@@sofiyabakari9730 kabisa ndio ahadi yake hiyo maana hata kama angekuwa haishi India na amepangiwa akafie huko angeenda tuu mda mchache kabla ya kifo chake huyo ndie Allah
Ninachoona mm kifo popote kitakufwata msimlaunu marehem alienda kwaajili yautaftaji na mungu ameamua kumchukua akiwa huko mipango yamungu haina makosa R I P mrembo 😭🙌
Poleni napia Dada nakupongeza kwa jitihada zako namna ulivyo jitoa hadi kufanikisha mwili wa marehemu mdogo wako kufika tanzania, Mungu awatie nguvu ktk hiki kipindi kigumu
Jamani msimlaum huyu dada Dominica..mnayajua maisha ya India au mnaongea tu..kifo kipo ni garrentee..but tumepewa akili tuitumie kimaisha..anaposema maisha yapo hapa nyumbani anamaanisha kitu kikubwa ..hongera Dominica na poleni sana..Allah awape subra..sisi sote ni wa Molla na kwake tutarejea
Jamani wanaomlaumu Dominica, keshasema mdogo wake aliondoka bila idhini ya familia, na hakusema kabisa anaenda India kufanya kazi gani na nini na akawa amekata mawasiliano na famlia!
May her beautiful soul Rest In Peace 🙏🙏 ni wakati wa majonzi ila pongezi nyingi sana kwa dada wa marehemu! Amejitahidi sanaa.❤❤ Mungu wetu wa haki akawae faraja Kuu🙏
Kiboko wasojali Mabalozi wa Oman na Tanzania alooo acha yaan hawawasaidii watanzania walokuwa Oman kwa lolote labda afe kam hivyo lkn kunyanyasika hawana msaada kabisa
Hao waliofia ziwa Victoria wamefia wapi sio Tanzania kifo ni popote kikubwa tumche mwenyezi mungu angefanikiwa pia usingesema yote hayo tz nani atanipa mshahara was laki Saba elim yangu yenyew la Saba muombee Dua mzuri nauwalee watt Kwa upendo sote tunapitia Allah akutie nguvu inshallah
Kweli best kifo ni popote elimu yangu la Saba nitatoa wapi ajira mitaji yenyewe shida Kama nimeandikiwa kufua mbali sawa maana ajuae aridhi nitakayo zikwa ni ALLAH pekee
Chakwanza nikumshukuru mungu kwanza kufanikisha kuupata mwili wa marehemu kishauwashukuru wa tz halafu ukumbuke maisha nipopote pale popote ulipo dunia hii kifo hakikwepeki dunia hii yote hayo ni mungu ndoapangae ahadi ikifika hakikwepeki nikumuombea maisha ya safari yake ya milele nikumuombea kwa mungu 🙏🤲niseme innalilah wainnailah rajiuon kazi ya mungu haina makosa rest in paradise shamona we miss u😢🤲🙏🙏
Umejitahidi sana dada angu pongezi kwako mwili umefika Congratulations dear. Hongera sana pia dada Marehem wetu ulienda kutafuta hukwenda kucheza India ulienda kutafutia watoto My
Poleni sana, it's not easy. Proud of my government for this, yeyote aliyefuatilia mwili wa Furaha kurejea just before uchomwe moto Mungu akuzidishie ulipo pungukiwa. That's how people do, tunasaidiana wakati wa shida na kwamba kwetu mwili wa marehemu ni lazima upumzishwe mahali salama, that's the only closure wapendwa wetu wanapofariki.
Sawa Maisha yapo lakin nikuulize dada huyu ndugu amesafili siku nyingi hadi mlipokea mahali na mkaridhia aolewe huko sasa kwanini unalaum kusafili kwake. Maisha ni popote dada na kifo kipo sehem yoyote tu.Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon. Ni wakati wa kumuombea sio wakati wakulaum kwasababu kama Ulipata taarifa kwamba yupo kwenye matatizo ungepaza sauti kitambo sana ili arudishwe.
