MAPYA YA DADA WA KAZI ALIYEWANYWESHA CHAI YENYE MKOJO UTASHANGAA UKWELI HUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 62

  • @khadjahakamali1979
    @khadjahakamali1979 3 дні тому +3

    SubhaaAllah. Ni kweli kabisa, ukichukulia kama mtoto wako,ndugu yako, ndio anakuwa mbaya wako,

    • @annamwakibinga527
      @annamwakibinga527 2 дні тому

      Kabisa yaani unamchukulia kama ndugu yako lkn wana roho mbaya.

    • @JANETHKimambo
      @JANETHKimambo 23 години тому

      Ndio kabisa na anakufanyia vituko sana lakini unakazana kumbembeleza duuuuuu

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 4 дні тому +3

    Alhamdulillah Mie nimekaa NAE MPAKA nimemuozesha

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 4 дні тому +5

    Yanatoka kwao yamepigika miezi 3 ya mwanzo unalisha kama kama unalisha nguruwe. Wanaharibu vitu, wanakunya hawajui kuflash. Na ukishayatunza yakipendeza yanaanza kunyegua kuvizia mume. Siyo wote; wapo wengine wazuri sana.

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 4 дні тому +3

    Mimi muhindi nna mfanyakazi anajiskia kama yupo kwao na kurudi kwao hataki na huko kaacha mtoto mshahara mnampa na mradi wa hinna nimempa faida ni yake mwenyewe.. 😊 lkn huko tunakokwenda sijui vipi maana Pia wengine hawana Shukran

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l 5 днів тому +3

    Kweli kabisa,ukimpenda msichana wa kazi,anakunyongea mwanao 😅

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 дні тому +2

    Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab na watu kama hao

  • @mamuumuu4999
    @mamuumuu4999 3 дні тому +1

    Mimi nimekaa na wadada wawili nimeishi nao vizur na nilikuwa nawalipa vizur huyo wa kwanza alianaza kunijibu jeuri na wapili nikaja kugundua kumbe mchawi nikamtimua......nna miezi 6 sina dada na sifikirii kuwa nae maana unaweza pata kesi wallah

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 3 дні тому +1

    Sasa ndio mjue hauarabuni kuna mabos wazuri na kuna maboss wabaya hii ni duniani kote lakini mnapenda kutukana uarabuni mbona huko kwenu yanatokea tena ya kishenzi mpaka wanawaulieni watoto lakini hiyo ni vizuri kwenu dada wakazi tia namavi ukiweza ndio watakoma kusema watu

  • @bongo39
    @bongo39 4 дні тому +5

    Unakisema kusema wahindi warabu unakosea sie waswahili tunawatesa kuwadhulumu mishahara yao tunawalipa 30,000 kwa mwezi unategemea nini hata mavi watatutilia na tunawanyanyasa sana tunawapiga sana na gamna mtu wa kusema kisa sote ni waswahili ingekuwa mtu mweupe mungu wangu mpaka dieani angekuja

    • @TunauzaSimu-fn2ff
      @TunauzaSimu-fn2ff 4 дні тому +1

      Kama anachangamoto c aende zake 2 lkn c kumdhuru mtoto. Kwani hata serikali mbona inatuma raia zake kwa mishahara duni mbona mfano hospitali muuguzi hasemi ampe sumu mgonjwa. Ni ushetani 2. Nivile pia hakuna sheria. Kabla aje c mnapatana unampa mjukumu nae anasema umlipe kiac gn. Bac2

    • @ShamsaFahad-n8v
      @ShamsaFahad-n8v 2 дні тому

      Jamani jamani wanatulisha uchafu sana

  • @samwa9496
    @samwa9496 3 дні тому +1

    Tena Bora aende kwenye KAZI nyingi kuamka alfajiri kulala saa 6 hapo atakaa, ila ukimlea kama ndugu atakuletea kiburi utajuta hawana maana hawa pelekeni watoto vyuo vya kulea chukuwa jioni wengine wachawi wanakuingizia watoto uchawini

