NAFSI EPISODE 81

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025
  • Ndewa akiwa mjini anaanza mabalaa yake

КОМЕНТАРІ • 63

  • @AnnastaziaVicent
    @AnnastaziaVicent Місяць тому +4

    Mapunda kimekulamba 😂😂

  • @AishaJuma-yu6yq
    @AishaJuma-yu6yq Місяць тому +5

    Mapunda kimekulambaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @elizabethnthenya2814
    @elizabethnthenya2814 Місяць тому +4

    mapundaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi Місяць тому +9

    Lazima leo mnipe like leo mimi wa mwisho jaman like kidogo ❤❤❤❤❤kazi nzuri sana

  • @RoseBaby-y2g
    @RoseBaby-y2g Місяць тому +4

    Kaz nzuri wakawaka ❤❤❤❤❤❤

  • @VenahBonah
    @VenahBonah Місяць тому +4

    Jamani ndewa majibu yako kwa huyo mdada n hatari daah ila yatakuponza mchana kweupe 🎉😂😂😂

  • @fatumakushonda4277
    @fatumakushonda4277 Місяць тому +4

    Kumbe ndewa nae ana uchungu n dadake,anavyofanya dada w wenzako

  • @Nyangondeog
    @Nyangondeog Місяць тому +3

    😂😂😂😂 Waka Waka ni 🔥🔥❤️‍🔥

  • @VivianSimidi
    @VivianSimidi Місяць тому +4

    ❤❤❤❤mpunda weee 😅😂😂

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Місяць тому +5

    Jamani Sada mbona unakuwa hivyo,,,na sehemu yako uliyocheza wewe wala haifundishi maana sidhani kama kuna mwanamke ataweza kuwa kama wewe kwa mwanaume aliyemtesa hapana sikubali

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت Місяць тому +3

    Jee mapunda leo umeyavagaa 😂😂😂😂😂

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 Місяць тому +4

    Ndewa we kiboko unalogwa mchana kweupe 😂😂😂😂😂😂 mapunda mwaga mchele hakuna siri hapo😂😂😂😂😂

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p Місяць тому +5

    Kandele msomali alisimama na msimamo wa kukupenda nawe usimwangushe tafadhali

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b Місяць тому +3

    😂😂😂😂mapunda mdomo ume mponza😂😂😂😂

  • @ImaeImae-p3v
    @ImaeImae-p3v Місяць тому +4

    Sada huna akili kwer unanikera bola ungekufa tu sku zile😏😏😏

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p Місяць тому +2

    Hahahahaha we hujui mtu unaonyesha pesa

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Місяць тому +3

    Ila mapunda jaman ata mtu hapumziki tyr wampa umbea😂,khaa!

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p Місяць тому +3

    Simba amerudi mjini sema kupata mambo yamebadilika

  • @DaudiMdolo
    @DaudiMdolo Місяць тому +5

    Dada akili hanaaaaaa kabisa gonga like

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك Місяць тому +5

    Wangapi wanamuona sada. Hapendezi na kutabasam. Afazari siours. Maana akicheka mdomo wake kama samaki kakamatwa na ndoano😂😂😂😂 kibovu kwene mapenzi

  • @RehemaMwakisyala-k9u
    @RehemaMwakisyala-k9u Місяць тому +3

    😂😂😂😂 mapunda mbavu zangu jaman🎉🎉

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 Місяць тому +4

    Yani sada una pepo la ngono wewe adi una bowa auna msimamo wewe saa ndewa karudi na ukimwi ngoja kikulambe

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك Місяць тому +3

    Lazima ucheke atakama unaasira kiasi gani. Mapunda umbea auachi nyuma lani. Ww. Nia kuogelea kwenye mcanga kweli.

  • @ashurafundi2873
    @ashurafundi2873 Місяць тому +3

    Ndwewa utakuja kulipa haya maumivu unayonisababishia mi wakushindwa kulala kwa ajil yako🤸🤸🤸🤸🤸

