Kwanini Babra yeye na Mo hakuwahikusema ndani ya simba kuna uvujaji uwizi udanganyifu,naufisadi wa fedha simba badala yake anaanza kupiga vijembe simba?? Babra anafikirinini kuhusu simba, leo akitofautiana na Nkwambi atafanyaje???
Mm msimbazi damu na timu ya kwanza duniani ambayo sipendi ni yanga Ila kwa mpira na mipango yao ata aondoke ko azizi au watoke wote tegemezi lkini makali ya tanga yapo palepale
Yanga inaviongozi vijana alafu niwajanja wajanja sana na waliwataadharisha kuhusu kufuatilia mbinu zao lakini nyie bado mnajaa kwenye mbinu zao,endeleeni tu mwisho wa siku mnaanza kurumbana wenyewe kwa wenyewe😂😂😂😂b
Tumalize mabandoo tuuu kufuatila sajili maaanaa❤❤❤ simba nguuvu mojaa
Ww unaeongelea usajili umeona nan amesajiliwa kwan
Unaingilia kazi Ahmed ally
Mmeanzaa tena...af badae muanze kuhanyahanyaa na mangunguu
Mda utaongea
Hy jamaa ni msomi na anajua anachoongea,huwezi kuwa Mwanasimba wa kweli usikubaliane na maneno yake labda uwe na mwiko nyuma
We mjinga sana kweli etiii!! Mimi simba Iła huyu jamaa Mshamba sana
Ni mshamba saaaaaaaana
Wewe sio Simba yanga wewe
Makasiliko kaka😅
Wewe sio Simba shabiki wa Simba Simba
Atukahagi chuoga angaria maziwa hayo towa picha iyo plofairi Yako
😂😂😂😂 kapimwe akili
Hata ki Aziz aondoke Bado Yanga ipo na itawapa shida tu makoloooo
hata simba iliwapa shida mumesaha kagere okwi mmesahau au mnajichetua nyie vyura
Moo naye kajiuzulu😊
Ila akili Makolo, wanasajili bila kocha😅
😂
Nackia ww ndio kocha wetu karibu sana
Mgunda n nan pale
@@deogratiouswipson8448 mgunda ni PEPE GADIOLA WENU😂😂😂ndio mnavyomuona akisimama ni gadiola 😂😂
Jamaa naona kama hakielewi anachokisema. Mara chama haundiki, mwisho anasema hata chama akiondoka tunamtakia kila la heri
Board ya Simba imevunjwa huko wamejiuzulu😮😮😮
Labd dr wa wasiojitambua.
Aziz kwenda Simba uwe na akili ya kilevi tu!
BARBRA ateuliwe kuwa MWENYEKITI wa BODI, alijiuzuru SIMBA alikataa ufisadi wa VIONGOZI waliopo
Hili Jamaa huwa ni popo kila wakat linajiingizaga kwenye mambo ambayo haliyawez pumbav sana
We inakuuma nn
Na ww unawashwa ukiwa wapi! Pumbav
Hivi Nyie Hamna Akili
Tafuteni Watu wa kuwapa interview jitu shamba lirundi hilo liongo
Mnajishushia hadhi hiyo Brand yenu
Huu ndo muda wa Simba kupata furaha kipindi cha usajili
Chama aende tu anatualibia timu yetu
We wadanganye tu wenzako.baadae uje umsingizie Mangungu na Try again .
Kisha sahau ya mangungu kala tayari
Na huyu nae muongooo
Huyu jamaa muongo saaaana
Chama alishazeeka wala hawezi kuwa na mchango Simba msimu ujao.
Mnasifia ujinga t hy yusuf anauwezo gan wakucheza
kweli bro yaan we una malengo ya mbali ety unajivunia Kumsajili kiungo Yusufu Kagoma??? huyo Yusufu Kagoma hata National timu haitwi.
Kwanini Babra yeye na Mo hakuwahikusema ndani ya simba kuna uvujaji uwizi udanganyifu,naufisadi wa fedha simba badala yake anaanza kupiga vijembe simba?? Babra anafikirinini kuhusu simba, leo akitofautiana na Nkwambi atafanyaje???
Hatuhanyi chchoti
Aikuhusu angalia upande wenu
Mm msimbazi damu na timu ya kwanza duniani ambayo sipendi ni yanga Ila kwa mpira na mipango yao ata aondoke ko azizi au watoke wote tegemezi lkini makali ya tanga yapo palepale
Muurizeni pacome na mikataba ariyo kuwa anatembea nayo imeishia wapi?
Nyny ndo machawa wakina mangungu na Jaribu ten badae
Uyu jamaa muongo wa kitaifa😂
Kila mwaka munasajili kwa mbwembwe
Endelea KUPAYUKWA tu', msimu ukianza unaanza KUNYA KUNYA...!
Muda huu makolo wako bize na kusifia wachezaji wao msimu ukianza wanaanza kulia
Hata siamin kama ni ukwel
Mazuzu fc 😂
Yanga inaviongozi vijana alafu niwajanja wajanja sana na waliwataadharisha kuhusu kufuatilia mbinu zao lakini nyie bado mnajaa kwenye mbinu zao,endeleeni tu mwisho wa siku mnaanza kurumbana wenyewe kwa wenyewe😂😂😂😂b
wajanja wezi nyie yanga mnapenda point za bure kwenye tem ndogo
Hahaaaaa
Ivi uyu jamaa ana kumbukumbu kwa anayoongea kweli....???
Kila siku ana kigeugeu tuu
Hivi huyu Dr ni Dr wa binadamu wa wa wanyama?
Huyu ni dr wa mihogo
Wanyama siwatakufa wote
😂😂😅@@TheopistaMuheta-qp1bc
@@mirajiali3926MIHOGO😂😂😂
WEEEEE WATU WATAKUSIKIA
MD semester 10, muhimbili hii
Zandaan mwachien Ricardo momo
Bosi mo karudi mtajita
Tubadirikeeee mnawajua waliotupigisha shoti goli tano.waondoke hata Kama Ni kina nani
Hata tuilete Madrid nzima hatutoboi , uongozi imara unaleta mafanikio
NGOJA TUONE KAMA KWELI
Bogus tu
Hata ki Aziz aondoke Bado Yanga ipo na itawapa shida tu makoloooo
Unaakiri wewe