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 4 дні тому +3

    Sina hamu na hao wadada

  • @shamzone388
    @shamzone388 5 днів тому +4

    Dada mbona tupo na wafanyakazi zaid ya miaka 18 tupo nao kama ndugu kwa hali na mali upendo mpaka wana olewa na watt wao tupo nao tupo vizury sana
    Jaribu kutafuta mafnyakazi bila dalali maana madalali ndio wanawaharibu wafanyakazi jaribu na utaona kama ni kweli

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 2 дні тому

    Au mchawi? Jamani poleni

  • @saleemadhiyabalkhatri7800
    @saleemadhiyabalkhatri7800 3 дні тому

    Hii wapi bongo au wapi

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md 4 дні тому

    Kama umewah kufanya kazi za ndani Tanzania kuna kitu utakifunza. Jamani bongo hapa mabosi wachache sana wana roho nzur na wafanyakazi wao lkn wengi ni wanyanyasaji, wananyima chakula,mfanyakaz anakula makombo kila siku, mshahara wenyewe kulipa ni kazi😢😢, matusi wanatukanwa sana hawa wadada. Lkn alichofanya huyu dada wa kazi sio vzr

  • @mwanasitingenya4526
    @mwanasitingenya4526 3 дні тому

    Hawa qatada wa kazi nikama wana maana fulani hivi.nikama wanaimani pungufu sana.

  • @annaayo5303
    @annaayo5303 4 дні тому +1

    Mimi nilishaapa sitakaaa niwe na msichana wa kaz

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 дні тому

    Hawanaga shukran ila na ss tujiangalie kuish nao

  • @Zainab-k3l6b
    @Zainab-k3l6b 4 дні тому +1

    Mm nimefanyakazi Hadi nimeozesha nampakasasa naishinae kamandugu nahata Nikita Namba ananiomba nakaakwake hadikujifungua kwahiyo nawewe jiangalie nawewemwenyewe nakamaunaona hawajui kazi siufanyemwenyewe

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 4 дні тому

    Nipo oman mwak wa nne huu alhamdulillah mshahara wangu namzidi mwalim wa shule walipeni vizuri muone km watatia mikojo😂😂😂

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 4 дні тому

    Ss ww unautajir gani wakuweka dada wa Kaz ss kama hawajui kwnn usifanye. Mwenyew gani labda ya mkundu ndio hawez kkutumia au nihizo na 25000 hhhhh😂😂😂

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 3 дні тому

    Dada ule nae pamoja pia

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j 4 дні тому +1

    Mm najiri msichana wakazi siku nyingi na nampa kufanya kaz na kupika hapiki hata chai na nguo nziti nafua na mashine lkn nguo nyeoesanafua yeye na anapumzika akimaliza kazi zakeanadeki ansafisha na kila siku unamsimamia lkn hawakai wakipokea tu mshahara

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 4 дні тому

    Jamani walikunywa chai walimwekea mama tenda wema uende zako Mimi mwenyewe nimemuamini kanitapeli ndio nataka nije ni dill nae kwakweli

  • @zuhurarashid3548
    @zuhurarashid3548 4 дні тому

    Kweli mfanyia ukipenda akai na ata fanya madudu akipata see u mabaya Ana dumu

  • @priscillawilliam3603
    @priscillawilliam3603 3 дні тому

    Tu mtangulize Mungu kwanza usimwamini mtu kulea watoto wako hao ni mapepo

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 4 дні тому

    Nikiangalia hill kojo natapika.