Aliondoka bila hata kuaga baadae ndo aliwasiliana nao akiwa huko tayari na wakamwambia arudi akagoma na hapo alikuwa amewaacha watoto tanzania ambao alikuwa ameshawazaa. Kupokea mahari ilibidi tu maana alikuwa ni mtu mzima mwisho wa siku huwezi kumpangia lakini kimsingi inaonekana hawakufurahishwa na maamuzi ya kwenda huko kuanzia mwanzo. Nadhani umeelewa
Poleni ndugu zetu tunajua munapitiya magumu kipindi hichi lakini hakuna ane jua kesho yake mungu awatiye nguvu piya amsamehe marehemu pale alipo koseya
Pole sana jambo la kushukuru Mungu mwili umefika mpuzisheni marehemu haya mangine ni mipango ya Mungu maa all yeye ndo anajua utaenda kufia wapi kikubwa uzima na umri mrefu allha atulinde wote tulio kuwa mbali na family zetu lnshallha
MAISHA POPOTE DADA YAPO NDIO LAKINI KUMBUKA KUWA KIFO POPOTE KINAKUFIKA ALLAH AKIKUPANGIA TU UFE WAPI KUTAFUTA MAISHA POPOTE KWA MWANADAM KIKUBWA UFATR MAADILI YA ALLAH POLENI KWA MSIBA INALILAH WAINALILAH RAJIRUN
Kupamba kupo. Tz. Hakusomeki. Njaa. Tupu ukikaa. Bilaya kitembeamijiyawatu. .. Mtihani maisha kwetu magumu ilatu tuende ki halali Bas kifo popote pale Allah alipokupangia kikubwa kuomba mwishomwema🤲
Kweli kabisa waache lawama na kuitupia lawama selikali Huyu dada kaulizwa video iliyo pita akasema mdogo wake alipata mume huko na wakabahatika kupata watoto 2 sasa iweje anaitupia lawama selikali eti maisha hata nyumban yapo jaman mlitoa ridhaa ya kuolewa na mahali ikapokelewa alafu saizi analaum kwenda nje mh
Wamwangalie huenda wamemtoa figo mana figo ya mwafrica ni nzuri mno nasikia,,, mungu tusaidie turudi makwetu tukiwa waxima tumekuja kutafuta tuu maisja,,mungu nisaidie mimi na wengine team strong
Dada unasahau pia bila Mungu hamna jambo lolote lingewezekana. Kwanza kabsa ni upendo wake, huruma yake na ahadi zake ndy uliyofanya mambo yakawa swsw bila yeye sidhani Km kuna jambo lingekamilika, tumshukuru Mungu kwanza. R. I. P. DADA YETU 🙏🙏mbele yako nyuma yetu🙏🙏
@@upendolema9809 🤔sidhani labda nimeelewa vbya ila nmeskia mwanzo mwisho hamna mahali Kasema nguvu za Mungu. Kasema miujiza2 after kuwataja wahusika wote. ila isiwe kesi kila mtu na amali yake🙏Hmna mkamilifu sote watenda dhambi
Kifo popote kipo.... Kwani angekuwepo hapa asingekufa? Yeye kaumwa ndo kafa kwani kauliwa huko? Kufa Kufa tu.... Wangapi wapo nje ya nchi miaka na miaka na wanaishi maisha mazuri tu kuliko hata wewe unayeishi nchini kwako?
Poleni wafiwa pia hongera dada kwa jitihada kubwa uloifanya adi mwili Wa mdogo wako kuwasili pia pongezi kwa serekali yetu Na Watanzania kwa, ujumla jamani Watanzania tuna umoja😭😭😭🙏
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Inaumiza Sana jamani yaallaah tunakuomba utupe mwisho mwema amiin lnshaallaah
Poleni Sana
May Her soul rest n peace
Poleni Sana Ndugu Zangu😭😭
@@zuhurakaho1553 p0
Mi nahitaji kujuwa alikuwa kielim au kimaisha tu
Watanzani Wana umoja sana jaman Mungu ATUBARIKI 🙏🇹🇿
Huyu dada kichwa... Mungu awape faraja dada!! Ujumbe huo kwasisi mabinti maisha hata hapa Tanzania yapo tusiluke luke hovyoo
Kifo kipo popote
Ajali ngap zinatokea hapo tanzania mbona hamuachi kupanda magar?
