yo bertin next trip plz go to all of tanzanias megaprojects in detail and plz also go back to that ubungo mall bcs its already november it must be done now
Wanatakiwa kujenga flyovers mapema ma kuupangilia mji Mfano barabara ya kuelekea airport na arusha wangejenga super highway and also electric trains within the city kutoka wilaya moja kwenda nyingine hapo watawin sana mji unjengeke kwa hadhi ya nyota zakimataifa
Nilichogundua ni kwamba ninyi Wakenya hata Geography na History mnazosomaga sijui mnasomaga Wakikuyu, Waluo, Kalenji tu? Kuhusu nchi nyingine hasa za Africa hamjisumbui kabisa. For me, I knew a lot about Kenya, even before I went there. Dodoma Ni Mji Mkuu wa Tanzania zaidi ya miaka 40 sasa, wewe hukusoma hilo primary? Nilishangaa siku moja rafiki yangu mmoja wa Kenya alishangaa kusikia kuwa Tanzania unaweza ukasafiri kutoka mkoa fulani kwenda mwingine kwa siku 2, eti, ''Is that still within the same country''? Na hata hakujua in terms of Population and land size, Tanzania is the top in EAC, before DRC ikuje. Alishangaa na mimi nikamshangaa.😄😃😀 Please, someni mzijue nchi nyingine, sio mnawaza tu kuhusu fursa zilizoko.
Kupanda miti Dodoma ni sawa na mwanamke ajichubue, radha inapotea. Ukame na vichaka vya miba ndo utamu wa Dodoma. Watu wanaenda kutalii jagwani itakuwa Dodoma, maeneo ya miti ni iringa tabora na huko kwenu
@ototek8037 Jagwa kwako unaina ufahari? Wenye majangwa ya asili wanajaribu kuyabadirisha lakini wewe unaomba jangwa. Hakuna jangwa Tanzania bali Ni uvivu na uzembe wa kutunza Mazingira ndio umetufikisha hapa tulipo.
@@explorewithbertin Its true that the construction is still going, however Tanzanian planners need to rethink on this, narrow streets in Tanzanian big cities is a problem. You can not compare this with Nairobi, or what is being done in Mombasa, now. Kenyans are doing better on city planning.
Kama uko dodoma nenda katembelee njedengwa investment area nako wanajenga smart city kama magufuli city na ncc link, huwa wengi hawaendi kule kupaangalia,ukipata muda nenda kazunguke na kule halafu utuletee majibu
Kilichoandikwa ni Kiswahili, Kituo cha Gari Moshi kwa Kiswahili ni STESHENI, sasa wewe ulitaka waandikeje? Hiyo SGR unayosema ndiyo Kiingereza !! Kasome Kiswahili utaelewa.
Sio lazima kila mji uwe kijani ndio uonekane mzuri, California, Nevada, Gaborone, Windhoek, Capetown, Dubai ni baadhi ya miji mizuri sana duniani na yote ina hali ya hewa kama ya Dodoma
Dodoma is semi desert okay??? Tanzania have four different weather in some places you can even experience snow, Dodoma has a hot, semi-arid climate with warm to hot temperatures year-round. Huwez ukafananisha na miji mingine
I think you are the poorest thinker...!! Do you think it was a poor idea also for the UAE to locate DUBAI the place it is?? Please rethink. Dodoma is just semi arid, but Dubai is purely desert!!
@MANGOMBESAID you guys are just copycats, Dodoma doesn't even qualify to be called a city, it is still a town based on population and the scanty development evidenced by countable buldings
I am a Kenyan 🇰🇪 and Dodoma is looking beautiful,its really raising at high speed. Kudos Tanzanians.
I was hoping to see the bus station ya dodoma
In you tube search stend YA mabasi YA dodoma
Informative
Proud of my country ❤❤ especially dodoma..!!!
Very informative. Good job bro! Keep updatng us about the Dodoma city
Many thanks brother for exploration. Job well done 👍
That's what is exactly happening in konza city, everything is under ground no hanging wires or sewer lines 👍
Kwani usipolinganisha Tz na Ke utapungukiwa na nini?!
I hope the government has a great environmental plan for that city because It really not looking right without trees.
Everyday we continue to shut their mouth up😂😂
Always they proud English speaking 😅
You must be crazy. Look for Tatu City and Konza City you will be surprised.
You're crazy. Search for Tatu City and Konza City you will be surprised.
Kazi mzuri TZ kutoka KENYA
Nice videography,Bertin.Sasa T.F.S wafanye kazi yao.Waoteshe miti inayoendana na hali ya hewa ya Dodoma.
Important is to make Dodoma green will be fantastic place l hope Gorvement will Do
I hope they will do so too. Without lots of trees it just look like ghost city to me
Nimependa Dodoma inavyobadilika
You are doing a great job bro i appreciate it
yo bertin next trip plz go to all of tanzanias megaprojects in detail and plz also go back to that ubungo mall bcs its already november it must be done now
I can not emargin the way Dodoma is changing rapidly
Nice video
Botswana 🇧🇼🤩! Ooh sorry 😅, Oops 😬… it’s Tanzania 🇹🇿 ! It looks like Botswana ❤️🇹🇿😍🙏🏾
Yes. Dodoma looks like Gaborone or something
@@explorewithbertinAbsolutely 👍🏽
@@explorewithbertin I think its because, Dodoma also is Semi Arid land, just like most part Botswana.
