ALIEDAI UNABII AKAMATIKA NO 2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 29

  • @chichiabdallah8911
    @chichiabdallah8911 6 років тому +8

    Uislaam hautak mchezo nabii wa uongo kwetu hakuna, km unaamin nabii wa mwisho ni muhamad gonga like hapa

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 6 років тому +2

    Shekhe Mziwanda Nakuja Kwako Kujifunza Dini Wallah

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 7 років тому +4

    Mwalimu wangu Muharam Mziwanda... MashaAllah

  • @jadilaraphael3668
    @jadilaraphael3668 6 років тому

    mashaaaaallah sheikh muharram , to a elimu kwa waislam , huy amza labd ana mapepo

  • @saidakarim1043
    @saidakarim1043 7 років тому

    Assallam aleykum.tumuombee kwa allah amuongoze na sisi atuongoze (bora mmemuelewesha amekosea.huwezi kujua ana matatizo gani

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 7 років тому

    Sheikh mziwanda upo sahihi katika kuzipangilia hojja zako.. laikin katika kipengele cha mhubiri unacho mpa bado kabisa hafanani na mafunzo ya dini ya kiislam . Haji mtu kuleta hoja za uchache wa elim kiasi hiko na makufuru ndani yake ikisha akawa bado ni muhubiri.. ifahamike tu anaye kwenda kukanusha ujumbe uliopo katika qur'an billa shaka kisha kufuru wala haina haja ya waislam kumkufurisha... inshaallah mungu amdhalilishe kabla hatam ya uhai wake inshaallah..

    • @allymwako2441
      @allymwako2441 6 років тому

      Kama ni Nabii Na ametamka anao wafuasi ni Jambo la kutafakari kwa kina msipoteze muda mwingi kujadili Na MTU Muongo kama alivyopewa jina lake jipya, Kwa Mimi nisiyo Na elimu ya kutosha matamshi yake yanatosha kumtambua ya kwa si Mwislamu yeye ni Mkristo aliyejiingiza katika elimu ya dini ya Kiislamu ili apate pa kupingia Na pia apate kipato kwa wakristo anapopinga miongozo ya Quran,na hiyo sheikh wake huko TAMTA anaitwa nani ili tupate back ground yake.Huyo anaonekana ni Mchungaji wa Kanisa hata kwa hotuba zake Mwenyezi Mungu amlaani.Huyo amepandikizwa mtoleeni hukumu ya kidini.

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 6 років тому

    Mwalimu Sheik Elimu ya Dunia haitoshi.kuna kitu unakosa ili umuelewe Hamza.mna maharifa ya Dunia sawa nivizuri.nakila mtu alisoma.mnakosa kitu moja.Maharifa yakiungu.Roho mtakatifu alie nguvu za Mungu,alie Maharifa ya Mungu.ndiposa kuelewa yale yako kiroho sana sababu Mungu ni Spirit.shida mnaikalia ubishi sana nakutetea Dini Dini.Mungu wambinguni awajalie Neema awafungue macha kama hamza.nasi kila mtu.

  • @jadilaraphael3668
    @jadilaraphael3668 6 років тому +4

    askutane na mm huyo sheikh hamza hakika nitamwagia mkojo wa mwamba

  • @rachaelwangui9726
    @rachaelwangui9726 6 років тому

    SubhanaAllah

  • @NurdinKishik
    @NurdinKishik 5 років тому

    yaallaah

  • @abuuyuwshau7023
    @abuuyuwshau7023 7 років тому +2

    nimecheka kweli baada ya kusikia hiyo aya anavyoisoma, kweli uwendawazimu una matawi mengi

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 7 років тому +2

    Yaani yeye Mtukufu wa Darja..,? ASTAGHFIRULLAH...!!...Ila limemkima yeye Na wenzie'...!!..

  • @amedeusikimey8040
    @amedeusikimey8040 6 років тому

    wapo wengi kama yeye asije kutuchafulia ukristo we2 kama mlivyo zoeyaa

  • @aminland8167
    @aminland8167 5 років тому

    HUYU AKILI ZIMEMRUKA HAKUNA NABII TENA BAADA MUHAMAD LABDA KWA WAKRISTO NDIO KUNA MANABII ATAWASUMBUA UYO MWEHU

  • @shuwehaharunaomariikwena233
    @shuwehaharunaomariikwena233 7 років тому +3

    fanyeni mkutano mwingine kuhusu mashekhe walioko jela bila kosa

    • @dulaisalim617
      @dulaisalim617 7 років тому

      Shuweha Haruna Omari Ikwena achauchochozi

  • @gkenjimuhammad424
    @gkenjimuhammad424 7 років тому

    Huyo mwana bado anazingua tu! Hadi leo?

  • @salumalawi3434
    @salumalawi3434 6 років тому

    ndugu zangu eeee msipoteze mda wenu mkapotezea na wengine hakuna muda mchafu mtu kama huyu mchukueni kwanza mkampime akili na sio kukaa na kupigishananae kelele pengine mgonjwa wa akili.

  • @abubakarimwasumilwe7293
    @abubakarimwasumilwe7293 7 років тому +2

    Naam" huyo bwana ni mpuuzi tu. ila wito wangu kwa Mashekh ni vyema wafanye jitihada za kumwita huyo mpuuzi ili wafanyenaye mahojiano Mubashara" ikibidi wamfate hukohuko aliko.... Lengo wamchunguze akili yake, pia wamkanye khasaa asiendelee kulopoka huo upuuzi wake.

    • @ziadaalute6836
      @ziadaalute6836 6 років тому

      Abubakari Mwasumilwe anachanganya mambo huyo nabii

  • @hassanmohdallyally9552
    @hassanmohdallyally9552 7 років тому +1

    Yaan ukitakaa kujuaa kmaa sio mtume huyoo anakunywa maji kasimama haha mtume kutoka bunjuu nn

  • @babylidyaandrea4568
    @babylidyaandrea4568 6 років тому

    Kila kitu mnawaiga waalabu Mungu mnamuita Allah ipo siku mtambadilisha mmuite Abuy 😂😂😂😂 kila kitu waalabu Quani yenyewe imeandikwa kialabu hamuwezi kuisoma vzr kama waalabu wenyewe wanavyo isoma

  • @sifaali1744
    @sifaali1744 7 років тому +1

    sasa huyu hata kusoma quan hafaham kwa nini anaday unabyy huyu agekatwa kichwa chake mana huy hayuko sawasawa

    • @hajimakarabai4700
      @hajimakarabai4700 7 років тому

      Sifa Ali huyo nikumchinja tu sio hoja wala kupoteza Muda ila kakupiteni ulijari haiwezikani mmesoma halafu mmefanana nawakezenu mwanaume ndevu sio sharubu

  • @zahramtumwa7715
    @zahramtumwa7715 6 років тому

    ww unaedai utume nishez tu njaa inakusumbua kakae uko nyumban kwako namajini yako usipotoshe uma wakiislam yapomambo kibao yakuyekemea kama ushoga na nazinaa kamar,na mengineyo sokudai utume weee mwehu ww

  • @mbidadaud1256
    @mbidadaud1256 6 років тому

    mtu akijiita nabii ww inakuuma nini? Hawana tofaut na wale wazee wanafiki enzi za yesu