@@sofiyabakari9730 true na zake akua zimefika
@@sofiyabakari9730 kabisa ndio ahadi yake hiyo maana hata kama angekuwa haishi India na amepangiwa akafie huko angeenda tuu mda mchache kabla ya kifo chake huyo ndie Allah
@@muhammadadam4769 naaam
Wamebaki kulaum serikali utazan ndo imeua
@@sofiyabakari9730 na angetaka pia angezikwa huko huko India hajatak tuu
Ninachoona mm kifo popote kitakufwata msimlaunu marehem alienda kwaajili yautaftaji na mungu ameamua kumchukua akiwa huko mipango yamungu haina makosa R I P mrembo 😭🙌
Poleni napia Dada nakupongeza kwa jitihada zako namna ulivyo jitoa hadi kufanikisha mwili wa marehemu mdogo wako kufika tanzania, Mungu awatie nguvu ktk hiki kipindi kigumu
Jamani msimlaum huyu dada Dominica..mnayajua maisha ya India au mnaongea tu..kifo kipo ni garrentee..but tumepewa akili tuitumie kimaisha..anaposema maisha yapo hapa nyumbani anamaanisha kitu kikubwa ..hongera Dominica na poleni sana..Allah awape subra..sisi sote ni wa Molla na kwake tutarejea
ana manisha kitu kikubwa gani? kitu gani hicho?
@@sleeprelaxation8431 asinge weza sem kumbuka huy mdg wake ulitak asem alafu mngesem anamdhalilisha
Jamani wanaomlaumu Dominica, keshasema mdogo wake aliondoka bila idhini ya familia, na hakusema kabisa anaenda India kufanya kazi gani na nini na akawa amekata mawasiliano na famlia!
May her beautiful soul Rest In Peace 🙏🙏 ni wakati wa majonzi ila pongezi nyingi sana kwa dada wa marehemu! Amejitahidi sanaa.❤❤ Mungu wetu wa haki akawae faraja Kuu🙏
Poleni ndugu zangu.mbele yake nyuma yetu.
Dada nimekupenda umongea maneo mazuri sana
Balozi wetu wa India ni kiongozi bora sana,
Kiboko wasojali Mabalozi wa Oman na Tanzania alooo acha yaan hawawasaidii watanzania walokuwa Oman kwa lolote labda afe kam hivyo lkn kunyanyasika hawana msaada kabisa
Pole sana Dada yangu kifo ni fumbo
Kifo popote unakufa Kikubwa kumuombea Dua Mungu amuhifadhi Mahali pema peponi
Nikwel my
Aamin
Inaumiza sana rip mdada pia tujifunze vijana jamani pole wafiwa dada hongera umefanya kazi kubwa mweznyezi mungu akubariki 😢😢😢😢
Mja wa mwenyezi mungu popote umauti unaweza kumkuta hata angekuwa Tanzania tuamini siku yake ilifika Allah aiweke roho yake mahali pema in shallah
Tena wengine wanakufa hapo tanzania na wanazikwa bila familia zao kujua ni kuomba Mungu tu
Poleni sn
Pole sana dada nyuma yako tupo pamoja mungu akutangulie
Hao waliofia ziwa Victoria wamefia wapi sio Tanzania kifo ni popote kikubwa tumche mwenyezi mungu angefanikiwa pia usingesema yote hayo tz nani atanipa mshahara was laki Saba elim yangu yenyew la Saba muombee Dua mzuri nauwalee watt Kwa upendo sote tunapitia Allah akutie nguvu inshallah
😀😀😀😀Uko wapi ndugu mimi mwenyewe nakosha vyombo kwa mwarabu😄😄
@@suzansuzanei1143 all the best traveler may God guide you
@@michaelkungwi1835 😜😜👌
Hahaha 😂😂
Kweli best kifo ni popote elimu yangu la Saba nitatoa wapi ajira mitaji yenyewe shida Kama nimeandikiwa kufua mbali sawa maana ajuae aridhi nitakayo zikwa ni ALLAH pekee
Poleni sana wapendwa Mungu awatie nguvu
Dah pole sana dadaangu mwenyezi mungu akutie nguvu pia nakupongeza kwakufanya jitihada ya kupigania mdoako mpaka umempata bwana akutie nguvu sana
Chakwanza nikumshukuru mungu kwanza kufanikisha kuupata mwili wa marehemu kishauwashukuru wa tz halafu ukumbuke maisha nipopote pale popote ulipo dunia hii kifo hakikwepeki dunia hii yote hayo ni mungu ndoapangae ahadi ikifika hakikwepeki nikumuombea maisha ya safari yake ya milele nikumuombea kwa mungu 🙏🤲niseme innalilah wainnailah rajiuon kazi ya mungu haina makosa rest in paradise shamona we miss u😢🤲🙏🙏
Umejitahidi sana dada angu pongezi kwako mwili umefika Congratulations dear. Hongera sana pia dada Marehem wetu ulienda kutafuta hukwenda kucheza India ulienda kutafutia watoto My
Je amefaliki kwa mapenzi ya mungu au amepatwa na tatizo gani huko
Amefalik Kwa marazhi
@@OmanOman-bx5du sababu naona Dada yake anasema rizki zipo nyumbani kwann tunaenda nchi za watu kutafuta nikajua labda kapigwa au kauliwa
Hata kifo popote ipo
@@OmanOman-bx5du aliondoka nyumbani bila ya kushirikisha ndugu Wala kuaga mtu yoyote ndio maana dada anasema hivyo
@@hawarajabuinalilahwainaila1895 nikweli ilana unawajua wadada wa mjini wewe,huwa tunadharau hadi wazazi yakitukuta ndo tunawapa wazazi preshaa
Asante dada umeongeya mambo ya muhimu sanaa Tena pole sanaa
Poleni Sanaa,, wafiwa mungu azidi kuwapa nguvu katika kipindi hiki kigumu,, 😭😭
Poleni sana, it's not easy. Proud of my government for this, yeyote aliyefuatilia mwili wa Furaha kurejea just before uchomwe moto Mungu akuzidishie ulipo pungukiwa. That's how people do, tunasaidiana wakati wa shida na kwamba kwetu mwili wa marehemu ni lazima upumzishwe mahali salama, that's the only closure wapendwa wetu wanapofariki.
