MWAMPOSA; BULLDOZER/WAZAZI WANGU HAWAKUELEWA/JINSI YA KUHAMISHA MILIMA/ILIBIDI NIACHE BIASHARA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • DIZZIMONLINE TUMEPATA NAFASI YA KUFANYA MAHOJIANO NA MOJA KATI YA MTUMISHI WA MUNGU MAARAFU SANA HAPA NCHINI TANZANIA, MTUME BONIFACE MWAMPOSA[BULLDOZER] NA KUFAHAMU MACHACHE KATIKA MENGI KUHUSU HISTORIA YA MAISHA YAKE NA JINSI SAFARI YAKE YA KIROHO ILIVYOANZA.

КОМЕНТАРІ • 64

  • @winfridamakoyola4213
    @winfridamakoyola4213 3 роки тому +42

    Nabarikiwa sana na huduma yako Dady akee gonga like kama unamuelewa mtumishi

    • @paulokalega638
      @paulokalega638 11 місяців тому

      Mtumish nikisikia saut yko nabarikiwa sana mung akupe maisha marefu

  • @saumuabdalah5818
    @saumuabdalah5818 3 роки тому +5

    Nimejifunza mengi kupitia historia yako baba barikiwa sana mtume

  • @ReyJohnson-gr3fw
    @ReyJohnson-gr3fw 16 днів тому

    Mtmishi niombee nipate kaz ya sheli kirahis kbs kuanzia mwezi ujao Ameen

  • @florakagaruki6172
    @florakagaruki6172 2 роки тому +3

    Mungu Akuinue zaidi na zaidi Mtume Mwamposa. Amina

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 Рік тому +2

    Niko kwenye bonde la mauti Bwana Yesu unitengeneze Amen.

  • @twalikimawalanga800
    @twalikimawalanga800 3 роки тому +3

    Mungu akupe maisha marefu kwaudu uzidi kutubariki

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 Рік тому

    Yaani siwezi sema mengi kwa Mtumishi wa Mungu huyu amenisaidia sana nimemjua Mungu kupitia madhabahu ya Arise & Shine Mungu aendelee kumuongoza.

  • @livedyoggo-il6vl
    @livedyoggo-il6vl Рік тому

    Amina nafrahia huduma yako

  • @felister6700
    @felister6700 Рік тому

    Napenda kusema ahsante sana MUNGU kwaajila ya mtumishi wako

  • @ReyJohnson-gr3fw
    @ReyJohnson-gr3fw 16 днів тому

    Afarakane na mahawala wake wote alionao wanaomfanya anijibu jeur mpaka ananinyima hera ya tumiz kuanzia sas afarakane nao wote kila watakachomuomba awanyime awambie Cna nimempa mke wang Na ikawe hvyo kuanzia sas Ameen

  • @ReyJohnson-gr3fw
    @ReyJohnson-gr3fw 16 днів тому

    Mmee wang aniote mm mke wake ucku huu asilale ucngiz fofo anifikilie mm tu mke wake Na anipende kupita kias Nikimuomba chochote Na mtume Bulludozer sombasomba aniombee mm nipate mimba ya watoto mapacha wakike nawakiume nitakapopona tu period mwez unaoanza wa 9 niwe nimebeba ujauzito wa mmee wang Jastine James Ameen

  • @gracemichael2159
    @gracemichael2159 2 роки тому +4

    Ananibariki sana mungu akupe maisha marefu

  • @tumaininyamageni3869
    @tumaininyamageni3869 Рік тому

    Amen,Mungu azidi kukuinua na uishi miaka tele

  • @vailethkinabo7961
    @vailethkinabo7961 3 роки тому +5

    Nyuma yako tupo hata waseme nini mimi nakusikiliza maombi yako kwa simu tu nabarikiwa Injili iende mbele baba

  • @beatricejohn7569
    @beatricejohn7569 Рік тому

    Ni mtumishi wa kipekee Sana,Mungu azidi kukutumia

  • @iddimalima4702
    @iddimalima4702 Рік тому

    Nabarikiwa baba umenifundisha mengi mungu awe nawe

  • @fausitinanyamtegera203
    @fausitinanyamtegera203 2 роки тому +1

    Mungu anaweza barikiwa baba.

