Huo ni wizi wa bando zetu brand ya yanga ni kubwa mno kufanya vitu kama hivyo. Wewe mtangazaji unashusha hadhi ya brand ya yanga. Mbinu mbovu kama hizi waachieni waandishi uchochoro. Mashabiki tunajisikia kudhalilishwa na huo upuuzi.Sina tatizo na msheri kuongeza mkataba,ila mbinu za kula air time yetu ndiyo za kishamba
Naitwa wilfred.huyo ni Jonathan sowa Nipo Congo kasumbalesa
Napenda sowa
😊Nikiwa Dodoma, wilayani Bahi Mchito, atambulishwaye ni Jonathan sowa
Charles from uroa Tanzania
Safi
Huyo ni Sowa
Mambo vp kwa majina naitwa Mussa Mohamed mimi nazani ni Prince Dube
Anatangaza usiku ni wanga na ishara ya giza in sha Allah
Rabson from katoro Me naamin ni prince dube
Naitwa geniti cavanga namimi pia muishi maisha mazuri
Huo ni wizi wa bando zetu brand ya yanga ni kubwa mno kufanya vitu kama hivyo. Wewe mtangazaji unashusha hadhi ya brand ya yanga. Mbinu mbovu kama hizi waachieni waandishi uchochoro. Mashabiki tunajisikia kudhalilishwa na huo upuuzi.Sina tatizo na msheri kuongeza mkataba,ila mbinu za kula air time yetu ndiyo za kishamba
Umevaa suti lakini mwongo 😢😢
Jonathan sowa
Naitwa Godfrey mbilinyi kutoka iringa Tanzania huyo ni Jonathan sow
Huyu ni prince dube
Huyo atakuwa ni sowa
Uyo ni dube dube
6:56
Aziz kli extension.
Huyo ni dube niko shinyanga
naitwa sadiki huni azizi k
Mashine gani na ni mzawa au ni mgeni
Jonathan soa
Niko Arusha
Azizikii
Huyo jhonathan sowa
Niko ujerumani, nahisi Aziz K.
Huyo ni mwamba ki Azizi
PRINCE DUBE
Nasubili nikiwa mara
Atakuwa ki aziz
Jinathan
Nilo msumbiji
Naisubili nikiwa Kahama
Jonathan sowry
Mimi naona ni Jonathan suwa
Naipokea kutoka Ndola zambia
Macha from Tanga
Kamera
Atakuwa dube
Nipo Tarime, mashine Azizi k
Naitwa. Katebe kutoka shinyanga
Pamoja
Mozambique
Niko Dodoma nasubili nione hio
Atakuwa azizi ki machine ya kazi
Nakupata kutoka oman
Hebu acheni mambo zenu.
Machimbo buza Dar😅
Nipo kahama
Huyo ni sowa
Jonathan
Nikiwa fumba Zanzibar
Ni dube
Nikiwa jijini Dar
Jonathan sow
Kwangu mm naona kocha amifanha visur
Mmh acha ushamba mbwaa
Huyo ni dube mtaalam WA kuzungusha boli
Nasubiri Kupokea ujio huo mpya ndani ya DAR YOUNG AFRICAN nikiwa kilosa morogoro.
prince dube
Nikiwa masasi
Ninaitwa said soud nikiwa Kabanga Ngara.Anaenda tambulishwa anaitwa Dube.
Nasubili mashine Nilo msumbiji
Ninyi mna maneno mengi bila maelezo mnaboa
Mwamba ni jonathani soa mtangazaji wangu
Mkude
Ni DUBE
Brayson mbise ni soa mtangazaji
Nipo mtukula uganda
Naku pata kutoka Arusha Tanzania hogeleni sana
Mim juma huyo niazizi
Atakuwa Dube
Nipo singida
Jonathani sowaa Musa songwe vwawa
Niko mbinguni nahisi ni emanueli okwi😅😮
Kafirwe.uko
Bhana eee hiyo mashine itakuwa ni Mangungu.
Nipo dar ni dube huyo by Jenipher
naitwa modu niko Pemba Tanzania mashine inayotangazwa ni Jonathan Sowa
sher
Huyo ata kuwa sowa
jonathan sowa
Atakuwa price dube
Nasubili nikiwa songwe
Kwa majina naitwa garus mchezaji atakayetambulishwa atakuwa Jonathan sowa
Huyo atakua ni dube
Huyo ni mwamba wa gadugu Azizi k
PETRO ALFRED Athuman,kutoka sumbawanga Anaya tambulishwa ni prince dube.
Acha ya hivyo, utapotea
Kibabage ndio anatagazwa makelele agustino mtembezi kutoka itigi mkwajuni
Nasubiri kifaa hicho nikiwa mkoa wa Geita
huyu hapa ni azizi k
mii nimepokea kwaflah nashangwe maan nimwana jangwan mwenyewe
Naitwa nursery jr kutoka dar uyo ni dube
Kumbe hata waandish hua ni mwezi mchanga!?
Mashine gani ya kusaga au ya kukoboa
Azizi kii ameongeza mkataba naitwa abuu rubaa nikiwa mbagara
huo atakua ni azizik kaongeza mkataba
Nip pand za mkulupiro town ap yanga jonasan sowah tayali amesaini
Haaaaaa Sasa watupotezea muda tuuu kuengeza mkataba hiyo sikawaida tu
Misheli
Huyo ni dube mihayo wa khm
Nasubir kutoka nyarugusu geita