Pole sana umewezaje ni Mungu amekumekuwezesha
inalilahi wainailah rajiun 😭 poleni sana wafiwa mungu awape nguvu amen 🙏.
Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kwenu, na pia marehemu akapumzike kwa amani huko aendako. 13,11,22.
Amina
Poleni sana wafiwa, M. Mungu awatie nguvu. Ameen
Poleni jamani' Ila dada yake Shamona unasauti nzuri dada Mashaallah' napenda sana' unavyoongea dada
Yaan angekuwa mtangazaji ingekuwa ppa
Una shidaa dada na we looh
@@mwanaherhussani7425 shida ipi tena?!' kwa hiyo nishindwe kumsifia mwanamke mwenzangu Kisa nini?' lazima niseme kweli amejaaliwa sauti nzuri Mashaallah
@@rhodafredy2671 umeona ee
Waliweza kufanya kwa msaada mkubwa wa Mwenyezi MUNGU,,, mkatoe sadaka ya shukrani kwa hilo dada
Pole sn dada yangu kipenzi, pia hongera kwakujuwa moyo wa mama uumavyo kwa mwana.
Yaan huyu dada anajielewa sana tena sana Mungu afanyie wepec kwenye life yake.
Sihaba mwili umeletwa hilo.lakushukuru sana mtanzania mwenzetu kafika
Pole Dada maisha hat nyumbn yapo na kifo hat nyumbn kipo kikubwa tuombe Mungu ndug yetu apumzike kwa aman 🙏🙏😭😥
Yes kifo hata nyumbani kipo lakini dada anaongeakutokana nagarama walizo pata kuuleta mwili
Mungu ampe pumziko la milele .Amina
Nanyi wafiwa Mungu awatie nguvu na ujasiri zaidi.
Poleni Sanaa kumpoteza shamona
Sawa Maisha yapo lakin nikuulize dada huyu ndugu amesafili siku nyingi hadi mlipokea mahali na mkaridhia aolewe huko sasa kwanini unalaum kusafili kwake. Maisha ni popote dada na kifo kipo sehem yoyote tu.Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema pepon. Ni wakati wa kumuombea sio wakati wakulaum kwasababu kama Ulipata taarifa kwamba yupo kwenye matatizo ungepaza sauti kitambo sana ili arudishwe.
Kumbe alienda sababu ya kuolewa nikajiuliza mbona dada mtu kam analaumu sasa kumbe anajua sababu daaa apumzike kwa amani
Kasikilize tena vizuri interview yake utaelewa anachokimaanisha
Aliondoka bila hata kuaga baadae ndo aliwasiliana nao akiwa huko tayari na wakamwambia arudi akagoma na hapo alikuwa amewaacha watoto tanzania ambao alikuwa ameshawazaa. Kupokea mahari ilibidi tu maana alikuwa ni mtu mzima mwisho wa siku huwezi kumpangia lakini kimsingi inaonekana hawakufurahishwa na maamuzi ya kwenda huko kuanzia mwanzo. Nadhani umeelewa
Mungu hashindwi na chochote. Poleni Sanaa. Mungu akawe mfariji wetu sote.
