Mungu awasaidie muache huo uimbaji mwanzo mlikua vzr mnamtukuza Mungu but now mmeingia kwenye nyimbo za kidunia after being famous msiimbe kwa kuwafurahisha watu bali kwa kumtukuza Mungu wa mbinguni swali moja tu mjiulize Je!ndivyo Mungu anapendezwa na nyimbo zetu?yesu anakuja upesi ni wakati wa kubadilika adventists tumefika mbali sana kimuziki kwakwel Mungu atusaidie
huo ndo ufarisayo wenyewe sasa, kwani kuwa muadventista ndo usiimbe nyimbo za kuonesha furaha au walipaswa waimbe wamesimama kama milingoti?? hiyo haipo bro

You've nailed it, brothers!Keep it real and unstoppable in 2025
this is incredible 😍😍😍😍
Act like Adventists guys dunia Iko tu ....Mungu wetu n wa utaratibu
@@Saguda-x7y huo ni umbilikimo wa kiroho, acha ufarisayo ndugu yangu, hapo kipi kibaya? nani ametukanwa?
What a arrengment🔥
Favorite ❤
Hidden figure @Brother OBED JOHN MARK
Fire 🔥 Happy New year brethren
Sema brother Obedi you should parsue comedy too...too funny bro
The voice 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤣
Kali🏆🏆🏆🏆
Waooooooo nice 👍👍👍
Damn good 😂😂
❤
Happy new year fam❤
🎉🎉🎉 Good
Duuuh 😂😂😂
❤❤❤❤
hio liproll ni hatar beatbox
😁😁🙌🙌
😂😂😂😂😂 any way
💯
Hatar Sana 😂
Some One Seemed to be like Role models, So Sad😢
oza
Let we act as adventist dear the voice tz
Wako kazini boss , Jifunze kutofautisha
huo ndo ufarisayo wenyewe sasa, kwani kuwa muadventista ndo usiimbe nyimbo za kuonesha furaha au walipaswa waimbe wamesimama kama milingoti?? hiyo haipo bro
huo ndo ufarisayo wenyewe sasa, kwani kuwa muadventista ndo usiimbe nyimbo za kuonesha furaha au walipaswa waimbe wamesimama kama milingoti?? hiyo haipo bro
@@normanleslie4248 mimi nimemaliza siku Yesu akija tutatoa hesabu Mungu awabariki
Punguza ujuaji kwenye kazi za watu