  • @Hellen-l9o
    @Hellen-l9o Місяць тому +3

    Mapunda kimekuramba 😂😂😂😂😂 Ndewa wewe umenishinda tabia

  • @Maggy-nr4un
    @Maggy-nr4un Місяць тому +5

    Mapunda Leo kauponza😂😂😂

  • @KeristiStel
    @KeristiStel Місяць тому +3

    Sada fala kweli hatakama nikuigiza umezidi

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 Місяць тому +1

      Tena fala kabisaaaaaa,,,uigizaji gani huwo

  • @ShakuurRayyan
    @ShakuurRayyan Місяць тому +4

    Akii mapunda wey😂😂😂

  • @LovenessJamesi
    @LovenessJamesi Місяць тому +5

    Ndewa atalogwa na icho kidem wangapi wanaamini ilo😂

    • @ndewatv
      @ndewatv Місяць тому +1

      Hahahahaaaa Silogeki Mimi ninamizimu yakwetu inanilinda😅

  • @KambiJr-s1c
    @KambiJr-s1c Місяць тому +4

    Kandele baki na shem wangu Msomali usimkubali mvuta bangi😂😂😂😂😂

  • @MonicaNathanael
    @MonicaNathanael Місяць тому +3

    Alafu ndewa anamauzi huyu jmn bora wamloge tu

  • @MohamedSurenge
    @MohamedSurenge Місяць тому +4

    Duuuh Ndewa unataka dada yako umpe mwizi huyo Kandele usikubali

  • @SabrahNibuka
    @SabrahNibuka Місяць тому +5

    Huyo ndiye ndewaa Og🎉🎉❤

  • @MariaHussein-f5w
    @MariaHussein-f5w Місяць тому +5

    Mapunda kimemrambaa😂

  • @KulwaAndrew
    @KulwaAndrew Місяць тому +3

    Sada ka jinga vileeee

  • @PriscaErnest-u2l
    @PriscaErnest-u2l Місяць тому +4

    Sada sada sada nimekuita mala tatu kaacha mimba huko

  • @كازاكاهيند
    @كازاكاهيند Місяць тому +3

    Daa sada kuwa na musimamo ww

    • @nasraAl-b1w
      @nasraAl-b1w Місяць тому +1

      Yani sada ananiuzi😂😂😂😂

  • @geosimon363
    @geosimon363 Місяць тому +4

    Uyu kenge kwani Mama Suma kamkosea nini 😂😂😂

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 Місяць тому +3

    Mashallah ❤❤❤❤❤❤

  • @RehemaSeleman-x7s
    @RehemaSeleman-x7s 9 днів тому

    Nimecheka mapunda aisee😂😂😂

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna Місяць тому +3

    Mapunda 😂😂😂😂😂😂we kenge Ndewa n hyo killer madevu wko msituharibie sie,ety msomali nywakupa nn anachompa ww huwez mpa😂😂😂jinga lawa jinga Sada,halafu hpo mwisho pa tamu

  • @KulwaAndrew
    @KulwaAndrew Місяць тому +3

    Maskin kandere so kwa kufyekuliwa kuleee mkofi huooo khaaaa😢😢😢

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت Місяць тому +3

    Eee ndewa hutaki watu wzjue kama umekuja ,na umemwaga mchele kwa kuku wengi ,umeyavagaa ,kaka maana habari ishafika kwa wahusika 😂😂😂😂😂

    • @ndewatv
      @ndewatv Місяць тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alish2182
    @alish2182 Місяць тому +3

    Ndewaa wewe utarogwa😂😂😂😂😂😂

  • @LovelyCows-dq2uv
    @LovelyCows-dq2uv Місяць тому +3

    😂😂😂😂😂

  • @berthadaudi6433
    @berthadaudi6433 Місяць тому +3

    Sadq acha ujinga x harudiwiagi 😂😂

  • @maujanjaentertainmentpicture
    @maujanjaentertainmentpicture Місяць тому +3

    NAFSI EPISODE 82
    ua-cam.com/video/1zzk4elkUC8/v-deo.htmlsi=5sn3L42KG_IlW0dB

  • @mariammwinyiali
    @mariammwinyiali Місяць тому +4

    We sada unashida gan 😲mbona huna msimamo unaendekeza umalaya tu 😠😠

    • @esterkimalio8846
      @esterkimalio8846 Місяць тому +1

      Na inaonyesha ndio tabia yake

    • @RisperDzame
      @RisperDzame Місяць тому +2

      Huyu sada nilikua nampenda san lakin sahii amenitoka na umalaya wake😏😏😏

    • @mariammwinyiali
      @mariammwinyiali Місяць тому +1

      @RisperDzame Wacha tumuone na umalaya wke.😏ety mafeelings yamemrudisha Kwa MALAYA MWENZIE NDEWA HAJUI NDEWA NI KICHAA MTARAJIWA 😏😂😂SADA UNANIBORE SANA

    • @mariammwinyiali
      @mariammwinyiali Місяць тому +1

      Wacha maua yngu yaende Kwa PUNDA MNYAMA MTOTO WA MJINI HANA MBAMBAMBA 😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

    • @RisperDzame
      @RisperDzame Місяць тому

      @@mariammwinyiali 🤣🤣🤣🤣

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 Місяць тому +2

    ❤❤❤❤

  • @annabodsch3566
    @annabodsch3566 Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @NashSeleina
    @NashSeleina Місяць тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 ndewa huyooooo

  • @lovenesskyungai7882
    @lovenesskyungai7882 Місяць тому +2

    😅😅😅

  • @berthadaudi6433
    @berthadaudi6433 Місяць тому +3

    Sadq acha ujinga x harudiwiagi 😂😂