Nakubal global mpo in time kutup hbr
Domi ana sauti nzuri kuwa mtangazaji
Kumbe umeona Hilo yaan kama muandishi wahabari
Poleni sana wanafamilia wote dada kweli umeongea pont maisha hata Tanzania yapo ni kweli kabisa japo kifo kipo popote ila maisha tz
Pole Sana dada,na pia umeongea point mnooo.mungu awatie nguvu.
Dada anajua kuongea kujieleza Sana Sana ongera sana
Pore dada don.mungu.akutie nguvu
Shukuru Mungu sana umepokea mwili kuhusu Maisha we tuache cc wenyewe tunajuwa tunapambana vp bhnaaa acha kunena ukamara
Kabisaaaaaaaaaaa asinene akamara ,maana kila kitu kinaenda kwa kuandikwa
kifo kipo popote sema ashukuru mungu ndugu yake kafika uku, kwan angekua uku asingekufa
Pole sana...dada umeongea point sana mungu awatie nguvu
Poleni ndugu zetu tunajua munapitiya magumu kipindi hichi lakini hakuna ane jua kesho yake mungu awatiye nguvu piya amsamehe marehemu pale alipo koseya
Dada hongera kwa jitihada zako
Pole sana jambo la kushukuru Mungu mwili umefika mpuzisheni marehemu haya mangine ni mipango ya Mungu maa all yeye ndo anajua utaenda kufia wapi kikubwa uzima na umri mrefu allha atulinde wote tulio kuwa mbali na family zetu lnshallha
Amin rabby Amin 🤲🙏
Dada upo vzr,pole kwa msiba
Mwanga wa milele umwangazie ee bwana apumzike kwa amani.
Poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Apumzike kwa amani amina 🕊️
Hakuna anaye penda kuishi mbali na familia yake na kifo ni popote pole kikubwa umeupata mwili wa mdog wako mshukuru mungu basi
jaman polen sana ndugu zetu! mungu awatie nguvu
MAISHA POPOTE DADA YAPO NDIO LAKINI KUMBUKA KUWA KIFO POPOTE KINAKUFIKA ALLAH AKIKUPANGIA TU UFE WAPI KUTAFUTA MAISHA POPOTE KWA MWANADAM KIKUBWA UFATR MAADILI YA ALLAH POLENI KWA MSIBA INALILAH WAINALILAH RAJIRUN
Huyu anamaanisha kuwa kusafirisha Maiti nchi za mbali ningumu nipesa nyingi hasa ukiwa hata hujui unaingilia wapi unatokea wapi
Wewe hebu fungua akili akili elewa anachokisema basi, wafatilie vijana wanapoenda huko wafatiliwe wanaenda kufanya nini???
Very smart sister. Blessings my dear ❤️❤️
Innalillah wainna illahy rajiun poleni sana dada mungu awape subra
Poleni sana,sasa watoto mhindi hawatoi ,hii ndoo hasara ya kuishi na mtu mnajuana wawilituu
Watoto wame baki na mnaigeria
Duu huyu dada nimempenda bule kichwa sanaa aisee daa
Dada ameongea kweli huyuu,daaah mwenye masikio amesikia
Daah😢😢😢😢😢😢 kaongea point sana 😢😢😢😢😢😢😮😮
Kupamba kupo. Tz. Hakusomeki. Njaa. Tupu ukikaa. Bilaya kitembeamijiyawatu. .. Mtihani maisha kwetu magumu ilatu tuende ki halali Bas kifo popote pale Allah alipokupangia kikubwa kuomba mwishomwema🤲
asante Mungu kwa kufanya wepesi mwili wa shomona kufika tanzania 🙏💖
pole sana jamn
Mungu nimwema sana
Sawa maisha nyumbani yapo na pia kifo popote kipo, apumzike kwa amani polen sana kwa msiba
Kweli kabisaa 😢
Mpaka dada ameongea hivyo inawezekana kuna mengi sana yalitokea kabla ya kifo
Kasahau kua hata Tanzania kifo kipo
Kweli kabisa waache lawama na kuitupia lawama selikali Huyu dada kaulizwa video iliyo pita akasema mdogo wake alipata mume huko na wakabahatika kupata watoto 2 sasa iweje anaitupia lawama selikali eti maisha hata nyumban yapo jaman mlitoa ridhaa ya kuolewa na mahali ikapokelewa alafu saizi analaum kwenda nje mh
Ee kifo popote kinakukuta ht angekuwa Tanzania angekufa tu siku imefika tayar.