  • @ZakiaSoud
    @ZakiaSoud 4 дні тому +2

    Waarabu hawana unyanyasaji tuna hofu ya mungu wanaowachoma kwa pasi ni waarabu?au waswahili kama wewe hapo?acha kuropoka

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 3 дні тому

      Wakiwasema sana warabu sasa wacha yawakute huyu bibi anaonesha anamdomo anaonyesha hakaina wafanyakazi muongo fisadi huyu anawanyanyasa na kuwapiga na kulipa anaonesha mgumu

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 5 днів тому +1

    Mnanyanyasa bn tutawatilia mpk mavi mtot uyo mdog na nyie niwakufny kazi jmn

  • @SafiaAbdallah-wr2bu
    @SafiaAbdallah-wr2bu 4 дні тому

    hata huna lolote ni kashfa tu ndio ulonayo fanya kz mwenyewe una kauli .mbaya leya wtt kazi fanya wew

    • @hadijamohd6028
      @hadijamohd6028 4 дні тому

      Tena anaonyesha ni mshenzi acha atiliwe mkojo😅😅

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 5 днів тому

    Nyie mnaowafanya ivyo analipwa sh ngap,JE anahuuru

  • @SafiaAbdallah-wr2bu
    @SafiaAbdallah-wr2bu 4 дні тому +2

    hapana usiseme warabu au wahindi mbona ht waswahili wanawanyanyasa wafanya kazi? ww umeona km warabu na wahindi ndio wanyanyasaji hata ww inaonesha mnyanyasaji na wala huna kauli nzuri

  • @SalmaRamadhani-u1i
    @SalmaRamadhani-u1i 5 днів тому +3

    Waarabu wanatoa hela lakin wabongo waswahli sana unakuta mtu unakaa naye unafua akirudi anatia Tena kwenye maji vyombo anavitia sabuni unategemea afanyaje

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali 4 дні тому

    Kweli kabisa

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 3 дні тому

    mmmmmmm

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 4 дні тому

    Kila anataka kuwa maarufu anakuja na stahili yake

  • @GeorgeKarras-ry9bm
    @GeorgeKarras-ry9bm 4 дні тому

    Huyu mama maelezo yake yanajigonga gonga na haeleweki..

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 4 дні тому +3

    Wa arabu hawa tesi wa fanyakazi wana ishi nao kama ndugu zao au watoto wao

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 4 дні тому

    Mtalshwa vng kudadek maana unakuta wacchana wakubwa hata hawajsogez kla k2 mfanyakaz unakuta elfu 30 ndio mnamfanya m2 kama m2mwa .

  • @MahadhiRahim
    @MahadhiRahim 4 дні тому

    Kweli umeongea dada

  • @SalmaRamadhani-u1i
    @SalmaRamadhani-u1i 5 днів тому

    Ulipwe elfu 50 alafu uteseke hyo haiwezekan

  • @mwanamkeshujaabongoflavama7180
    @mwanamkeshujaabongoflavama7180 5 днів тому

    Wafanya kazi ni sawa sawa kama mwana ano pata mama wa kambo alokuwa anampenda lakini mwana ndo mkorofi
    Hicho kitu mpaka kimtokea mtu ndo ana amini unaweza uka walipa uzuri , ukawa fanyia shopping basi ukawafanya kama ndugu kwenye swala la kupika akawa hayupo ukawa pia watengea chakula lakini akaleta jeuri

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 4 дні тому

    Mmmh me napita tu sina ham na nyie mnao watetea wahindi na waarabu ni machenjeu fyuuuuu 😏😏

    • @saleemadhiyabalkhatri7800
      @saleemadhiyabalkhatri7800 3 дні тому +1

      Koma na warabu huyohapo kunguru mwenzenu anawekewa mikojo unajuaje kama hatiliwi mavi acheni ujeuri nimefurahi sana wacha yawakute nabado yatawafika zaidi ya hayo😂😂😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 дні тому

      @saleemadhiyabalkhatri7800 Samahani kila mtu ana uhuru wa kuchangia tafadhari usinitusi mbwa wewe mwambie bwana Ako ayo maneno

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 3 дні тому

      Unajivhekesha kama shoga fyuuuuu 😏😏