Help Radio maisha kwa juhudi zenu mnayoelemisha wasikilizaji wenu. Mimi ni shabiki sugu wa Radio maisha ingawa mulini let down na naona kidogo si hekma kuandika hapa. kwa hivyo naomba mukipata wakati mnipigie ili musikize Jambo inayonikera na naamini mtaiheshimu ombi wa msikilizaji wenu kwani Ni muhimu Sana na ningependa kujua uamuzi wenu. Mimi naitwa Mzee Mohamed toka Kitale Trans-Nzoia. Ahsante.
Beautiful and brilliant one ❤❤❤
Very Grateful kwa huyu Presenter kuwapatia Wasichana wetu kutoka Marsabit nafasi,to express themselves ,and for sure they have develived keep it
I have no doubt given the chance, you would outdo the crop of " leaders", . You're what Kenyans need
Keept up.gume
Very intelligent girl, we are proud of you Gume
Help Radio maisha kwa juhudi zenu mnayoelemisha wasikilizaji wenu. Mimi ni shabiki sugu wa Radio maisha ingawa mulini let down na naona kidogo si hekma kuandika hapa. kwa hivyo naomba mukipata wakati mnipigie ili musikize Jambo inayonikera na naamini mtaiheshimu ombi wa msikilizaji wenu kwani Ni muhimu Sana na ningependa kujua uamuzi wenu. Mimi naitwa Mzee Mohamed toka Kitale Trans-Nzoia. Ahsante.
We are proud of u gume dia 💗
Gume very intelligent lady. Good starf here.
Masha Allah ❤️ good job siz wewe niwa denge konso ama
Kiukweli gume
What a intelligent lady,👌
Mswahili kamili
Tulisoma na yeye laikipia uni