  • @user-ms1fg5vv1p
    @user-ms1fg5vv1p 10 місяців тому

    Amen

  • @jerusamaina2145
    @jerusamaina2145 Рік тому

    Boniface Mwamposa nimepona mtumisi wa mguu

  • @tatiside2637
    @tatiside2637 3 роки тому +1

    Mtumishi wangu mm tunabarikiwa sana na uduma yako

  • @wemamgata
    @wemamgata Рік тому

    Mm naitaji maombi yako Sana baba

  • @jerusamaina2145
    @jerusamaina2145 Рік тому

    Haliluya❤

  • @idrissadee4498
    @idrissadee4498 Рік тому

    Nabarikiwa sana akitufundisha neno

  • @babajurnior9182
    @babajurnior9182 3 роки тому +1

    nabarikiwa sana kila ninapo sikia neno LA mungu mungu akuweke mtumishi WA mungu uzidi kutufundisha tumjue mungu asante sana

  • @mwajumajumanne6206
    @mwajumajumanne6206 3 роки тому

    Aminaaaa apostol

  • @saumuabdalah5818
    @saumuabdalah5818 3 роки тому +3

    Amina bab ulizaliwa kwa ajili yetu tupone

  • @agnesmichael1797
    @agnesmichael1797 3 роки тому +1

    Ameen

  • @annakimaro7125
    @annakimaro7125 3 роки тому

    Amina mshua

  • @oscarmgeradinukauangaze1130
    @oscarmgeradinukauangaze1130 2 роки тому

    Asante kwa KUFUATRIA

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 2 роки тому

    Mungu akubariki uishi milele

  • @Baddeset87
    @Baddeset87 3 роки тому +2

    Yoh ur so beautiful cct💞love u from malawi

  • @peternyambo222
    @peternyambo222 Рік тому

    Baba yangu, Mungu akupe maisha marefu sana

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 2 роки тому

    Mungu azidi kukuinua baba

  • @samwelnuru6571
    @samwelnuru6571 Рік тому

    Barikiwa na mm Niko kwenye bonde napita niombee

  • @eng.emmanuelh.cy.magazi4989
    @eng.emmanuelh.cy.magazi4989 2 роки тому

    Hakika u mtumishi wa Mungu

  • @sarafinamasanja8664
    @sarafinamasanja8664 2 роки тому

    Nabarikiwa kupitia ww

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 роки тому

    I watch from Germany

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Рік тому

    Zambia wanapesa sana, ila za uchawi

  • @katherinasamwel3937
    @katherinasamwel3937 3 роки тому

    Améeeen Ameeeen baba

  • @emanuelsanga6383
    @emanuelsanga6383 Рік тому

    ❤️❤️❤️❤️❤️Amen

  • @josefjastin5531
    @josefjastin5531 3 роки тому +3

    Weka namba yako ya simu mtumishi wa mungu

  • @mwaiselamwaisela7262
    @mwaiselamwaisela7262 2 роки тому

    Nimepata kitu hapa, utulivu unyenyekevu, ili usonge mbele kihuduma ukubari kukaa chini ya mtu.usiwe na haraka ya kukimbilia ikuru.

  • @lucymollel8212
    @lucymollel8212 2 роки тому +1

    Mimi kila siku naweka bando ili nikusikilize siku sina hela nakosa amani

  • @glorycharles7219
    @glorycharles7219 2 роки тому

    Hicho kitabu Cha hatari ya siku ya pili kinapatikana?

  • @puretv8742
    @puretv8742 2 роки тому +1

    Aahh dada kujichanganya sana ivi Mungu yupi mwenye kuwapa mkristo na muislamu nguvu zake ama yupo Mungu vuguvugu?? ebu uyu Dada atueleze 🤔???

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 Рік тому

    Boludoza haya baba ila me sijaelewa vzr maana ya boludoza baba

  • @neemamsanga253
    @neemamsanga253 Рік тому

    Kaka Yako yupi???

  • @FatmaAli-vk8je
    @FatmaAli-vk8je 2 роки тому +1

    Mm nipo zanzibar nitakupata wapi

  • @africanhistoryforgotten7
    @africanhistoryforgotten7 3 роки тому

    Mungu hajafanya miujuza wakati babu zetu walichukuliwa utumwa

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Рік тому

    Unaongea sana give time to people in Q&A you are appearing too big but you are too small

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 3 роки тому

    Isikie hii👇
    ua-cam.com/video/hur9ZtUkVaA/v-deo.html

  • @analucas7606
    @analucas7606 Рік тому

    Amen

  • @analucas7606
    @analucas7606 Рік тому

    Amen amen