kujitoharisha baada ya hali hizo hususan janaba kwani wengi wao hapo hawajui kabisa kabisa namna ya kuoga josho hilo! Allah akulipe kheri nyingi sana duniani na akhera. Ameen
Shukuran Darsa zuri sana nashauri pia uje na Darsa la kurinyuu ibada ya swala jinsi ya kuswali watu wengi tunaswali kwa kuiga tu lakini hatujui na kusoma hatutaki
Sheikh nauliza manii ni gani hayo?, kwa sababu kuna maji yanayotutoka sisi wanaume punde tu unapopata matamanio, swali langu je ni lazima nkaoge janaba pia?, sababu mimi kila nkizungumza na mke wangu basi maji hayo hunitoka, assalam aleikum,,
Assalaam alaykum ndg yangu. Hayo maji si manii (jina lake nimesahau). Hiyo ni najisi, kwa hiyo utaosha sehemu hiyo na kama imechafua nguo basi ioshe pia hiyo sehemu. Ni kama vile haja ndogo au kubwa. Baada ya hapo tawadha ukaswali. Wa Allahu a'alam.
Huu Nao Kwako Nimtihani. Jitathminishe. Kwamaana watu Wanaelekea Kushoto Wewe Unaenda Kulia. Watu Wanaelekea Kulia Wewe Unaelekea kushoto. Khasara Yako Nakwako. Nasababu Kubwa Nikuwa Wewe Umebaki Kuwa Na Elimu. Bila Kupata Baraka Ya Elimu. Ishu Ni Twahara. Wewe Unaleta Za Baluktaa Na Bakwata.
Sheikh fafanua juu ya swala zima la kutokwa na manii, jee kama nimeshikwa na hamu nikatokwa na majimaji yale ya awali na si zile mbegu halisi je bado nitalazimika kuoga janaba au ni najisi tu kama haja ndogo au kubwa?
Kufanya mapenz ama kutokwa na mambo ya kike ama kiume dawa ni kuoga usafishe kila mahali. hakuna utaratibu wowote maana hivyo vitu ni najisi vikishakuwa nje ya mwili. Aliyewaletea utaratibu wakuoga ama kuanza hichi uende hichi amewachezea tu akili ili muone muna dini. Huo ni uchafu unatakiwa uoge mara moja kabla hata mwanao hajakishika. acheni uchafu.
Pia umesema baada ya kujisafosha unatia udhu then onaoga janaba sasa unapate udhu huku una janaba! Nini umuhimu wa kutia udhu kabla ya kuoga janaba halafu ndio uoge janaba? Kuoga janaba ndio kunako weza kuchukua nafasi ya kutia udhu kama hujajishika tupu zako na sio udhu kabla ya janaba tafadhari fafanua
Unaweza pia ukaanza kuoga janaba kisha utie udhu.. wanazuoni wametofautiana ktk kipi kianze. Cha muhimu ukimaliza usiwe umeshika tupu kabla ya kuswali.
@@ahz6907 Akhsante kwa ufafanuzi lakini sioni sababu ya wanazuoni kutofautiana katika hili, maana hakuna udhu unapatikana ilihali una jababa sasa unatia udhu kabla ya kuoga janaba ili iweje?
Okoka ww acha kupotezea watu muda.Baki mwenyewe kwenye dini ya mtume anayeoa mtoto wa miaka 6 na kumlala akiwa na miaka 9(Aisha) Dini ambayo mungu wake atawazawadia mboo ndefu isiyo na mwisho uke wenye kina mrefu sana na matiti makubwa pombe wanawake72 kwa wote watakaoungia janaa.😂😂
Aliyoyazungumza Shekhe hapo yanatuhusu sisi Waislam..wewe hayakuhusu kbs haya ndio mana huyaelewi...! Sisi tunafuata sheria za Mbinguni ktk Dini yetu tofaut na wewe unaetungiwa tu na walevi mfano wako!
Allah akulipe kwa elimu hii unayoitoa kwa jamii.Inshaallah.
