Ubarikiwe sana kwa Neno la Mungu Mtumishi wa Bwana, ila wanawake wanaroho ngumu sana richa ya kuambiwa kuwa manywele ya bandia,mawigi,hereni Yani kwa ujumla mapambo ni nidhambi lakini bado wanarukaruka nayo hapo kwa kweli ndiyo maana ya Yesu Kristo alisema hiki ni kizazi Cha ukaidi.
Hakika mwenyez mungu azidi Kuku tunza mchungaj na mwalim wangu❤
Amen glory hallelujah
Ubarikiwe sana kwa Neno la Mungu Mtumishi wa Bwana, ila wanawake wanaroho ngumu sana richa ya kuambiwa kuwa manywele ya bandia,mawigi,hereni Yani kwa ujumla mapambo ni nidhambi lakini bado wanarukaruka nayo hapo kwa kweli ndiyo maana ya Yesu Kristo alisema hiki ni kizazi Cha ukaidi.
Aminaa baba Kwa somo zuri sana
Amen
Amina
Aminaa kubwa
Amee
Tukopamoja 🙏🇨🇩
Kwa kwl Kwa stahili ya jpl tu,hkn kwnda mbingun