@@sakuraesther6309 Itapitaje kwenye border ya Kenya. Tanzania unaweza kuipitisha kama International Transfer lakin inapingia Kenya lazima utazuiwa kulingana na sheria za huko. Labda utembee na plate za Tz
You guys should do research before talking abeg 😂don’t lie eti wakenya mkija TZ mnaonekana mna hela hapo mnakutana na watu wahali ya chini bana 😂na hapo kwenye magari jamani jamani 😂🙌
Omg MamaZoey and BabaZoey. It's awesome, Fel to show us places, especially part of North Africa. I enjoyed your video.Thank you so much Pluto for being supportive to your wife you are such a caring husband to your family 💗 ❤️ ❤Enjoy ❤❤
Nimeishi tz maeneo mengi kiswahili Yao na Kenya ni the same kabisa maneno mengi mmewaekelea, pia majority are christians but huwezi jua coz sio big issue kwa tz kuhusu dini au kabila ya mtu .
Weeeuh hujui chochote. My friend I'm Tanzanian in Kenya but what you said about vehicles is totally wrong. You talking of the old times, times that Tanzania used to import old vehicles. I challenge you to go check Prado Tx. Again story ya number plate ya waziri you yapping bila kujua chochote,only number plates for chief justice have plates with CJ.😅😂😂😂 Na change pia uligongwa😂😂😂😂. Anyway enjoy Tanzania and learn about it ndo uache kudanganya Kwa video hapa😢
I love these conversations with Pluto they are very educational
The pluto bares so much wisdom 🤞🤞he elevates his woman ✌️
Sure I noticed that the guy is so wise😂
Mmeona appartment za Tanzania❤
Naupenda mji wangu Daresalaam
Naipenda nchi yangu Tanzania❤
I like the way pluto has positive mind
Pluto anaweza kuongea cha tanzania hongera
I love love this part of your travelling vlog in a different place ❤️
More to come!
nipitie please
@@felicityshiruofficialmunaweza kuweka jina la iyo apoartment?
yaani niko saudia na mmenipigisha maroundi tz,thankyou fel and pluto.
nipitie please
😂😂😂me too am really enjoying this tour nikiwa hamam❤❤
My favorite couple Nawapenda love the vlog of Traveling,,, Team fel lets grow together,,, team kupitiana team work lets gather here please
Mnaeza mkawa mnakaribia moshi au njia panda huko .... i would love next time to be your guide 😢am from Arusha
nipitie please
Pluto and the family forever will be my favorite ❤❤❤❤
😍😍much love frm this side #fel to the world♥♥♥
Nawapenda bure hawa watu 😍😍
Concerning used car imports, here they dont restrict, but they charge more in import duty with car age
Unaeza import gari kutoka Tanzania? Bila numberplate alafu ukuje ueke number plate ya kenya
@@sakuraesther6309 Itapitaje kwenye border ya Kenya. Tanzania unaweza kuipitisha kama International Transfer lakin inapingia Kenya lazima utazuiwa kulingana na sheria za huko. Labda utembee na plate za Tz
Wow aki namiss hao watu sana,,,nishajua penye wako sasa
Lots of love @ fel and Pluto.
Subscribe
nipitie please
Another banga lovely....tour vepee vepee thanks for the Tour Mrs ndegwa 🫶🏿🍹🍹
Kweza kwezaa😂
Try uganda you will really enjoy cheap life and beautiful inthe pearl of Africa
PLUTO is a fast learner. arusha we also have shengs na naona amezikamata kiasi
You guys should do research before talking abeg 😂don’t lie eti wakenya mkija TZ mnaonekana mna hela hapo mnakutana na watu wahali ya chini bana 😂na hapo kwenye magari jamani jamani 😂🙌
Naingia Tanzania first time December, can't wait to experience too
Wow welcom much in Tanzania 🇹🇿
My goodness you're a beautiful couple ❤❤❤❤ God bless you
Second viewer🎉nipewe hizo likes😂😊
New subscriber nipitie pia
wazi nshakupitia
😊@@Mercy2369
Felicity kujeni mbiga niwasalimie jameni fel si umwbie niwasalimie ❤❤❤
10 loves for 10k subs💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕, Thanks guys. Lets continue,
Ni wangapi tunamiss soey❤
If una agree fel amekua thick mnipitie hapa😊
Hamjakutana na range zilizoandikwa majina y watu kwa p,numbers na owners wako 22years old
I love these traveling contents❤
Nice couple the plutos
Omg MamaZoey and BabaZoey. It's awesome, Fel to show us places, especially part of North Africa. I enjoyed your video.Thank you so much Pluto for being supportive to your wife you are such a caring husband to your family 💗 ❤️ ❤Enjoy ❤❤
Subscribe plz
More Winnings Sis❤🙏
The sky is not your limit sis
Wow❤
woow, leo nimemarkiwa register... all the best my favorite couple
New subscriber nipitie pia
@@Mercy2369pitia pia
Karibuni dar jmn nawapendaaaa
I have been to nakuru pluto uko sawa
Wow nakupenda fel meanwhile watu wa fel please nipitieni
Nipitie nikupitie
Pitia pia
@@FaydenAnupidone nipitie pia
@@FaydenAnupi sawa
@charitylove1991 pitia nikupitie notification nitaona tuu
Kofia ya wasapere representing
Karibun sana Tz
karibun kigamboni😊❤
Beautiful place team feel nifikisheni 1k
nipitie please
Team fell tupitiane bhaana
Hao ni watanzania gani awajui air bnb. Sio kwel bhana
Tz una specify bhana wali na kuku or samaki acheni kuwadanganya hao gen z wenzenu
@felicity shiru could u please Tag the name of this BnB ni kupoa sanaaaaa
Pluto akuna gari mpya ya 10m that's a lie labda ununue used kwa mtu
Though sio kwa ubaya
I was about to tell you mtafute Kiredio. Huyo ndo Pluto wa TZ 🤣
😂😂😂😂😂
Hahahhaa ulikuà akilini mwangu akii wafanye kumwona kiredio ndo Pluto wetu tz
Welcome Tanzania we're waiting for you
Mbest UA-camr ❤❤
My favorite ❤
welcom home 🤗
we shiru yaan umeona tz ndio sehemu ya kuzagamuana nyie achen bhana
Nice one 👌 Felicity❤
Kuča ti je dosta dobro uređena
You people like comparisons,you like competing with Tanzania 🇹🇿,meanwhile Tanzania 🇹🇿 are just trying to better their country,,nonsense
Mbona unakasarika?