MASHAALLAH Mungu akulipe kwa juhudi yako ya duniani na kesho akhera
Kuhusu kuoga umeongea kwa ufasaha sana na kwa lugha nyepesi imeeleweka
Fanya na swala ieleweke kama hivyo. Indelea sheikh uko vizuri sana...
Shukran
Shukran sheikh wetu mawaiza mazuri sana
Asante mungu akupe afya njema
Alhamdullillah unafanya dini ionekane nyepesi Mungu akulipe kila la heri
Darsa zuri sana Mashaa Allah! Yaani hapo Sheikh umefanya vizuri sana kuelezea namna kujitoharisha baada ya hali hizo hususan janaba kwani wengi wao hapo hawajui kabisa kabisa namna ya kuoga josho hilo! Allah akulipe kheri nyingi sana duniani na akhera. Ameen
Inshaallah,Allah akuongezee
Allah akulipe shekhe kundecha
Shekhe Kundecha Mimi nakukubali sana
Mash Allah tabarak Allah kheri, Jazzak Allah kheri shekhe.
Allah akuhifadhi
Shukuran Darsa zuri sana nashauri pia uje na Darsa la kurinyuu ibada ya swala jinsi ya kuswali watu wengi tunaswali kwa kuiga tu lakini hatujui na kusoma hatutaki
Ni vzr ukaenda Madrasa
Jazaaka llah
Mashallah tabarakallahu
Shukran Sheikh wetu
Mashallah jazakallah
Asante shekhe kwa elimu muhimu
Alla akulipe kila la kheri kwa Darsa hii
Maashaallah nimeelimika
Mashaa Allah ukumbusho wenye manufaa tuufanyie kazi kukamilisha ibada zetu zisiwe namashaka
Baaraka llahu fik
Shukran kwa mafunzo
JAZAQALLAH
Alhamdulillah nimeelewa
Tumefurahi kama umeelewa
Maashallah, darsa nzuri sana.
Kheiran inshaallah
Shukran sheikh
Shukran sana sheikh
Jazakallah khayran
Jazzakumllah khair
الحمد لله
Masha Allah
Asante.
Zakallah khair
Umeharibu sana kutia picha za wanawake apo
Umepata matamanio?😂
@@ahz6907😂😂😂
Sheikh nauliza manii ni gani hayo?, kwa sababu kuna maji yanayotutoka sisi wanaume punde tu unapopata matamanio, swali langu je ni lazima nkaoge janaba pia?, sababu mimi kila nkizungumza na mke wangu basi maji hayo hunitoka, assalam aleikum,,
Assalaam alaykum ndg yangu. Hayo maji si manii (jina lake nimesahau). Hiyo ni najisi, kwa hiyo utaosha sehemu hiyo na kama imechafua nguo basi ioshe pia hiyo sehemu. Ni kama vile haja ndogo au kubwa. Baada ya hapo tawadha ukaswali. Wa Allahu a'alam.
Mashallah
A.alykm. shekhe. Hivi inafaa kujisafisha Kisha ukakoga kueneza maji mwili mzima mwishon ndo ukatia udhu?
Jazaka lalh kheri
ushakwisha kazi ushalitadishwa nabakwata mwanzo nilikua nakukubali sana ilakwasasa Dunia imekujaa
Huu Nao Kwako Nimtihani. Jitathminishe. Kwamaana watu Wanaelekea Kushoto Wewe Unaenda Kulia. Watu Wanaelekea Kulia Wewe Unaelekea kushoto. Khasara Yako Nakwako. Nasababu Kubwa Nikuwa Wewe Umebaki Kuwa Na Elimu. Bila Kupata Baraka Ya Elimu. Ishu Ni Twahara. Wewe Unaleta Za Baluktaa Na Bakwata.
Mnasihi kwalugha mzur
@@nurdinmfamau3493umemjibu vyema, halaf hakuna dhambi kubwa kama kumtoa mtu ktk uislam,Kwa mambo kijinga kama ya Taasisi nakadhalika
Akiwa bakwata kalidishwa acheni chuki wewe umeongoa wangapi kwenye kuwalingania
Poor mindset
Shukran sana.