Beautiful Dodoma 😍😍😍
Just liked the city 🌆 what’s the average temperature there ?
Beautiful than Mombasa
Damn...!! Don't compare your Mombasa with Dodoma. This is Capital of the Hail Giant country in East Africa.
Wanatakiwa kujenga flyovers mapema ma kuupangilia mji
Mfano barabara ya kuelekea airport na arusha wangejenga super highway and also electric trains within the city kutoka wilaya moja kwenda nyingine hapo watawin sana mji unjengeke kwa hadhi ya nyota zakimataifa
Budget yake sio mchezo ww😁
Plan ya treni ya umme ya ndani ya mji ipo tayar
Well said bro. Flyovers ni must not only hy outer ring road itasolve the jam issue
Bertin naipenda kazi yako❤❤😅
Ahsante sana
Good Job my brother keep it up
I am a Kenyan. Is Dodoma a new City coming up or what? It looks to me all the roads and the buildings are new and the lands there are still vast😂😂😂😂😂
Nilichogundua ni kwamba ninyi Wakenya hata Geography na History mnazosomaga sijui mnasomaga Wakikuyu, Waluo, Kalenji tu? Kuhusu nchi nyingine hasa za Africa hamjisumbui kabisa. For me, I knew a lot about Kenya, even before I went there. Dodoma Ni Mji Mkuu wa Tanzania zaidi ya miaka 40 sasa, wewe hukusoma hilo primary? Nilishangaa siku moja rafiki yangu mmoja wa Kenya alishangaa kusikia kuwa Tanzania unaweza ukasafiri kutoka mkoa fulani kwenda mwingine kwa siku 2, eti, ''Is that still within the same country''? Na hata hakujua in terms of Population and land size, Tanzania is the top in EAC, before DRC ikuje. Alishangaa na mimi nikamshangaa.😄😃😀
Please, someni mzijue nchi nyingine, sio mnawaza tu kuhusu fursa zilizoko.
Panda miti aggressively
Kupanda miti Dodoma ni sawa na mwanamke ajichubue, radha inapotea. Ukame na vichaka vya miba ndo utamu wa Dodoma. Watu wanaenda kutalii jagwani itakuwa Dodoma, maeneo ya miti ni iringa tabora na huko kwenu
@ototek8037 Jagwa kwako unaina ufahari? Wenye majangwa ya asili wanajaribu kuyabadirisha lakini wewe unaomba jangwa. Hakuna jangwa Tanzania bali Ni uvivu na uzembe wa kutunza Mazingira ndio umetufikisha hapa tulipo.
Beautiful city with enormous potential, it's a shame that these streets are very narrow and also that these horrible gutters are everywhere
Construction is still going on
@@explorewithbertin Its true that the construction is still going, however Tanzanian planners need to rethink on this, narrow streets in Tanzanian big cities is a problem. You can not compare this with Nairobi, or what is being done in Mombasa, now. Kenyans are doing better on city planning.
Dodoma.ijenqwe.maqorofa.ya.kisasa.ili.kufutia.watu.wenqi.duniani.
Dodoma looks like gaborone
Kama uko dodoma nenda katembelee njedengwa investment area nako wanajenga smart city kama magufuli city na ncc link, huwa wengi hawaendi kule kupaangalia,ukipata muda nenda kazunguke na kule halafu utuletee majibu
0:48
Kwanini hapo Dodoma wasitumie kuandika kituo cha Sgr Dodoma na kutoa neno stesheni ni kiingereza imeandikwa Kwa lugha Kiswahili..
Kilichoandikwa ni Kiswahili, Kituo cha Gari Moshi kwa Kiswahili ni STESHENI, sasa wewe ulitaka waandikeje? Hiyo SGR unayosema ndiyo Kiingereza !! Kasome Kiswahili utaelewa.
Tunataka.maji.menqi.dodoma.ili.kuwe.qreen.tafathali.serikali.
Kweli mvua inaficha mengi 😅
Sio lazima kila mji uwe kijani ndio uonekane mzuri, California, Nevada, Gaborone, Windhoek, Capetown, Dubai ni baadhi ya miji mizuri sana duniani na yote ina hali ya hewa kama ya Dodoma
Dodoma is semi desert okay???
Tanzania have four different weather in some places you can even experience snow, Dodoma
has a hot, semi-arid climate with warm to hot temperatures year-round. Huwez ukafananisha na miji mingine
My likes please 🎉🎉🎉
Dodoma look dry
That place is arid why set up a town in an arid area...poor choice of location. Still miles away.
I think you are the poorest thinker...!! Do you think it was a poor idea also for the UAE to locate DUBAI the place it is?? Please rethink. Dodoma is just semi arid, but Dubai is purely desert!!
@MANGOMBESAID you guys are just copycats, Dodoma doesn't even qualify to be called a city, it is still a town based on population and the scanty development evidenced by countable buldings
@@Livhoodchibzoonhh shit, do you know the population of dodoma city…???
It doesn't look anything close to Washington stop daydreaming
I respect your opinion.
Look again. You're the one who is daydreaming.