Nimeishi tz maeneo mengi kiswahili Yao na Kenya ni the same kabisa maneno mengi mmewaekelea, pia majority are christians but huwezi jua coz sio big issue kwa tz kuhusu dini au kabila ya mtu .
You are familiar with tz 🇹🇿. Good one mate
Tanzania nchi yetu❤
that place is super clean frr
nipitie please
I’m enjoying this from🇹🇿😊😊🔥😂
Love you guys ❤️❤️❤️
Go and visit Zanzibar
No wengi ni wakristo
Karibun Tanzania karibuni Dar es salaaam...wenyewe tunapaita Dar
not himalaya mountains....Uluguru mountains
Karibu kwetu
Njoo niwafunze kiswahili cha 🇹🇿
Mm militewe kitenge
Karibuni sana
atleast we have missed your content
hard to skip this video while watching... Karibuni tena bongo majirani zetu
Am lacking words letme say its ❤❤❤,we lakini mrudi bana accent isiende mwanze zile za blo ama pisi butu😅😅😅
New subscriber nipitie pia
Mnachekesha na hiyo kiswahili chetu mnanichekesha sana😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤ karibu dar
Fely,,nipee location. Nikuje nipee hyo jamaa company 😂😂😂😂😂,, imagine Ako pke yake na mm nko peke yangu,,,usiku ikifika namhurumia😢
karibu kwetu fel
Watu wa kupasiana mko where...mtu afike kwangu nitembelee pia ❤❤❤
@tessy_ngoyaNipitie nikupitie pia
Pitia pia
Done nputie
@tessy_ngoyaDon npitie
@@FaydenAnupidone npitie pia
Hae fel love your vlog💕💖
mje mwanza tupate dinner nyumban kwangu😂
Felisit if you don't mind. Je tunaweza kuonana please I am in Daresalam welcome
Kupitiana gang...mimi niko rada❤❤❤❤
Twende nalo guys
@Eunicendeche pitia pia
Hae fel uko poa sana 😅 mbona mnafanana na sonie huyu beshtay ya dorea
New subscriber nipitie pia
Umeanza kutupima😂
nipitie please
FELICITY UMEFIKA BONGO NA WEWE
nipitie please
You people nikama niliwaona mlipita hapa halotel bulid
Welcome TANZANIA ..❤️🇹🇿
Try to visit all the National Parks we have
Your so so welcome ..KARIBUNI HOME 😊
nipitie please
@charitylove1991 done nipitie pia
Jina la appartment?
Hv enjoyed watching 4m saudi fel ebu ongelelea hio story ya investments kwanza hapo kwa how 2 own a land thank u am 4m kenya though
Hello dear,,,nko Saudi pia akikushow ni tag pls
Tanzania yote si kama mombasa we wacha bana
Tupitianeni guys ❤
Pitia pia
Mentally in Tanzania nazurura
Mwili iko kenya inakaa tu😂😂
Apo ni mwanga wapo wapare
Weeeuh hujui chochote. My friend I'm Tanzanian in Kenya but what you said about vehicles is totally wrong. You talking of the old times, times that Tanzania used to import old vehicles. I challenge you to go check Prado Tx. Again story ya number plate ya waziri you yapping bila kujua chochote,only number plates for chief justice have plates with CJ.😅😂😂😂 Na change pia uligongwa😂😂😂😂. Anyway enjoy Tanzania and learn about it ndo uache kudanganya Kwa video hapa😢
❤❤❤❤
Hello
Tupitianeni we grow pamoja 🎉🎉🎉
Pitia pia
Team fel nipitieni pia guy's 🙏 5k subscribers
nipitie please
Done pitia pia
Where’s it located? Kindly give the rates and contact if possible.
I’m planning to come there for holiday from 1st Sept.
Feli tafuteni kiredio huko .pluto wa Dar😂😂
Hamjasema how much the air Bnb is in Dar....
Nipitieni niwapitie kindly
Pitia pia
Mfanye content moja na kiderio itabamba sana jmn😅😅😅
Fanyeni tuonane jamani
Fel you don't need a director that will be too much expense just vlog by your own vile unavlog sai its interesting