Twayyib
Shekhee mie niko oman🇴🇲 miaka4sasa lakini huwa napiga punyeto jee inabidi nioge janaba na vipi zambi hii inahesabika nimezini
Laxima uoge Cox umetoa manii then manii yako sampuli 3 more information wakaribishwa
Kwakuwa manii yametoka basi unapaswa kuoga janaba.pili kupiga nyeto ni dhambi. Kama umefika baleghe tafuta mke uoe acha kujiumiza.
Shekh samahan kugusana tu
kwatupu bila kujamiiana hakulazimishi kukoga bali udhu unaharibika tu itambidi atie mwwngine
Kama unajuwa zaidi tuelimishe na sisi tupate kujuwa zaidi hapo umetuwacha njia panda
Sheikh fafanua juu ya swala zima la kutokwa na manii, jee kama nimeshikwa na hamu nikatokwa na majimaji yale ya awali na si zile mbegu halisi je bado nitalazimika kuoga janaba au ni najisi tu kama haja ndogo au kubwa?
hayo ni madhii, hutakiwi kuoga janaba...jisafishe tu na sehemu ilipoingia kwenye nguo
ndugu tunaomba picha za wanawake usiweke kwenye video kama hii
Jaman hata kama umesoma vp achani kutoleana maneno mabay sisi sote ni waislam kila Moja afikishe daawa hapana bakwata wala vikanzu sisi sote ni ndugu
umesema kweli
Kufanya mapenz ama kutokwa na mambo ya kike ama kiume dawa ni kuoga usafishe kila mahali. hakuna utaratibu wowote maana hivyo vitu ni najisi vikishakuwa nje ya mwili. Aliyewaletea utaratibu wakuoga ama kuanza hichi uende hichi amewachezea tu akili ili muone muna dini. Huo ni uchafu unatakiwa uoge mara moja kabla hata mwanao hajakishika. acheni uchafu.
Ktk uislam kila kitu kinataratibu.
Nyie manchangia kueneza fitna. Mnaonyesha wanawake wakiswali kwa nia gani?
Allah awaongoze
Pia umesema baada ya kujisafosha unatia udhu then onaoga janaba sasa unapate udhu huku una janaba! Nini umuhimu wa kutia udhu kabla ya kuoga janaba halafu ndio uoge janaba? Kuoga janaba ndio kunako weza kuchukua nafasi ya kutia udhu kama hujajishika tupu zako na sio udhu kabla ya janaba tafadhari fafanua
Unaweza pia ukaanza kuoga janaba kisha utie udhu.. wanazuoni wametofautiana ktk kipi kianze.
Cha muhimu ukimaliza usiwe umeshika tupu kabla ya kuswali.
@@ahz6907 Akhsante kwa ufafanuzi lakini sioni sababu ya wanazuoni kutofautiana katika hili, maana hakuna udhu unapatikana ilihali una jababa sasa unatia udhu kabla ya kuoga janaba ili iweje?
Kwani ungeweka picha ya wanaume wenzako usingeeleweka ww jaahili mbona unatuonesha fitna
Okoka ww acha kupotezea watu muda.Baki mwenyewe kwenye dini ya mtume anayeoa mtoto wa miaka 6 na kumlala akiwa na miaka 9(Aisha)
Dini ambayo mungu wake atawazawadia mboo ndefu isiyo na mwisho uke wenye kina mrefu sana na matiti makubwa pombe wanawake72 kwa wote watakaoungia janaa.😂😂
ALLAH akuongoze ndugu
Aliyoyazungumza Shekhe hapo yanatuhusu sisi Waislam..wewe hayakuhusu kbs haya ndio mana huyaelewi...!
Sisi tunafuata sheria za Mbinguni ktk Dini yetu tofaut na wewe unaetungiwa tu na walevi mfano wako!
Siku itafika na utajutia haya maneno yako
Tunakupa muda tu
Sisi hatuna shida na maneno yako machafu tunakushtua ubadirike
Mi nikiona mtu anakejili imani za watu na dini zao basi huwasiamini kamanitimamu😊achakebehi na dini flani plz cyo vizuri
Nguruwe mbwa koko shetani