Pole Sana kabisa
Hakika
Vijana msiende mbali huko
Hata hapa nyumbani Tanzania kuna maisha pia
Poleni sana wanafamilia rip
Poleni Sana wanafamilia 🥲🥲🙏
Pole sana duuu ukubwa jalala
Poleni kwa msiba nyote muliofiliwa
Pole Sana dada mwenyez MUNGU akutie nguvu mpenzi 😭😭😭🙏🙏
Watanzania tukiamua jambo huwa tunaweza tena saana, Sote Ni wake na kwake tutarejea
Pole San dg wa marehem
Poleni sana
Mungu ni mwema sana
Wamwangalie huenda wamemtoa figo mana figo ya mwafrica ni nzuri mno nasikia,,, mungu tusaidie turudi makwetu tukiwa waxima tumekuja kutafuta tuu maisja,,mungu nisaidie mimi na wengine team strong
Aamin upo wapi ndugu yangu
Amina ishaallah
Ahsante nyingi Kwa watanzania
Duh kumbe uyu dada kafa jmn duh 😭😭😭😭😭😭😭😭pumzka kwa Aman
Dominika wewe ni shujaa, pole Na hongera. Nimekupenda jinsi ambavyo una Uwezo mkubwa sana Wa kujieleza.
Nimeona pia hicho ulichokiona...huyo dada ana uwezo mkubwa sana
@@silverdavid6200 Asante sana
Mungu amlaze pema peponi ampunguzie azabu za kaburi
Alihamdulillah mungu ni mwema maisha popote jamani kifo kipo Kila sehemu shida nyumban ajira hakuna
Dominica your one hell of a fighter! Your unstoppable God bless you and comfort you dear.
Pole sana dada
Alafu dada ana nidhamu adi raha anavyoongea mungu akutie nguvu uhangalie watoto wa Mdogo wako dada angu
Poleni jmn haki kifo jmn kifo😭😭😭
Pole sana wanafamily mungu awatie nguvu katka kipindi hiki kigumu
Mungu awatiiiie nguvu
Poleeenii
Mungu awatie nguvu
Dada shukuru ndugu yko utashuhudia maziko yke
Dada unasahau pia bila Mungu hamna jambo lolote lingewezekana. Kwanza kabsa ni upendo wake, huruma yake na ahadi zake ndy uliyofanya mambo yakawa swsw bila yeye sidhani Km kuna jambo lingekamilika, tumshukuru Mungu kwanza. R. I. P. DADA YETU 🙏🙏mbele yako nyuma yetu🙏🙏
Mbn kasema ni nguvu za Mungu
@@upendolema9809 🤔sidhani labda nimeelewa vbya ila nmeskia mwanzo mwisho hamna mahali Kasema nguvu za Mungu. Kasema miujiza2 after kuwataja wahusika wote. ila isiwe kesi kila mtu na amali yake🙏Hmna mkamilifu sote watenda dhambi
Kwa kweli imebid nisikilize vizuri hakamtaja Mungu ila kikubwa tushukuru kampata mdogo wake
@@veronicasulle1849 Umeonaee, kabsaaa kumshukuru Mungu kampata mdogo wake
Poleni sana wapendwa
Wewe mwili umefika shukuru ila apo kwenye maisha usitie neno
Unajua wewe ukienda mbali ukafia uko unaujua usumbufu wanao upata familia
Alhamdulillah jmn nilikuwa nalia mimi 😭😭
Mungu awape nguvu kwa kipindi ichi kwa Sasa poleni wote
Pole kwa msiba ila kibali na kifo haviusiani kifo popote .... R.I.P Traveler 🗺️🌏
Poleni tena ndugu na jamaa
Kifo popote kipo.... Kwani angekuwepo hapa asingekufa? Yeye kaumwa ndo kafa kwani kauliwa huko? Kufa Kufa tu.... Wangapi wapo nje ya nchi miaka na miaka na wanaishi maisha mazuri tu kuliko hata wewe unayeishi nchini kwako?
Pole xana Dada angu 😭😭🤲🙏
Poleni sana 😭
Grobal ipo vizur.uyo dada yupo vizuri
Maisha nyumbani Tanzania yapo!! Safi sana!
Poleni wafiwa pia hongera dada kwa jitihada kubwa uloifanya adi mwili Wa mdogo wako kuwasili pia pongezi kwa serekali yetu Na Watanzania kwa, ujumla jamani Watanzania tuna umoja😭😭😭🙏
Mungu awatiye nguvu😭😭