Pr waambieni wachungaj wa kisabato wanahafifisha ujumbe wa mungu kuwadanganya watu kwa maneno laini et Njoo mlivyo mnatupoteza, na wakija walivyo wanakuta kanisani wanawake wote wamesuka lasta ,tunapokwenda kuhubiri tunanyooshewa vidole na wachungaj mtahukumiwa kwa hili
Amen